Lazaro Nyalandu arudi rasmi Chama cha Mapinduzi akitokea CHADEMA

CHADEMA TAFADHALI MSIPOROMOSHE MATUSI KWA MAMA ENDELEENI NA UPENDO ULE ULE MLIOMUONYESHA TANGU SIKU YA KWANZA, MSIBADILIKE KWA SABABU YA NYALANDU. MAMA KASEMA NA BADO KUNA MVUA INAKUJA YA UHAMISHO. 19 LOADING..........................
 
Wimbo
 
Hapa ndio imani kwa Mbowe inapozidi kuongezeka. Angalia watu wote ambao kwa namna moja au nyingine walitaka kuleta "mabadiliko" CHADEMA wako wapi leo.
 
Nampongeza Nyarandu ni kiongozi mzuri na mbunifu mkubwa sana kwenye mtendaji.
 
Haa ni wewe Mkuu Mmawia.

Mbona mlisema Mwendazake hakufanikiwa kudhibiti wizi na ufisadii..?
Wapi nimesema mwendazake alithibiti wizi na ufisadi?

Nimesema au kumaanisha kuwa Nyarandu na wenzake wanao hama toka cdm kule cdm walikosa nafasi ya kuendeleza ufisadi.

Sasa wameona hakuwafai maana cdm hakuna watu wafisadi sasa wameamua wawafuate kichakani
 
CHADEMA ACHANENI NA SIASA HAMJAKOMAA, AFADHALI CHAMA CHA MZEE WA UBWABWA SIKU ZOTE YUKO KABAKI NJIA KUU. KUNA MWALIKO Mama kawaalika mjiandae kwenda Ikulu msisuse. Tuliwaambia kukesha mkitukana HAYATI MLIJITAKIA, CCM WANA JAMBO LAO KWENU KWA KUMDHALILISHA HAYATI. NA BADO NDIYO KWANZA CCM KAKUNJUA MAKUCHA HADI MUOMBE POOO
 
Nyalandu ni ccm,chadema alikuja kutafuta fursa atoke vip
 
Ila BAVICHA siwaelewi kipindi Magu yupo walilalama wanarudi wanaanza kusema ufisadi..? [emoji20][emoji2379]
Kipindi cha miaka 6 ufisadi ndiyo umefanyika wa kuvunja rekodi kwa mujibu wa report ya sag
 
CHADEMA TAFADHALI MSIPOROMOSHE MATUSI KWA MAMA ENDELEENI NA UPENDO ULE ULE MLIOMUONYESHA TANGU SIKU YA KWANZA, MSIBADILIKE KWA SABABU YA NYALANDU. MAMA KASEMA NA BADO KUNA MVUA INAKUJA YA UHAMISHO. 19 LOADING..........................
Hao 19 tushasapa, halafu ujue hakuna mwanaccm aliyekuzwa aliyedumu upinzani
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi kuna MwanaCDM yeyote amewahi kuhamia chama kingine kwa utashi wake halafu akarejea tena CDM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…