Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Nasikia anayo nyingine kwenye naniliuNaskia Harmonize kachora Tatoo ya Mangofully mguuni...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia anayo nyingine kwenye naniliuNaskia Harmonize kachora Tatoo ya Mangofully mguuni...!
Nasikia anayo nyingine kwenye naniliu
He is a failed politicianKwa nini hayo madhaifu asingewaambia hao CHADEMA kabla ya kutoka huko ili kuwapa mbinu za kuwakabili wapinzani wao, mpaka asubir abadili Chama zen ayaanike hadharani?? Yatasaidia nini?
Asituchoshe!
Kama ni oil chafu mbona wakirudi huko mnawapokeaga tena kwa mbwembwe na makamera kibao. Kataeni kuwapokea ndo tutajua ni oil chafu.Ufipa wana mhaho sasa hivi, NYALANDU anataka kuinyea kambi. Ila mbowe ni sikio la kufa, halisikii dawa. Aache kuchukua oil chafu, mwisho wa siku anachafuka na yeye
Kwanza atueleze sababu zilizomfanya kuhamia Chadema kutoka CCM.Amedai Chadema ni dhaifu sana!
Saa ngapi?Aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.
Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.
Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.
Kazi Iendelee!
Ni ukweli uliowazi ameshindwa kuimba wimbo wa bwana ugenini.Wimbo wa ccm unajulikana.wizi, ubabe na rushwa.Nyalandu hana sifa ya kuongea na Taifa,kama kibano kimemzidi ameamua kurudi alikotoka,awe mpole akalambe miguu ya viongozi wapya,historia yake imefutika imebaki hadithi za kusimulia
Hashima gani Tena mkuu wakati kashaipoteza?Nampenda sana Nyalandu kikubwa alinde heshima yake!
Hapo poa nidhamu muhimuWala mimi sishindani nae..!
Naona unarohoja tu kudadaeeeki kimpumu imehusikaNyalamdu nitamsikiliza no mwasiasa pekee Wa upinzani aliyekuwa yukp vizuri kila eneo kuanzia exposure ya kisiasa ya ndani na nje mwenye pesa mwenye wafadhili na aliyesaidia sana kote kasaidia watanzania wengi na kasaidia sana nchi kiuchumi kuleta watalii toka marekani
Anapenda siasa safi chafu haziwezi.Chadema kundi lililokuwa linamjua vizuri no kamati kuu ya Chadema .Kwenye kura Lisu waliimpa chini kwenye kura.Baraza kuu ndio wakampa Lisu .Lisu alitojea tu kugombea toka ubelgiji hakujuana na wapiga kura wengi kama Nyalandu sababu Nyalandu hakutegemea media alianza kampeni mapema kujitambulisha mijini na vijijini nchi nzima akitumia mwanya Wa kutafuta wadhamini na alijubalika sababu walimwona physically akiwa na mabasi na convoy kote yenye nembo zake
Nyalandu alijikita kwenye Sera sio personality kama Lisu ambaye kilichomleta toka ubelgiji alikuja kutafuta tu platform ya kutukana Magufuli
Nyalandu hajawahi tukana MTU yeyote kwenye siasa zake toka yuko CCM hadi Chadema. Ana madhaifu yake lakini kwenye siasa safi yuko vizuri ni mjenga hoja mzuri mno .Angegombea uraisi Chadema asingepata vikura kiduchu milioni Moja alizopata Lisu
Nitamsikiliza najua ana hoja Duni Haji aliongea sentensi fupi alipoondoka Chadema ambayo ili I cost Chadema na kuijenga ACT wazalendo alisema tatito LA Chadema kila MTU ana sharubu!!!
Maalim Seif na kundi lake wakaamua kutimukia ACT wazalendo chama kidogo kuliko kwenda Chadema
Nyalandu alikuwa presidential Material ila Chadema wakamuona bwege wakampa mpiga miyowe mtukana Magufuli Lisu
Poleni Chadema kuondokewa na mwanasiasa mahiri na mwenye pesa na ushawishi
Jamaa ni mtu wa Mungu kutoka kanisa la Mwingira-EfathaHashima gani Tena mkuu wakati kashaipoteza?
Saa 2:30 asubuhi!
Kumlinganisha lissu na nyalandu kwa kujenga hoja ni uzuzu...nimekupuuza mkuu...Nyalamdu nitamsikiliza no mwasiasa pekee Wa upinzani aliyekuwa yukp vizuri kila eneo kuanzia exposure ya kisiasa ya ndani na nje mwenye pesa mwenye wafadhili na aliyesaidia sana kote kasaidia watanzania wengi na kasaidia sana nchi kiuchumi kuleta watalii toka marekani
Anapenda siasa safi chafu haziwezi.Chadema kundi lililokuwa linamjua vizuri no kamati kuu ya Chadema .Kwenye kura Lisu waliimpa chini kwenye kura.Baraza kuu ndio wakampa Lisu .Lisu alitojea tu kugombea toka ubelgiji hakujuana na wapiga kura wengi kama Nyalandu sababu Nyalandu hakutegemea media alianza kampeni mapema kujitambulisha mijini na vijijini nchi nzima akitumia mwanya Wa kutafuta wadhamini na alijubalika sababu walimwona physically akiwa na mabasi na convoy kote yenye nembo zake
Nyalandu alijikita kwenye Sera sio personality kama Lisu ambaye kilichomleta toka ubelgiji alikuja kutafuta tu platform ya kutukana Magufuli
Nyalandu hajawahi tukana MTU yeyote kwenye siasa zake toka yuko CCM hadi Chadema. Ana madhaifu yake lakini kwenye siasa safi yuko vizuri ni mjenga hoja mzuri mno .Angegombea uraisi Chadema asingepata vikura kiduchu milioni Moja alizopata Lisu
Nitamsikiliza najua ana hoja Duni Haji aliongea sentensi fupi alipoondoka Chadema ambayo ili I cost Chadema na kuijenga ACT wazalendo alisema tatito LA Chadema kila MTU ana sharubu!!!
Maalim Seif na kundi lake wakaamua kutimukia ACT wazalendo chama kidogo kuliko kwenda Chadema
Nyalandu alikuwa presidential Material ila Chadema wakamuona bwege wakampa mpiga miyowe mtukana Magufuli Lisu
Poleni Chadema kuondokewa na mwanasiasa mahiri na mwenye pesa na ushawishi
Mtu gani wa mungu anakuwa kigeugeu? Nyalandu alitoka ccm kumkimbia jpmJamaa ni mtu wa Mungu kutoka kanisa la Mwingira-Efatha
Akiwa CCM ni mwanachama, kwenda Chadema, ni mwanachama ila kirudi CCM, Chadema anaitwa msaliti.Ni oora agekaa kimya kulinda heshima yake, lakini kubwabwaja ni ishara ya kuonyesha ni jinsi gai usaliti wake unamtesa! Msaliti i msaliti tu hata angejisafisha na kuchafua wengie kwa kiasi gani!
Mwanasiasa mahiri anaongozwa na ajenda za kimsingi na sio siasa za matukio.....Kama ni kweli basi hii yathibitiisha yale niyasemayo siku zote kwamba Tanzania hakuna upinzani wa kweli.
Tume huru si sababu ya upinzani kushindwa kuidhibiti CCM.
Upinzani wahitaji sera na siasa za kipekee kabisa kuzikonga nyoyo za watanzania.
Kwa mfano, jana wapinzani wamepewa dhahabu kwenye sahani waitumie lakini sidhani kama wameiona dhahabiu hiyo na kuipokea.
Aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.