At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
[emoji110][emoji1666]Hapo poa nidhamu muhimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji110][emoji1666]Hapo poa nidhamu muhimu
Ni kweli kabisa alimshinda jiwe ndio maana amebaki na Mbunge mmoja. Wa jimbo la Nkasi.Wachana na habari za Mbowe maana hutomuweza kama alimshindwa jiwe.
Nyalandu alikuwa ni maiigizo mwanzo mwisho - kama ana hata chembe ya kutaka alinde heshima yake ni vyema akae kinywa kuliko kufungua mdomo wake na kuidhilisha Dunia kitu ambacho Watanzania wengi tulikuwa tuna mu-suspect kwa muda mrefu, kwamba: hana msimamo - namely i.e is a seasoned flip flopper - hapo anacho tafuta ni kujaribu kumchota akili Rais wetu, ili amuone ni mwana mpotevu ambaye amehamuwa kwa hiari yake kurudi CCM,kumbe lengo lake ni kufukuzia teuzi aidha ya uwaziri au ubalozi, hana kingine anacho kimbilia zaidi ya vyeo Serikalini, basi.Ni oora agekaa kimya kulinda heshima yake, lakini kubwabwaja ni ishara ya kuonyesha ni jinsi gai usaliti wake unamtesa! Msaliti i msaliti tu hata angejisafisha na kuchafua wengie kwa kiasi gani!
Lazaro nyalandu ameongozwa na ajenda gani kurudi ccm zaidi ya maslahi binafsi?Mwanasiasa mahiri anaongozwa na ajenda za kimsingi na sio siasa za matukio.....
Haahaa uchaguzi wa mwaka Jana ccm waliiba mchakatoNi kweli kabisa alimshinda jiwe ndio maana amebaki na Mbunge mmoja. Wa jimbo la Nkasi.
Mwanasiasa mahiri anaongozwa na ajenda za kimsingi na sio siasa za matukio.....
Aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.
Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.
Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.
Kazi Iendelea
Mwanaume ukidondokwa taulo mbele ya Mama Mkwe ni vyema kuchutama kuliko kuendelea kusimama eti unajitetea sababu za taulo kudondoka. shame on him.Aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.
Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.
Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.
Kazi Iendelee!
Nani anafaidika na kuhamahama huko?? Chama kipi kinapata hasara?Kama ni oil chafu mbona wakirudi huko mnawapokeaga tena kwa mbwembwe na makamera kibao. Kataeni kuwapokea ndo tutajua ni oil chafu.
Aliibiwa kura za maoni na " Ni Yeye "Huyu ndie alitaka kuwa Rais kupitia CDM[emoji23][emoji23]
Huu ni mtazamo dhaifu sana, siasa ni mchezo sawa na michezo mingine, huwezi kuzuia mwanachama kujiunga wala kuondokaUfipa wana mhaho sasa hivi, NYALANDU anataka kuinyea kambi. Ila mbowe ni sikio la kufa, halisikii dawa. Aache kuchukua oil chafu, mwisho wa siku anachafuka na yeye
Kwa sababu walishindwa kuandamana sio?Amedai Chadema ni dhaifu sana!
Huoni chadema ndiyo inayoathirika kwa huo mchezo wa kuhamahama?Huu ni mtazamo dhaifu sana, siasa ni mchezo sawa na michezo mingine, huwezi kuzuia mwanachama kujiunga wala kuondoka
Jiwe uko wapi muda huu?Ni kweli kabisa alimshinda jiwe ndio maana amebaki na Mbunge mmoja. Wa jimbo la Nkasi.
Wameshindwa kupeleka wabunge wa viti maalumu bungeni!Kwa sababu walishindwa kuandamana sio?
Jamaa kalala njaa siku moja tu hoi.....mpiga scrub na zege wapi na wapi...Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.
Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.
Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.
Kazi Iendelee!