Lavrov wa Urusi awavunja mbavu wajumbe G20 India

Look at the map of Europe and compare the NATO area in 1998 to the NATO area in 2022 (plus Finland & Ukraine) it's quite clear who is the true agitator, the real instigator

Ulielewa mada yenye subject, content na scope? Kicheko kama kilivyonukuliwa ni sehemu ya mada hii. Nikukumbushe kuwa hapo kacheka hadi mchina isipokuwa mrusi wa buza.
 
Elewa Kiingereza wewe si kurukia rukia mambo tu!
Waziri wa Russia anasema vita iliyoanzishwa kwa kuitumia Ukraine!
Huyo Waziri ana akili kubwa sana usidhani kwa hicho kichwa chako cha kufugia nywele utamuelewa!
Watanzania kweli akili ni ya popo,
Yaani wewe uende kwa mtu uanze kumpiga kisha useme yeye ndo kaanzisha vita.
Kama ulitaka kujilinda si ungesubili arushe mawe kwako?
 

Umeandika kwa mada ipi mjomba?

Hii inahusu kichekesho na watu waliocheka wamenukuliwa kwa sababu ma sauti.

Jiridhishe upo kwenye mada mjomba.
 
Umeandika kwa mada ipi mjomba?

Hii inahusu kichekesho na watu waliocheka wamenukuliwa kwa sababu ma sauti.

Jiridhishe upo kwenye mada mjomba.
Wewe hicho kicheko unakitafasili vipi? Tuanzie hapo kwanza
 
Wewe hicho kicheko unakitafasili vipi? Tuanzie hapo kwanza

Sikutafsiri lolote kwenye mada hiyo. Mwenye clip ametafsiri pia. Tafsiri yake ndiyo niliyoiweka.

Mwenye tafsiri alikuwapo kwenye eneo la tukio. Yeye pamoja na wawakilishi wa serikali yake.

Kwamba juu ya hayo ungali unadhani unayo tafsiri bora zaidi wewe hapo Kwa mtogore?

Hamjihurumii wapuuzi nyie?
 
Kumbe uko mjinga kiasi hiki 🤣🤣🤣

Ongera kwa kukubaliana na tafsiri ya mwandishi
 

Well articulated by our foreign minister comrade lovrov
 

Kwamba uliyeelewa ni wewe kumzidi mwenye clip ambaye ndiye mwenye tafsiri?

Zingatia tafsiri si yangu bali ni ya BBC aliyekuwapo sehemu ya tukio in person juu ya kuwa serikali yake iliwakilishwa kikamilifu.

Angalizo amechekwa mrusi pale unanimously!

Au wewe huisikii sauti ya mchina mle?
 
Mimi najua katika kucheka kuna mambo mawili

1. Kumuona anachokiongea ni kitu cha uongo
2. Lugha na style aliyotumia muongeaji iliwachekesha
 
Kumbe uko mjinga kiasi hiki 🤣🤣🤣

Ongera kwa kukubaliana na tafsiri ya mwandishi

Katika wajinga wewe si ni babalao?

Wewe uwe na tafsiri bora kuliko ya mwandishi? Wewe hiyo si ni incurable psychiatric case? 🤣🤣🤣
 
Walimcheka kwakuwa ndivyo walivyo panga na siyo kwamba walimcheka kwa kusema hivyo (kumsojodoa).

Waliijua hotuba yake? Kwani wao ni mizuka? Zaidi sana mchina hadi waalikwa waliokuwapo wakiwamo waandishi walimcheka tena Kwa kumzoda.
 
Mimi najua katika kucheka kuna mambo mawili

1. Kumuona anachokiongea ni kitu cha uongo
2. Lugha na style aliyotumia muongeaji iliwachekesha

Hayo ya kwako baki nayo tu huko kwa mtogore. Tuache kuwasikiliza BBC waliokuwa kwenye tukio tukusikilize mbechile wewe? TBC tu hatuna habari naye uje kuwa wewe jombi? Kwa kutuona je vile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…