Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Sababu ya kuondoka CCM mbona alishasemaga? Au arudie TenaVp ameelezea sababu ya kwanini aliondoka ccm mkuu
Ova
Nyalandu anatakiwa akapimwe akili kwanini,kwasababu, Mara anakimbia ubunge,mara anataka tena uRais,mara anataka tena ubunge alio ukimbia. Mara anakimbia CCM anakimbilia Chadema,mara anakimbia chadema anakimbilia CCM.Baada ya kukosa alichokitaka? Yeye alisaidia nini kwenye uongozi alipokuwa ndani ya chadema? Amerudi alikotoka atulie na aendelee na mipango yake.
Msaka fursa sana huyoNyalandu anatakiwa akapimwe akili kwanini,kwasababu, Mara anakimbia ubunge,mara anataka tena uRais,mara anataka tena ubunge alio ukimbia. Mara anakimbia CCM anakimbilia Chadema,mara anakimbia chadema anakimbilia CCM.
Mkuu, hata uanachama wasipewe, Vyama c vpo vingi?? Why CHADEMA!Chadema mmafanyaga makosa sana kuchukua oil chafu toka ccm. Mkimaliza kuisafisha wanawaachia uchafu wanarudi ccm na kuanza kuwachafua.
Nyalandu
Sumaye
Lowassa
Lembeli
Next tym wakija msiwape uongozi wowote. Wawe wanachama wa kawaida.
anaota Urais baada ya Mama eti...Msaka fursa sana huyo
akijibu hii unitag.Tatizo la Chadema ni uongozi,tatizo la CCM ni nini? hadi ukakimbia uko na kuacha ubunge?
Basi mimi tukusikia...Sababu ya kuondoka CCM mbona alishasemaga? Au arudie Tena
Hiyo kawaida kwa wanasiasaUnatoka ccm unakuja Chadema ili upate nafasi za juu kwenye chama.
Ukikosa ndio unalopoka kama hivi...