Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Sasa CDM mnakubalije kutapeliwa kila siku? Ni sawa na muislam safi kulishwa nyama ya kitimoto na kuambiwa baada ya kula kwenye nyumba moja zaidi ya mara 5, naye kila mara anawalaumu hao wenye nyumba!!! Mnalalamika kila siku kuhusu hao watu wanaotoka CCM, Mkiti wenu anawapokea, anawapa mavyeo makubwa makubwa, wanarudi CCM mnaendelea kulalamika! Tatizo lenu nini wajomba? Hivi hamuoni kuwa kuna shida kwenye kiti cha Mkiti?Akanyimwa kugombea urais maana ni tapeli kama lile zee Lowassa.
Mtukaneni kama mlivyokuwa mnamtukanaAliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu ametangaza rasmi kurejea CCM mbele ya Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu kupitia Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Dodoma leo, akitokea CHADEMA.
Huwa nashangaa unakuta mtu kashupaza shingo hadi matusi eti ili kumtetea mwanasiasa.Mwambie Huyo tindo atulie, Siasa haihitaji mtu kuwa serious sana [emoji23]. It is like a game and we are the pieces
Who is this?!Jamaa aliendaga hadi nje nchi, siasa ni rahisi when you got nothing to lose ni ngumu when you got to much to lose. No wonder Marshall Mathers apigi zile spana zake za early 2000[emoji23][emoji23]
Tuna matatizo makubwa sana nchini,kwani viongozi wengi hawapo kwaajili ya maendeleo ya wananchi ,Bali Ni watafuta utajiri kupitia Kodi za walalahoi.Watanzani tunajifunza nini kwa wanasiasa kama hawa?
ExactlyUkiwafuatilia sana wanasiasa unaweza kufa mapema sana kwa ugonjwa wa moyo.
Alichofanya Nyalandu ni katika kile kinachoitwa "kujitafutia mkate wake wa kila siku". Kila mtu ana mbinu zake na ni busara kutopangiana mbinu za kusurvive hapa duniani.
Muda si mrefu vyama karibia vyote vitapiga u-turn, vitaanza kumsifia Mama na kuunga mkono juhudi huku tukisahau kwamba mifumo hasa ya uchaguzi bado ni ileile na hatupaswi kubank hopes zote kwa mtu mmoja
Huruma kwaoWavamizi Kaeni mkao wa kuliwa
Nalog off
Wameanza kubadili tone πππWewe acha zako bhana! Nyarandu mkampa hadi uenyekiti wa kanda alafu unataka kusema nini hapa?
Kigogo alitoa angalizo mapema kbs mwaka huu kuhusu jamaa na details zote, hapa ni hitimisho tuLema atasema amenunuliwa kea bilioni nane!