johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Aisee ngoja tuonee.Aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.
Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.
Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.
Kazi Iendelee!
Amedai Chadema ni dhaifu sana!Nyarandu kamanda mtiifu wa CDM kaiacha Chadema,ama kweli,,siasa' si hasa",,,!
Nyalandu nyalandu bora unyamaze madhaifu mdani ya chama si unapambana kuyarekebisha site tunajua deal haziendi kwa wapinzaniAliyekuwa mwenyekiti wa Chadema kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.
Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.
Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.
Kazi Iendelee!
Yatatusaidia nini wakati mifukoni hatuna kituAliyekuwa mwenyekiti wa Chadema kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.
Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.
Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.
Kazi Iendelee!
Kwa nini hayo madhaifu asingewaambia hao CHADEMA kabla ya kutoka huko ili kuwapa mbinu za kuwakabili wapinzani wao, mpaka asubir abadili Chama zen ayaanike hadharani?? Yatasaidia nini?Aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.
Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.
Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.
Kazi Iendelee!
Mkuu kwani kuhama chama Ni usaliti? Kikubwa aliondoka ccm kumkimbia Jpm.Mengine atakayoongea ni uwongoNi oora agekaa kimya kulinda heshima yake, lakini kubwabwaja ni ishara ya kuonyesha ni jinsi gai usaliti wake unamtesa! Msaliti i msaliti tu hata angejisafisha na kuchafua wengie kwa kiasi gani!
Bwashee hizo ndio siasa za kibongo!Kwa nini hayo madhaifu asingewaambia hao CHADEMA kabla ya kutoka huko ili kuwapa mbinu za kuwakabili wapinzani wao, mpaka asubir abadili Chama zen ayaanike hadharani?? Yatasaidia nini?
Asituchoshe!
Unaweza sikia bavicha nao wameitisha yao kesho hiyo hiyo au watengeneza drama mnyika katekwa tunawajua kwa vituko!Aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.
Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.
Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.
Kazi Iendelee!
sawa ajipange kutuelezea pia wanyama wetu waliokuwa wanapelekwa uarabuniAliyekuwa mwenyekiti wa Chadema kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.
Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.
Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.
Kazi Iendelee!
Hiyo tv station wataangalia majuha tu maana ni pacha na tbcAliyekuwa mwenyekiti wa Chadema kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.
Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.
Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.
Kazi Iendelee!
UmetishaNaskia Harmonize kachora Tatoo ya Mangofully mguuni...!