Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Ikawaje akawa mjumbe wa kamati kuuni kweli waliotoka ccm hawaaminiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikawaje akawa mjumbe wa kamati kuuni kweli waliotoka ccm hawaaminiki
Ikawaje akawa mjumbe wa kamati kuu
hata wewe unaweza kuja ukawa mjumbe wa kamati kuu ila siyo kila angle unafaaIkawaje akawa mjumbe wa kamati kuu
Mkuu' JK alishapigilia msumari long time "AKILI ZA KUAMBIWA, CHANGANYA NA ZAKO", Sisi tutaaminije hayo??Chadema hapa tayari mmekwama na mmeonyesha huko kwenu HAKUNA demokrasia.
Nyalandu kumbe alimgalagaza Lissu ila mkatumia nguvu kumtoa, sasa uchaguzi mliufanya ili iweje?
Kwa nini mlimpa fomu nyalandu agombee huku mkiwa na Mtu wenu tayari?
Kumbe Lissu kelele zote zile Hadi kwenye kamati kuu alipigwa na nyalandu?
Anasema pia viongozi wa chadema mlimtukana kisa kwenda kwenye msiba wa Magufuli, chadema hamna maana kabisa. Nyalandu anaendelea kuwaumbua
Nyalandu kwa haya unayosema, nimekusamehe yote na bora ulivyorudi CCM kwa mama.
Nyalandu nimegundua ni Mtu makini sana.
View attachment 1771882
Chadema hapa tayari mmekwama na mmeonyesha huko kwenu HAKUNA demokrasia.
Nyalandu kumbe alimgalagaza Lissu ila mkatumia nguvu kumtoa, sasa uchaguzi mliufanya ili iweje?
Kwa nini mlimpa fomu nyalandu agombee huku mkiwa na Mtu wenu tayari?
Kumbe Lissu kelele zote zile Hadi kwenye kamati kuu alipigwa na nyalandu?
Anasema pia viongozi wa chadema mlimtukana kisa kwenda kwenye msiba wa Magufuli, chadema hamna maana kabisa. Nyalandu anaendelea kuwaumbua
Nyalandu kwa haya unayosema, nimekusamehe yote na bora ulivyorudi CCM kwa mama.
Nyalandu nimegundua ni Mtu makini sana.
View attachment 1771882
Hao chadema walikuwa sahihi kumtosa! Na ushahidi wa yeye kuto kuaminika kama kada mwenzake Lowasa, ndiyo huu wa kurudi kwake nyumbani. Ingawa pia siungani nao kwa huu utaratibu wao wa kuwapokea makada wa ccm, na kuwapa vyeo vya kamati kuu na vile vingine vya kanda, na mwisho wa siku wanaishia tu kuwaacha kwenye mataa.Chadema hapa tayari mmekwama na mmeonyesha huko kwenu HAKUNA demokrasia.
Nyalandu kumbe alimgalagaza Lissu ila mkatumia nguvu kumtoa, sasa uchaguzi mliufanya ili iweje?
Kwa nini mlimpa fomu nyalandu agombee huku mkiwa na Mtu wenu tayari?
Kumbe Lissu kelele zote zile Hadi kwenye kamati kuu alipigwa na nyalandu?
Anasema pia viongozi wa chadema mlimtukana kisa kwenda kwenye msiba wa Magufuli, chadema hamna maana kabisa. Nyalandu anaendelea kuwaumbua
Nyalandu kwa haya unayosema, nimekusamehe yote na bora ulivyorudi CCM kwa mama.
Nyalandu nimegundua ni Mtu makini sana.
View attachment 1771882
Akiwa 360 Clouds ameliongea hili leo na yuko live mpaka sasa,anasema tatizo lipo kwenye uongozi. Amesema wanachama wa chini kabisa hawana tatizo kabisa ,matumaini yao yanaharibiwa na uongozi wa juu.
Angalizo: Mbowe uongozi wako umeshindwa vibaya sana, achia ngazi
==================
“Nilipoenda nchi ya ugenini (CHADEMA) wimbo ulikuwa haumbiki kwa namna ambavyo nilikuwa naangalia matukio, ilipotokea Mheshimiwa Rais anaumwa kuna baadhi ya viongozi walijitolea wakasema huyu hafai aondoke tufurahi, ilikuwa inanikwaza kupita kiasi”
“Niliposafiri kwenda Chato kuzika mashambulizi ambayo yalikuwa yananipata, hayakutoka kwa wana-CCM, hayakutoka kwa wana-CHADEMA wa kawaida, yalitoka kwa baadhi wenye msimamo mkali, unamshambuliaje mtu alieenda kuzika kiongozi wake wa nchi?"
“Wakati wa matatizo ya Lissu mimi binafsi sikujali kwamba ni CHADEMA, nilimuona ni Mtanzania ni kiongozi mwenzangu kule Singida, nakumbuka hata Mhe Rais alienda pia kumuona. Lakini wanachama wa CCM kuanzia Rais hadi viongozi hakuna aliepiga simu au kututukana”
“Kuna mitihani ilitokea kwenye uchaguzi, kulikuwa na chaguzi za aina mbili, moja ilikuwa kupigiwa kura kwenye kamati, tunaenda kwenye Baraza Kuu. Kwenye Kamati Kuu Nyalandu alipata 100%, nilimgaragaza kweli kweli, kilichotokea viongozi wakasema Nyalandu asije akawa kama Lowassa”
“Uchaguzi wa mgombea ubunge Singida Kaskazini, wajumbe wamefika usiku ule kuanzia saa kumi na mbili watu wananipigia simu wananiambia mbona mgombea Urais wako hakutaki anasema kidogo umkoseshe kugombea Urais kule Dar es Salaam”
“Wana-CHADEMA watu wa kawaida wengi ni watu wazuri, ni watu ambao wanatamani nchi bora, ambacho wanawazidi wana-CCM wewe itisha mkutano watakuja kwa mguu, watatoka walikotoka, watajitolea katika hali ambayo hutoamini”
“Siasa sio matusi, siasa sio kukoseana heshima, sio kutukana kiongozi wa nchi, siasa sio kuwatukana wale unaotofautiana nao, ni kusema hoja zako mbadala”
“Chama Cha Mapinduzi kimejaliwa mfumo, kilivyotengeneza itifaki ya chama, namna ambavyo walitengeneza mfumo wa kutoa dukuduku zako, mfumo wa kuchaguana. Kina strength ya mfumo, naamini imani ya watu tukipeleka kwa public, mwananchi wa kawaida anatoa kura” -
"..Nyalandu alipata 100 wajumbe walikuwa 30 nilipata kura zote Tundu Lissu alipata kura 24 nilimgalagaza kweli kweli" . Ebu nieleweshe hii hesabu.Chadema hapa tayari mmekwama na mmeonyesha huko kwenu HAKUNA demokrasia.
Nyalandu kumbe alimgalagaza Lissu ila mkatumia nguvu kumtoa, sasa uchaguzi mliufanya ili iweje?
Kwa nini mlimpa fomu nyalandu agombee huku mkiwa na Mtu wenu tayari?
Kumbe Lissu kelele zote zile Hadi kwenye kamati kuu alipigwa na nyalandu?
Anasema pia viongozi wa chadema mlimtukana kisa kwenda kwenye msiba wa Magufuli, chadema hamna maana kabisa. Nyalandu anaendelea kuwaumbua
Nyalandu kwa haya unayosema, nimekusamehe yote na bora ulivyorudi CCM kwa mama.
Nyalandu nimegundua ni Mtu makini sana.
View attachment 1771882
Hadi leo ni miaka 15 tokea wapo chadema muulize yule twaha wa bavicha au mdude kwa nini hawajawa wajumbe wa kamati kuuhata wewe unaweza kuja ukawa mjumbe wa kamati kuu ila siyo kila angle unafaa
Nyalandu anasema ,wajumbe walikuwa 30,yeye alipata kura zote,na Lissu alipata kura 24,
Jamami kwani ukiwa ccm ndiyo unajitia akili zote?
Kwa hili povu, bila shaka umeelewaJifunze namna ya kuwasilisha hoja. Umeandika kama mtu mmbeya aliyesimama pembeni ya barabara, ambaye haeleweki hata analenga nini.