Lazaro Nyalandu: Tatizo kubwa la CHADEMA ni Uongozi wa juu, CCM imejaliwa mfumo

Lazaro Nyalandu: Tatizo kubwa la CHADEMA ni Uongozi wa juu, CCM imejaliwa mfumo

Nae alikua anajifanya kukimbilia Kenya walimdaka mpakani hapo Wakenya walijua sio mpinzani ndio maana walimrudisha upande wa Tanzania wahangaike nae hata hatukujua tena iliishia wapi anakuja na story za kutengeneza kila kukicha hawa ndio wale maisha yao ni siasa tuu bila siasa hakuna maisha...
 
Baada ya kukosa alichokitaka? Yeye alisaidia nini kwenye uongozi alipokuwa ndani ya chadema? Amerudi alikotoka atulie na aendelee na mipango yake.
Nyalandu anatakiwa akapimwe akili kwanini,kwasababu, Mara anakimbia ubunge,mara anataka tena uRais,mara anataka tena ubunge alio ukimbia. Mara anakimbia CCM anakimbilia Chadema,mara anakimbia chadema anakimbilia CCM.
 
Mbowe achie ngazi umelalamikiwa na wengi,.
ipo siku hao unaowalipa kukutetea watachoka.
Hawawezi kuchoka ,mpaka hapo fungu la kuwagawia likikosekana
 
Nyalandu anatakiwa akapimwe akili kwanini,kwasababu, Mara anakimbia ubunge,mara anataka tena uRais,mara anataka tena ubunge alio ukimbia. Mara anakimbia CCM anakimbilia Chadema,mara anakimbia chadema anakimbilia CCM.
Msaka fursa sana huyo
 
Nyalandu hafai bora angeacha tu siasa. katoka ccm mbio mbio na kashfa kede kede chadema wakampokea kwa dekio,dodoki bila kusahau sabuni za kila aina wakamsafisha leo ndio wa kuongea mabaya yao aiseeee. ila chadema nao wapuuzi tu mnapokea wakimbizi na kuwajazia vyeo kede kede matokeo yake ndo hayo kusalitiwa.
 
Tatizo la viongozi wengi wa nchi hii huwa wanawafanya watanzania ni vichwa maji.
Hivi huyu jamaa si alikuwa ni kiongozi mkubwa kabisa nchi hii(waziri). Hata ukiacha hii nafasi naamini amekuwa ni kiongozi ktk mashirika na asasi mbalimbali tu.
Hoja yangu ni kwamba kwa nafasi yake ktk nchi hii naamini amekuwa na vyanzo vingi tu vya taarifa kujua kwamba chadema kunashida ya uongozi hata kabla hajahamia huko.
Anachotaka kusema ni kwamba na yeye aliamini 'blaablaa' za chadema nae akavutika kuhamia huko bila kufikiria kwa kina?
Ametambua chadema kunashida ya uongozi Mara tu awamu ya sita ilipoingia?
 
Sababu ya kuondoka CCM mbona alishasemaga? Au arudie Tena
Basi mimi tukusikia...
Ila kwa wanasiasa hiyo usishangae
Mwanasiasa ni mtu wa kubadilika wakati
Wowote[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Tatizo la Uongozi wa Chadema ni kuwapokea hao mamluki kutoka Ccm nilidhani watajifunza kwa Lowassa wataendelea kuvuliwa nguo kila siku.
 
CHADEMA hapa tayari mmekwama na mmeonyesha huko kwenu HAKUNA demokrasia.

Nyalandu kumbe alimgalagaza Lissu ila mkatumia nguvu kumtoa, sasa uchaguzi mliufanya ili iweje?

Kwanini mlimpa fomu nyalandu agombee huku mkiwa na Mtu wenu tayari?

Kumbe Lissu kelele zote zile hadi kwenye kamati kuu alipigwa na nyalandu?

Anasema pia viongozi wa chadema mlimtukana kisa kwenda kwenye msiba wa Magufuli, CHADEMA hamna maana kabisa. Nyalandu anaendelea kuwaumbua

Nyalandu kwa haya unayosema, nimekusamehe yote na bora ulivyorudi CCM kwa mama.

Nyalandu nimegundua ni Mtu makini sana.

Screenshot_20210503-100807_1.jpg
 
Back
Top Bottom