Uchaguzi 2020 Lazaro Mambosasa ametoa tamko kwa wanaopanga kupinga matokeo ya Urais

Uchaguzi 2020 Lazaro Mambosasa ametoa tamko kwa wanaopanga kupinga matokeo ya Urais

Well said!
Inashangaz huend ht hajafikia huo ukuruta wenyw pngne anasotekea kwny uzalendo anakuja kutema cheche ziczo na mantiki jukwaani.
Hakuna anayetamani vurugu wala kuona jamaa ndugu na marafik wakisota in the name of politics lkn sababu ya kutisha nakujichetua watu wetu wamo cjaiona ni ushamba ulopindukia ht km ni police hajaiva arejee kwny msoto ajifunze maadil.
Msamee bure.
 
Vikwazo vyao havina madhara. Magufuli ni jembe la mbegu, atagawa hela kwa kila aliyempigia kura
Watuwekee vikwazo vya vidonge vya ukimwi tu tuone wanawake wanavyopukutika maana serikali ya ccm imeshindwa kutoa dawa za maralia bure vya aids wataweza?
 
Tunafuatilia Mienendo yenu. Madhara ya kuandamana yatakuwa makubwa kuliko madhara ya kutulia nyumbani.

Uchaguzi umeisha, Rais JPM aungwe mkono , siasa zimeshaisha. Mtatolewa kafara na hakuna Human Rights yoyote itakayoingilia mzozo, acheni hayo mambo.

Miongoni mwa hao mnaopanga nao kuandamana wapo watu wetu hivyo itakuwa ni rahisi sana kuwatia nguvuni kama wale vijana wa IT waliokuwa wanajaribu kuvuruga mifumo ya matokeo mwaka 2015 some of them were our members. So watch out !

Only to advise!
We mpuuzi nini
 
Watuwekee vikwazo vya vidonge vya ukimwi tu tuone wanawake wanavyopukutika maana serikali ya ccm imeshindwa kutoa dawa za maralia bure vya aids wataweza?
Magufuli anavyopenda wanawake weupe, unadhani atashindwa kuanzisha kiwanda cha kutengeneza Arv hapa hapa Chato ?
 
Ha ha ha maalim alijaribu hizo hatua kumi dah, alichokipata hana hamu babu wa watu.
Maalim hata kusimulia anashindwa confidence zimemtoka....vijana tukatae kutumika tukifanya kazi kwa bidii tutafanikiwa muhimu ni PUMZI kama haufanyi jinai nani atakusumbua?

Hongera Magufuli, Hongera Mwinyi ,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA.
 
Back
Top Bottom