😂😂😂😂 Muda unaongea lugha nyepesi sana kuelewa.Nyumbu hao 🤣🤣🤣!
Halafu hivi bado tu hujagundua kwamba hata hao nyumbu ni wapenzi wa CCM?
Hakuna upinzani Tanzania hii. Si vyama, si wafuasi!
Wengine ni CCM kwa kujitambua ila wengine [kama huyo nyumbu] ni CCM kwa kutokujitambua [unwittingly].
Ha ha ha.
Naye tena unamkana wakati umesema alikuwa anadhibiti wizi?Hapana Magufuli alikuwa jambazi kuu. Unajua jambazi hapendi kuibiwa ndio maana aliwathibiti hawa makanjanja wengine ili aibe yeye vizuri na wateule wake wachache.
Kwa nini wanasema hivyo?Heee[emoji23][emoji23][emoji23]
Leo mnamwita fisadi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Leo wanapoteana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa ni kawaida yao mkuu kula matapishi
Leo wanapoteana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa ni kawaida yao mkuu kula matapishi
Hapana Magufuli alikuwa jambazi kuu. Unajua jambazi hapendi kuibiwa ndio maana aliwathibiti hawa makanjanja wengine ili aibe yeye vizuri na wateule wake wachache.
Subiri sindano iingie.Mzee hata hajamaliza speech ushafika huku duu
Hahahaa ajabu kweli![emoji23][emoji23][emoji23]Tuwazoee tu.
Sasa hivi wameungana nasi kumsifu Samia eti ili kumkomesha marehemu.
2025 kwenye kampeni watamgeuka huyu mama na wataanza kumsifia Magufuli[emoji7][emoji23][emoji23]Hayo majitu alieyaita nyumbu aliona mbali sana
[emoji23][emoji23][emoji23].
Hayana msimamo wesubiri baada ya mwezi utaona wote wanamsifia tena Hayati Magu.
Hata mm nimeshangaa wote wanashabikia CCM.[emoji23][emoji23][emoji23]Tuwazoee tu.
Sasa hivi wameungana nasi kumsifu Samia eti ili kumkomesha marehemu.
Membe nae arejee2025 kwenye kampeni watamgeuka huyu mama na wataanza kumsifia Magufuli[emoji7][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Inaonekana hujawahi kupitia nyuzi zangu vizuri, hilo la kwamba Lowassa alihonga ili apewe nafasi ya kugombea urais halina mjadala, na nimekuwa nikilisema mara kibao. Sina uhakika na kiwango, ila alihonga.Kumbe kamati kuu ya chadema ilihongwa hela na Nyarandu?
Basi zile tetesi kwamba Lowasa aliinunua chadema kwa bilioni 10 ni za kweli!
Nashangaa leo hawajaimba pambio[emoji1787][emoji1787]Kwa nini wanasema hivyo?
Hao makamanda siku hizi nao si wamekuwa CCM…maana wao ndo wanaongoza kuimba mapambio ya Samia [emoji1787][emoji1787].
Sasa sijui kwa nini leo wamenuna!
Chama chenye sera za kidemokrasia kina ruhusu vipi udikteta?Hao wote walikimbia udikiteeta uliokuwa umeshamili ndani ya chama
Ni utashi wake , tz ina vizazi wasiojua nini wanakiamini, fulsa zinasumbua Sana kizazi hichi,Lazaro Nyalandu wa CHADEMA amerejea CCM kupitia mkutano mkuu wa CCM leo jijini Dodoma...
Hakuna niliposema "magufuli anadhibiti wezi". Nionyeshe tuendelee.Naye tena unamkana wakati umesema alikuwa anadhibiti wizi?
Leo Nyalandu kuhama CDM amekuwa kanjanja,ila alipokuwa anahamia CDM mlimwita shujaa.
Haki bavicha mna mambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Wataanza kusema bora magufuli, laana ya kumtukana marehemu ita yatafuna mbaka yatubu.2025 kwenye kampeni watamgeuka huyu mama na wataanza kumsifia Magufuli[emoji7][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Nawewe unaroho ngumu kama paka, wenzako wanachungulia uzi kama mnavyo chunguliaga mamba mto mara,we unang'ang'ana uonyeshwe,uonyeshwe nini kwani hujui postiyako ni nambangapi?.Hakuna niliposema "magufuli anadhibiti wezi". Nionyeshe tuendelee.