Lazaro Nyalandu arudi rasmi Chama cha Mapinduzi akitokea CHADEMA

Vipi wewe unaonaje?

Ni mwizi au si mwizi?
Lazaro Nyalandu alipandisha ndege kwenda ughaibuni hakupandisha ?




Sasa ni zamu ya Lazaro kupondwa na CDM na upinzani kwa ujumla na kupata utetezi kwa vijana wa CCM


KUSIFU ,KUSHFU kiongozi kisa hayupo upande wako siyo afya kabisa mtu apewe sifa zake kwa kuzingatia ukweli bila itikadi hii itasaidia vinginevyo vijana wafuata upepo watakimbia mbele na kurudi nyuma sanaaa


Mimi naendelea kusema mchafu ni mchafu na msafi ni msafi haijalishi yupo chama gani
 
Siyo wa kumuamini, huenda anamission fulani hivi, wanatakiwa kumuangalia kwa jicho la ziada. Huyo fisadi siyo wa kumuamini hata kidogo.
Huyo ashawakuwa compromised
Mafisadi yanazidi kurejea nyumbani, baada ya kuona nafasi ya kupiga nje ya genge lao la ccm ni ngumu.
 
Akanyimwa kugombea urais maana ni tapeli kama lile zee Lowassa.
Usiseme alinyimwa! Bali alishindwa na Lisu kwenye kura za maoni.

Chadema wangukuwa na akili hata ile kumpa formu agombee wasingempa
 
Kabisa mkuu Nyarandu sasa atakoma
 

Hakugusia kaahidiwa marupurupu gani kwenye hii rejea yake?
 

Hakugusia kaahidiwa marupurupu gani kwenye hii rejea yake?
 
Na ndiyo kilichomuondoa CCM, sasa dhalimu hayupo tena CCM na duniani anayo kila sababu ya kurudi CCM.
Vipi huko kwa machadema ameacha nini sasa?

Vipi mtaendelea na zile harakati zenu kwamba ni mwizi?
 
Alafu bado kuna vijana hawataki kufanya kazi, wamekomaa kushabikia siasa uchwara na kushinda humu jF wakilia na ugumu wa maisha.

Vijana wa jF tafuteni kazi mfanye,siasa iacheni kama ilivyo na ikitokea nba hamu ya kuchambua siasa, basi chambueni mchele.
 
Machadema yatasema amenunuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…