Lazaro Nyalandu ataongea na Watanzania kesho kuelezea udhaifu wa Upinzani kupitia kipindi cha Clouds 360

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.

Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.

Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.

Kazi Iendelee!
 
Aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.

Aisee ngoja tuonee.

Si ajabu. Mbowe again on air..!
 
Aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.

Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.

Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.

Kazi Iendelee!
Nyalandu nyalandu bora unyamaze madhaifu mdani ya chama si unapambana kuyarekebisha site tunajua deal haziendi kwa wapinzani
 
Aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.

Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.

Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.

Kazi Iendelee!
Yatatusaidia nini wakati mifukoni hatuna kitu
 
Nyalandu Hana jipya.Ccm aliondoka kumkimbia jpm.Huo ndo ukweli.Mengine Ni uwongo mtupu.Wapinzani Wana mapungufu yao, Ila kikubwa wanakwamishwa kwa chama dola ccm na kukosekana kwa tume huru.Yaliyofanyika uchaguzi mkuu mwaka Jana yanajulikana.Mnyonge mnyongeni, haki zake mpeni
 
Aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.

Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.

Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.

Kazi Iendelee!
Kwa nini hayo madhaifu asingewaambia hao CHADEMA kabla ya kutoka huko ili kuwapa mbinu za kuwakabili wapinzani wao, mpaka asubir abadili Chama zen ayaanike hadharani?? Yatasaidia nini?

Asituchoshe!
 
Itakua kilikua moja ya masharti ya yeye kukubaliwa kupata Airtime ya SSH pale Dodoma, baada ya gawio kupungua Chadema wachumia tumbo wanakula kibati hasa ukizingatia waliemkimbia ameshavuta kamba na team ya alienda zake saivi haina dola tena.
 
Kwa nini hayo madhaifu asingewaambia hao CHADEMA kabla ya kutoka huko ili kuwapa mbinu za kuwakabili wapinzani wao, mpaka asubir abadili Chama zen ayaanike hadharani?? Yatasaidia nini?

Asituchoshe!
Bwashee hizo ndio siasa za kibongo!
 
Aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.

Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.

Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.

Kazi Iendelee!
Unaweza sikia bavicha nao wameitisha yao kesho hiyo hiyo au watengeneza drama mnyika katekwa tunawajua kwa vituko!
 
Aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.

Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.

Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.

Kazi Iendelee!
sawa ajipange kutuelezea pia wanyama wetu waliokuwa wanapelekwa uarabuni
 
Aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.

Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.

Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.

Kazi Iendelee!
Hiyo tv station wataangalia majuha tu maana ni pacha na tbc
 
Back
Top Bottom