loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,887
- 6,657
Hili sio ombi ni AMRI.
Kila mtu lazima ashereheke Krismas.
Kuendana kinyume na hapo utajiweka kwenye wakati mgumu. Na usije kulaumu mamlaka takatifu.
Vijana wa Zayuni kwaanzia leo usiku hadi kesho jioni watafanya doria maalum kukagua kila nyumba, kaya, mji na familia. Kubaini kama wanasheherekea siku kuu hii tukufu.
Ole wako sasa wakukute umepika ugali na una huzuni.
gallow bird Ritz THE BIG SHOW kahtaan Tanganian Covax Makebo
adriz de mbusii