Tetesi: Lazaro Nyalandu aiacha CCM kimya kimya

Hivi ni ccm ndio inamtegemea nyalandu au nyalandu ndio amefanikiwa kupitia ccm?? Nini mchango wa nyalandu ndani ya ccm..wapo watu wa kuongea ye asepe ila akumbuke ana Mali zetu nyingi..asije akawa kaona dalili za Mali kuchukuliwa akaamua kuingia kichakani(chadema) ambako atapata utetezi
 
Wafukuaji wa mambo leteni tujue ukweli
 
Kama naona Kingu yuko nyuma ya propaganda hii! nadhani anatafuta umaarufu wa kimkoa kumzidi yule mwenye skafu shingoni anaejifanya mzalendo zaidi..kumbe hewa tu!
Mbona hafahamiki na havumi? Singida ni MTU Tatu tu ndiyo inayovuma kwenye anga za kisiasa nchini.Hao wengine hatujui wanafanyia wapi siasa zao.
 
Kingu na Mwigulu ni Wanyiramba
Nyalandu na Lissu ni Wanyaturu
Wanyiramba huwa wanasifika kwa roho mbaya
Kwa hapa namuona Lazaro akisimama na ndugu yake Lissu..Mnyaturu Mwenzake
Ndiyo maana hawakuguswa na tatizo lililompata Lissu na wala hawakwenda kumjulia hali hospitalilini
 
Ameshasoma upepo kwamba sgd kaskazini safari hii walipanga kuitoa ccm, sasa ameona akimbilie cdm, FURSAA
 
Ni mazuzu na wasiojitambua tu ndo watabakia CCM. Lakini watu makini wote hawawezi kubaki huko CCM....!!!
 
Chadema hawajawahi kuacha siasa za ukabila hiyo ipo kwenye damu na kwa hiyo laana ya ukabila na udini hawatakaa washike dola asilani
Hii si lojiki aisee. CHADEMA ni watu kama walivyo wa vyama vingine.Suala la kushika dola na kuongoza ni la ridhaa ya wapiga kura kukichagua. Halafu elewa kuwa Tanzania hakuna chama cha kikabila
 
Kesho nitapeleka ushahidi Takukuru jinsi Nyalandu alivyonunuliwa na Chadema. Ushahidi huo ninao kwenye flash.
 
Nyalandu makazi yake siku zote ni mjini Arusha anakoogelea bwawa moja na waona mbali kwa hiyo naamini anaona kuendelea kujitenga na jamii inayojitambua basi. Atakuwa kaonyesha maturity ya kiwango cha juu kuondoka kwenye chaos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…