Law School kufumbia macho tuhuma zinazowakabili haikubaliki

Mkuu kiswahili kweli sijui ila hoja kuu ni rushwa ya ngono kwa wanawake mimi ni mtaalamu wa hesabu kiswahili sijui kweli ila hizo hesabu watu wanafanya vizuri kwa level zote iweje hayo masomo yenu ya kawaida tuu...ina maana wewe uliefanya vizuri umewazidi nini hao wengine?
-kwa hiyo sheria ni masomo ya kawaida? umewahi kusoma wapi sheria? halafu tena unakiri kiswahili hujui halafu unadharau masomo ya miandiko?
-kama masomo ya kawaida, je mitihani pia ni ya kawaida?
 
-kama hizo tuhuma zipo basi ni hatari
-kuna rushwa ya ngono halafu bado wanafeli, au unatoa rushwa ya ngono halafu hufaulishwi i.e hupasishwi?

Niseme hadi sasa tuhuma zinazopelekea malalamiko huzijui?

Kama ndivyo, basi ninazi summarize hapa tena kwa ajili yako. Majibu yako tafadhali ikikupendeza:

1. Kutokueleweka kwa mchanganuo wa matokeo na au status ya matokeo ya mwanafunzi.

2. Pana "matokeo hubadilika" kwenye site ya matokeo (yaani siku ya kwanza mtu aliona hana F kwenye component fulani na siku iliyofuata akakuta kuna F).

"Website ya matokeo kuwa inaccessible siku za matokeo kutoka huwa siyo bahati mbaya, bali ni katika kufanikisha nia hii ovu inayojadiliwa hapa."

Rushwa (Ngono na au 5m) hapa ni zinahusika hapa moja kwa moja.

3. Mengine ni changamoto batili zinazopelekea matokeo tunayoyaona na yanayolalamikiwa.

Hapa kuna rushwa, lack of transparency, victimization, udhulumati, uharamu, nk kama yalivyotolewa kwenye orodha ya tuhuma.

Karibu.
 
Bandiko ni zuri pia tusiishie hapo tuende na vyuo vingine kutafuta uthibitisho wa machapisho ya watu wanaoitwa wasomi.

Maana kuna watu wamepewa uongozi na kujinasibu ni wasomi ila utendaji wao ni duni , sasa ni wakati piavwa kufuatlia uhalali wa elimu zao.
 
-huyo jamaa hajui tofauti ya L na R
-miongoni mwa majibu mlishapewa na pasco kuwa baadhi ya vyuo vikuu vya sheria vinatoa chini ya kiwango hizo LL.B

Pascal Mayalla yupi? Huyu huyu ambaye kwa kila kilicho mezani ana hesabu namna gani anaweza kukitumia kama fursa ya kulamba teuzi?

Huyu huyu asiyejulikana anasimamia nini au anapinga nini bali maslahi yake binafsi?

Kwani ma opportunists ni nani basi?
 
-kwa hiyo sheria ni masomo ya kawaida? umewahi kusoma wapi sheria? halafu tena unakiri kiswahili hujui halafu unadharau masomo ya miandiko?
-kama masomo ya kawaida, je mitihani pia ni ya kawaida?
Mitihani ni ya kawaida inategemeana na maandalizi yako...mimi niliwaaminisha watoto kuwa Hesabu ni kitu kirahisi kuliko masomo yote ni somo lililokufa yaani niliyosoma mimi na ninyi mtasoma hayo hayo kanuni ni zile zile hakuna mabadiliko na wao kweli wanaamini ni somo jepesi wanafauru kuliko masomo mengine mkiaminishwa kitu kigumu basi mtaendelea kuferi na kuamini ni kigumu bila hata ya kuwa na maandalizi na uoga...
 
Niseme hadi sasa tuhuma zinazopelekea malalamiko huzijui?

Kama ndivyo, basi ninazi summarize hapa tena kwa ajili yako. Majibu yako tafadhali ikikupendeza:

1. Kutokueleweka kwa mchanganuo wa matokeo na au status ya matokeo ya mwanafunzi.

2. Pana "matokeo hubadilika" kwenye site ya matokeo (yaani siku ya kwanza mtu aliona hana F kwenye component fulani na siku iliyofuata akakuta kuna F).

"Website ya matokeo kuwa inaccessible siku za matokeo kutoka huwa siyo bahati mbaya, bali ni katika kufanikisha nia hii ovu inayojadiliwa hapa."

Rushwa (Ngono na au 5m) hapa ni zinahusika hapa moja kwa moja.

3. Mengine ni changamoto batili zinazopelekea matokeo tunayoyaona na yanayolalamikiwa.

Hapa kuna rushwa, lack of transparency, victimization, udhulumati, uharamu, nk kama yalivyotolewa kwenye orodha ya tuhuma.

Karibu.
-nakijikita kwenye hoja hiyo ya 5M inakuwaje nahitaji detailed explanation
-
 
Mitihani ni ya kawaida inategemeana na maandalizi yako...mimi niliwaaminisha watoto kuwa Hesabu ni kitu kirahisi kuliko masomo yote ni somo lililokufa yaani niliyosoma mimi na ninyi mtasoma hayo hayo kanuni ni zile zile hakuna mabadiliko na wao kweli wanaamini ni somo jepesi wanafauru kuliko masomo mengine mkiaminishwa kitu kigumu basi mtaendelea kuferi na kuamini ni kigumu bila hata ya kuwa na maandalizi na uoga...
-inategemea na maandalizi, Jibu ni inategemea unasoma Level gani, kwa Law School pale ni shule shule haswa!
 
Sasa kama Lawyers ndio wana lalamika hivi JF, blogs, Fb , Instagram, nk je sisi tusio Wanasheria? Hawa Lawyers wa Tz wame lala. HESLB ili kuwa ina watoza penati za hovyo kinyume na mikataba ya 1995 to 2015, hakuna aliye fungua shauri kupinga, wali lipa wote; Mwigulu ali leta tozo nyingi zinazo kiuka utu, na kunyonya raia na watumishi wapo kimya! JPM alikuwa ana kiuka Katiba hadharani, wako kimya! DED na DCs wana simamia Chaguzi akati ni CCM agents wapo kimya; Sasa hivi wame feli badala wajaribu ku challenge LEGALITY kupitia TLS, Mahakama za Tz au Mahakama ya East Africa, ila nao wako fb, JF, fb, blogs wana lalamika utadhani wawekezaji wa QNET, Kyanda E-Commerce. Sisi tuwasaidie nini? Hii ina onesha bado mmelala tofauti na Wenzenu wa Kenya. Ina bidi mfanyiwe hivyo ili muamke usingizini.
 
-inategemea na maandalizi, Jibu ni inategemea unasoma Level gani, kwa Law School pale ni shule shule haswa!
Mkuu nazungumzia level zote mimi wadogo niliwaandaa CPA wasome muda mfupi tofauti na tulivyokomaa sisi walifanikiwa shida umeaminishwa shule ni kitu kigumu sana sio hivyo mkuu ukiwa na maandalizi mazuri shule ni kawaida sana..mtu akiwa na matokeo mazuri huku chini ndio msingi mzuri wa huko mbele...
 
Hongereni sana LST mnafanya kazi nzuri.
Ongezeni jitihada.
Tupo nyuma yenu.
Mmeliwa vichwa mnaanza kulia lia,
Kasapueni, matokeo hayatabadilika.
Hongera LST kwa kuwafyeka hao mavilaza.

WASOMI NI VILAZA HUO NDIO UKWELI PIA MMEZOEA KUTOA RUSHWA NA NGONO NA KUNUNUA MITIHANI
LUGHA PIA NI TATIZO KWENU ACHENI KUICHAFUA SHULE
-Unataka watunge paper rahisi?
-unataka Roll number za mawakili ziwe nyingi sana?
-tatizo pia vyuo vikuu mnavyosoma elimu kiwango cha chini
Ndugu zangu wakati mwingine tuwe serious kidogo tunapojadili mambo kama haya. Kama huna cha kuchangia ni bora ukae kimya kuficha ujinga wako.

Huu upuuzi mliochangia hapo juu usipewe nafasi humu JF, this is a forum for Great Thinkers na kama unaona mjadala unakuzidi kimo, kaa kimya.

Hebu fikiria...katika kila wananfunzi 100, wanaofaulu ni wawili tu. Chuo kinajiteteaje hapa? Hili halikubaliki pahala popote pale isipokuwa labda Tanzania.

Halafu Chuo hicho kinaamuaje kukaa kimya tuhuma nzito kama hizo zinapowakabili? Ni uoga, ujasiri au kiburi tu kama inavyoanza kuzoeleka hapa nchini?

Katika wanafunzi zaidi ya 600 tena wahitimu wa Vyuo vikuu hata kama wapo ambao hawakuhudhuria masomo kabisa, asilimia 98% wasifaulu! Chuo hakigutuki?

Au kuna njama za kuviponda vyuo hivyo na kuonesha kwamba havifai? Kwamba pamoja na vyenyewe kuitwa vyuo vikuu havifikii kiwango kama cha LST?

Once An Accident, Twice A Coincidence, Three Times A Pattern, A trend! Come on Law School of Tanzania , do your homework, find the cause of your failures.

Or to quote Ian Flemming, "Once is happenstance. Twice is coincidence. Three times is enemy action.” Correlation cannot be A cause, and neither should coincidence.
 
-umewahi kusoma law school?
 
Sasa kama tuliokuwa tunategemea ndo magwiji wa sheria wanafikia kutudanganya watanzania wote, mnashangaa nini!!! Fikiria maProfesa walivyomuingiza mjini Rais, viongozi wa dini zote, wamepandishwa jazba kwa tafiti za uongo kabisa. Eti tumeibiwa trillion 360, ungeangalia sura za mazuzu zilivyobadilika, halafu huyo huyo anaibuka leo eti haikuwa kweli. Sasa kama wa hivyo ndo wamejaa hapo LST utegemee nini?
 
-umewahi kusoma law school?
Hii comment inaonesha ufinyu wa akili yako, kwamba inawezekana unaamini kama mtu hajapita Law School hawezi kuchangia chochote hata kwa kuangalia hiyo asilimia ndogo ya ufaulu iliyopo!.

Wewe unadhani kufeli wengi ni sifa, unaona wengi wakiwa mawakili fani itakosa soko, kama hiyo ndio sababu, basi fungeni hiyo shule ya sheria msiendelee kuibia watu ada zao.
 
-hapa umeonyesha ww ndiye mwenye ufinyu wa akili, nimekuuliza swali badala ya kutoa majibu, unaandika maelezo marefu yasiyo na maana, na kwa style hiyo ya ujibuji maswali unadhani kama mimi ningekuwa Mwalimu ni supp supp supp
 
Mmeliwa vichwa mnaanza kulia lia,

Kasapueni, matokeo hayatabadilika.

Hongera LST kwa kuwafyeka hao mavilaza.
Ila ipo hivi , Kama ni mwalim alafu unakua na matokeo ya namna hii jua pia hu kilaza pia au imefika pale kimchongo that's unawakazia wengine,

Walimu ambao vyuoni hawakupita kimchongo michongo huwa hawana hii Mambo ya kukomoa , Sasa njoo wale wa kuunga unga utajuta
 
WASOMI NI VILAZA HUO NDIO UKWELI PIA MMEZOEA KUTOA RUSHWA NA NGONO NA KUNUNUA MITIHANI
LUGHA PIA NI TATIZO KWENU ACHENI KUICHAFUA SHULE
Ni visingizio tu, kwani unataka kusema Mawakili walioko sokoni hawajapitia Mambo tajwa hapo juu, wengine tunajua tulisoma nao nyuma na uwezo tunaujua leo mkikutana anakwambia Mie wakali, unashangaa,

Yapo na yalikuepo ila KWa Sasa WENDA yamezidi
 
Ndugu zangu wakati mwingine tuwe serious kidogo tunapojadili mambo kama haya. Kama huna cha kuchangia ni bora ukae kimya kuficha ujinga wako.

Huu upuuzi mliochangia hapo juu usipewe nafasi humu JF, this is a forum for Great Thinkers na kama unaona mjadala unakuzidi kimo, kaa kimya.

Hebu fikiria...katika kila wananfunzi 100, wanaofaulu ni wawili tu. Chuo kinajiteteaje hapa? Hili halikubaliki pahala popote pale isipokuwa labda Tanzania.

Halafu Chuo hicho kinaamuaje kukaa kimya tuhuma nzito kama hizo zinapowakabili? Ni uoga, ujasiri au kiburi tu kama inavyoanza kuzoeleka hapa nchini?

Katika wanafunzi zaidi ya 600 tena wahitimu wa Vyuo vikuu hata kama wapo ambao hawakuhudhuria masomo kabisa, asilimia 98% wasifaulu! Chuo hakigutuki?

Au kuna njama za kuviponda vyuo hivyo na kuonesha kwamba havifai? Kwamba pamoja na vyenyewe kuitwa vyuo vikuu havifikii kiwango kama cha LST?

Once An Accident, Twice A Coincidence, Three Times A Pattern, A trend! Come on Law School of Tanzania , do your homework, find the cause of your failures.

Or to quote Ian Flemming, "Once is happenstance. Twice is coincidence. Three times is enemy action.” Correlation cannot be A cause, and neither should coincidence.
Kwahiyo wewe ndio una cha kuandika??

Mbona ulichokileta hapa ni garbage tu.

Punguza ujuaji.
 
Swadakta
 
Back
Top Bottom