Wewe acha zako bhana! Nyarandu mkampa hadi uenyekiti wa kanda alafu unataka kusema nini hapa?
Haa ni wewe Mkuu Mmawia.Hiyo team ina hasira kweli baada ya kuishi maisha ya bila wizi na ufisadi.
Lowasa si mnasema akiibiwa kura? Kwa hiyo mlimchagua si ndiyo.Lowassa alipewa mpaka kugombea urais, nini mwenyekiti wa chama huko maporini,na bado nilimponda vibaya, ndio itakuwa hiyo takataka iitwayo Nyalandu?
Mpaka anaenda kupigiwa kura maana yake kamati kuu ya chama imempitia na kuona anafaa kwahiyo wakaona aende akashindane na wenzie ili yeyote atakae pita awe rais.
Kwa hiyo Nyarandu aliaminiwa mpaka na kamati kuu ya chama.
Mbona una haraka ya kupost hata mtu hajamaliza kuongea daaah
kigogo alisemaNdivyo ninavyosikiliza hapa nikiwa Live kutoka Dodoma.
===
Lazaro Nyalandu amerejea CCM akitokea CHADEMA. Amerejea Aprili 30 katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM ulifanyika Dodoma.
Nyalandu aliwahi kuwa mtia wa kugombea urais kupitia Uchaguzi Mkuu 2020 kupitia CHADEMA. Ambapo katika hotuba yake ameshukuru kwa kumpokea.
Amesema katika nchi ya Ugenini wimbo hauimbiki.
Hahahha. Hii comment inachekeshaMasikini tembo walipo huko maporini sasa hivi watakuwa wanaanza kuandika wosia .
Mwambie Huyo tindo atulie, Siasa haihitaji mtu kuwa serious sana [emoji23]. It is like a game and we are the piecesLowasa si mnasema akiibiwa kura? Kwa hiyo mlimchagua si ndiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiwa chadema stress tupu.
Nyalandu naona ameona kuna fursa anaweza ipata kwa kutokuwepo kwa MwendazakeLazaro Nyalandu wa Chadema amerejea CCM kupitia mkutano mkuu wa CCM leo jijini Dodoma.
Nyalandu aliyekuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chadema amesema walikuwa wamechukuliwa na walilazimishwa kumwimbia bwana lakini wao pamoja na mzee Lowassa, Sumaye na Dr Slaa wamegoma kuimba kwani bwana yuko CCM peke yake.
Nyalandu ameiomba radhi CCM na amewashukuru kwa kumpokea tena.
Kadhalika mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Lindi Dr Suleiman Methew naye amerejea CCM alikokuzwa kisiasa.
Kazi Iendelee!
inategemea hicho chama kiko focused kiasi gani.unakaa kwenye kuti unategemea nn wakati watu wanaangalia maisha yao kama yanaenda.kazi iendelee.Kuwa upinzani haihitaji roho ya kizembezembe, kuwa upinzani lazima uwe umesimama madhubuti .
Lowasa si mnasema akiibiwa kura? Kwa hiyo mlimchagua si ndiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiwa chadema stress tupu.
tukana ulivyo kuwa unamtukana nyaranduNyumbu watasingizia nini?
Mbowe ameendelea kupuuzwa
Kumbe kamati kuu ya chadema ilihongwa hela na Nyarandu?Aliaminiwa au ni hela yake? Labda hujui siasa.
Mimi ni mshua pekeyangu unafikiri nina akili za kimataga kumkabidhi mfalme akili?Leo mnamkataa mshua Nyalandu?!!