Uchaguzi 2020 Lazaro Nyalandu vs Ramadhani Ighondu kinyang'anyiro cha kuwania Ubunge jimbo la Singida Kaskazini

Ramadhani Ighondu ni mtoa roho, tunakumbuka sana alicho fanya kwa maisha ya Dr. Ulimboka, Nyalandu ajichunge
Nyarandu kawatangulia mjini na duniani.. toka kitambo πŸ˜€πŸ˜€
 
Na mimi hilo jina nimelisoma tu, ya Dr., yakaja. Lakini haya maisha.....akikosa atamwaga damu tu huyo Ighondu
Kumbukumbu zangu zinaniambia yule mtesaji alikuwa ni Mnyaturu wa Manyoni ...kumbe bado yuo!? Nyalandu tayari ni Mbunge ...Mungu ni Mkubwa!
 
Singida yote muwe kitu kimoja, mkiona mnaanza kutekwa mjue kabisa, ni mipango na mikakati ya CCM ya Magufuli.
 
Binafsi nimekuelewa. Hivi mshahara wa TISS hautoshi hadi akimbilie ubunge??????

Kuna nini kwenye ubunge????

Bashite na Gambo wameacha VX 8 za uRC kisa ubunge!

Lazima tujiulize sana kuna nini kwenye ubunge.
 
Kweli Mungu ni wa ajabu sana. Walijiona hawafahamiki ila sasa hivi washaanza kujitokeza waziwazi kuomba huruma zetu duuuuhhhhh. . . . Kweli MUNGU hamfichi mnafiki. Anyway, MUNGU ni mwema sana na ninaamini yajayo yanafurahisha
 
Huyu Rama na simu yake ya mtandao wa Tigo hata mimi nimemkumbuka mtesi wa Dr ulimboka.
 
Haya yote tutayamwaga hadharani ili watu wote waelewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…