Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Bi shost hujambo???
Lisu anaogopa kujibu mapigo licha ya kiherehere chake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisu anaogopa kujibu mapigo licha ya kiherehere chake.
Binuka nikuzibue.Bi shost hujambo???
Ndio. Vp unawashwa wapi tukukune?
Mungu amjalie afya njema na maisha marefu Mh Mbowe. Hakika wewe ni Jabali.Nchi hii Dictator number 1 ni Freeman Aikaeli Mbowe huyu siku Mungu akimuita utazuka ugomvi mkubwa sana wa kugombea madaraka Chadema kati ya familia na ukoo wa Mbowe na wanaharakati uchwala kina Lissu na wenzake.
Nyumbu wake mnamjaza sifa za kijinga chama kimepukutika hadi kubakiwa na mbunge mmojaMungu amjalie afya njema na maisha marefu Mh Mbowe. Hakika wewe ni Jabali.
Jiwe kahangaika na wewe katangulia yeye. Tujenge Chadema yetu Mkuu.
Ukmuona kobe juu ya mti ujue kapandishwa.Mpuuzi tu huyo. Kwanza Kamati kuu hachagui wagombea, inapendekeza majina... Na wote tunajua CDM walikua na majina 3....Bora angesema kuwa alidhulumiwa kura kwenye baraza kuu.
Hivi hao waandishi wa Habari hawajui kuuliza maswali au ndiyo upeo wao ulipoishia...!?
Binuka nikuzibue.
Kwa hiyo Mbowe akifa inakuwaje?Hapana wapo wengi wenye akili kumzidi tatizo wananjaa sana. Visenti kidogo tu wanauza chama imagine Halima Mdee au Bulaya mmoja wapo angepewa uenyekiti ingekuwaje ? Wangeuza sio chama tu wangetuuza mpaka wanachama wenyewe
Binuka nikuzibue.Kampikie daku basha wako
Kama Tyson [emoji28]Nae alikua anajifanya kukimbilia Kenya walimdaka mpakani hapo Wakenya walijua sio mpinzani ndio maana walimrudisha upande wa Tanzania wahangaike nae hata hatukujua tena iliishia wapi anakuja na story za kutengeneza kila kukicha hawa ndio wale maisha yao ni siasa tuu bila siasa hakuna maisha...
Hata wewe ,mbowe , Lissu , mmezaliwa na ccmCCM ndo wanatatizo kubwa la kiuongozi.wamezalisha kila aina ya viongozi ikiwemo wezi,madictetor,waongo nk
Naunga mkono hoja. Niliwahi kusema kitu kuhusu hili...Kuna vitu unajiuliza sana kuhusu Watanzania
Nayalandu kama raia ana haki ya kushiriki siasa popote pale alipo bila kuulizwa lolote au chochote
Nyalandu alipohama CCM ilikuwa kwa matakwa yake binafsi
Kinachokera ni kwamba baada ya kurudi CCM sasa anakwenda kueleza katika vyombo vya habari mambo yasisyohusiana na haki yake kama Raia ya kushirikia siasa.
Nyalandu alikuwa na haki ya kueleza hayo akiwa katika chama halafu aondoke. Hili la kueleza baada ya kupokewa ambalo tunajua lina ahadi ni njia ya kujitangaza ili mkono uende kinywani.
Kukaa kimya kunamjengea mtu heshima, haya ya Nyalandu ni kujivua nguo hadharani
Ipo siku tutasikia pia akitueleza ya chumbani sidhani kama anaelewa haki, wajibu na stara.
This is too low Nyalandu, hata kaheshima ulikokuwa nako sidhani kama kapo tena.
Ukimuona alivyo nadhifu hutaamini ..
JokaKuu Pascal Mayalla
Unaona eh!!! Yaani we acha tu!!!Mfumo wa fomu moja bila copy, ukitaka kugombea unafukuzwa huo ndiyo mfumo?
Kuna Mnyika, Kuna Boniface, Kuna kina Yericko wapo wafia chama wengi tu New Generatio ambao hawana tamaa za KingeseKwa hiyo Mbowe akifa inakuwaje?
Hao wote si hamuwaamini kwa kisingizio kwamba watauza chama maana hawana hela?Kuna Mnyika, Kuna Boniface, Kuna kina Yericko wapo wafia chama wengi tu New Generatio ambao hawana tamaa za Kingese
Amuulize BashiruAache porojo atulie atapata cheo kwani ccm hakuna shida ya uongozi?
Hivi vituko vya kuhama hama vyama bila msimamo wa kueleweka vinashangaza sana. Halafu mtu mzima anaondoka tena anarudi alikotoka na bila aibu anarudi na maneno ya kulaumu alikoenda mwenyewe kwa utashi wake wala siyo kwamba alinunuliwa. Na mara zote wakisharudi wanasema uongozi wa Chama walichohamia una matatizo. Jambo hili linaibua fikra za ajabu kidogo. Wakati mwingine inakuwa kama inamaanisha walitaka wakapewe uongozi wa juu wa hicho chama walichohamia ghafla ili wakisambaratishe. Inaposhindikana basi inabidi warudi walikotoka na maneno ya kashfa. Itoshe tu kukiri kwa kusema kwamba siasa zetu zina dosari tena dosari za kijinga sana.Chadema mmafanyaga makosa sana kuchukua oil chafu toka ccm. Mkimaliza kuisafisha wanawaachia uchafu wanarudi ccm na kuanza kuwachafua.
Nyalandu
Sumaye
Lowassa
Lembeli
Next tym wakija msiwape uongozi wowote. Wawe wanachama wa kawaida.