Lazaro Nyalandu ataongea na Watanzania kesho kuelezea udhaifu wa Upinzani kupitia kipindi cha Clouds 360

Kama ni kweli basi hii yathibitiisha yale niyasemayo siku zote kwamba Tanzania hakuna upinzani wa kweli.

Tume huru si sababu ya upinzani kushindwa kuidhibiti CCM.

Upinzani wahitaji sera na siasa za kipekee kabisa kuzikonga nyoyo za watanzania.

Kwa mfano, jana wapinzani wamepewa dhahabu kwenye sahani waitumie lakini sidhani kama wameiona dhahabiu hiyo na kuipokea.
 
Ufipa wana mhaho sasa hivi, NYALANDU anataka kuinyea kambi. Ila mbowe ni sikio la kufa, halisikii dawa. Aache kuchukua oil chafu, mwisho wa siku anachafuka na yeye
Corona ina balaaa
 
Ufipa wana mhaho sasa hivi, NYALANDU anataka kuinyea kambi. Ila mbowe ni sikio la kufa, halisikii dawa. Aache kuchukua oil chafu, mwisho wa siku anachafuka na yeye
Corona haiangalii usoni wala kuogopa cheo cha mtu
 
Ni oora agekaa kimya kulinda heshima yake, lakini kubwabwaja ni ishara ya kuonyesha ni jinsi gai usaliti wake unamtesa! Msaliti i msaliti tu hata angejisafisha na kuchafua wengie kwa kiasi gani!
Amesha sahau jinsi alivyokuwa anasafiri na warembo kwenda nchi za nje kwa gharama za ofisi yake.

Amesahau alivyo wauza na kuwasafirisha twaiga kwenye ndege
 
Aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.

Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.

Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.

Kazi Iendelee!
Labda ataelezea mikakati yake na JK ya kuendelea pale walipoishia katika uuzaji wa Twiga na pembe za ndovu,naona JK alimpokea kwa bashasha akijua kuwa timu imekamilika kwani ni Nyalandu ndiye analijua vizuri soko la Twiga hai na pembe za ndovu.
 
Kama ni kweli basi hii yathibitiisha yale niyasemayo siku zote kwamba Tanzania hakuna upinzani wa kweli.

Tume huru si sababu ya upinzani kushindwa kuidhibiti CCM.

Upinzani wahitaji sera na siasa za kipekee kabisa kuzikonga nyoyo za watanzania.

Kwa mfano, jana wapinzani wamepewa dhahabu kwenye sahani waitumie lakini sidhani kama wameiona dhahabiu hiyo na kuipokea.
Mkuu, Kama una puuza umuhimu wa tume huru we hujitambui.Pole Sana.Unataka wapinzani waingie msituni??? Huo Sio uzalendo kwa taifa mkuu
 
Aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.

Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.

Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.

Kazi Iendelee!
Skuizi kila mtu anaongea na taifa wala hakuna chochote
 
Mkuu, Kama una puuza umuhimu wa tume huru we hujitambui.Pole Sana.Unataka wapinzani waingie msituni??? Huo Sio uzalendo kwa taifa mkuu
Mazingira ya kuwepo tume huru sidhani kama yameandaliwa.

Upinzani bado hauna uwezo wa kulazimisha kuwepo tume huru.

Pia kuingia msituni si suluhisho, bali mjadala na siasa makini na zenye mikakati thabiti.

Kumbuka CCM wameshika mpini na upinzani umeshika makali.

Vipi utaweza kuushika mkono uloshika mpini?

Upinzani utafute namna ya kuushika huo mkono.
 
Aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.

Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.

Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.

Kazi Iendelee!
Hana jipya ,tunashukuru KWA mchango wake mdogo aliota, so atulie huko alikoenda, yachadema au ya wapinzani hayamhusu KWA Sasa vinginevyo akatubu pia maana binadam KWA mfano wa mungu kua moto KWA baridi ni dhambi,na KWA hulka Kama hii, angekua nayo Jesus wanadam tusingekombolewa,Sasa mwanadam unaefanya hivi upo nafasi gani? Tamaa na mapambo ya dunia yanatuondolea ubinadam ,kujiamin katika kile unachokiamini,
 
Mimi nimetoa kama prediction.

Kwamba atazungumziwa kwa hio sijui ni press.

Hayo mengine unayajua wewe..?
Wachana na habari za Mbowe maana hutomuweza kama alimshindwa jiwe.
 
Nasikia atawananga sana lakini CDM kwao itakuwa ngumu hata kujibu kwani Nasari alisema jamaa ni jizi na Chadema walimkalia kooni kama luba, baadae akaamia kwao wakamsafisha kwa kusema Nyalandu ni mtu safi tusubiri kesho watakula matapishi au watajipakaza mdomoni.
 
Back
Top Bottom