Lazaro Nyalandu: Tatizo kubwa la CHADEMA ni Uongozi wa juu, CCM imejaliwa mfumo

Nchi hii Dictator number 1 ni Freeman Aikaeli Mbowe huyu siku Mungu akimuita utazuka ugomvi mkubwa sana wa kugombea madaraka Chadema kati ya familia na ukoo wa Mbowe na wanaharakati uchwala kina Lissu na wenzake.
Mungu amjalie afya njema na maisha marefu Mh Mbowe. Hakika wewe ni Jabali.

Jiwe kahangaika na wewe katangulia yeye. Tujenge Chadema yetu Mkuu.
 
Mungu amjalie afya njema na maisha marefu Mh Mbowe. Hakika wewe ni Jabali.

Jiwe kahangaika na wewe katangulia yeye. Tujenge Chadema yetu Mkuu.
Nyumbu wake mnamjaza sifa za kijinga chama kimepukutika hadi kubakiwa na mbunge mmoja
 
Ukmuona kobe juu ya mti ujue kapandishwa.
 
Hapana wapo wengi wenye akili kumzidi tatizo wananjaa sana. Visenti kidogo tu wanauza chama imagine Halima Mdee au Bulaya mmoja wapo angepewa uenyekiti ingekuwaje ? Wangeuza sio chama tu wangetuuza mpaka wanachama wenyewe
Kwa hiyo Mbowe akifa inakuwaje?
 
Kama Tyson [emoji28]
 
Naunga mkono hoja. Niliwahi kusema kitu kuhusu hili...
P
 
CCM yenye mfumo mbona ilishindwa kumfuma jiwe hadi yeye Nyarandu akakimbia.
 
Chadema mmafanyaga makosa sana kuchukua oil chafu toka ccm. Mkimaliza kuisafisha wanawaachia uchafu wanarudi ccm na kuanza kuwachafua.

Nyalandu
Sumaye
Lowassa
Lembeli
Next tym wakija msiwape uongozi wowote. Wawe wanachama wa kawaida.
Hivi vituko vya kuhama hama vyama bila msimamo wa kueleweka vinashangaza sana. Halafu mtu mzima anaondoka tena anarudi alikotoka na bila aibu anarudi na maneno ya kulaumu alikoenda mwenyewe kwa utashi wake wala siyo kwamba alinunuliwa. Na mara zote wakisharudi wanasema uongozi wa Chama walichohamia una matatizo. Jambo hili linaibua fikra za ajabu kidogo. Wakati mwingine inakuwa kama inamaanisha walitaka wakapewe uongozi wa juu wa hicho chama walichohamia ghafla ili wakisambaratishe. Inaposhindikana basi inabidi warudi walikotoka na maneno ya kashfa. Itoshe tu kukiri kwa kusema kwamba siasa zetu zina dosari tena dosari za kijinga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…