Lazima Ufaransa wang'oke mbele ya MOROCCO kama Hispania na Ureno wameng'oka, hakuna kitakachomuokoa Ufaransa

Lazima Ufaransa wang'oke mbele ya MOROCCO kama Hispania na Ureno wameng'oka, hakuna kitakachomuokoa Ufaransa

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Tuseme ukweli, Ufaransa haina cha zaidi kuliko hispania wala ureno!

Siyo muujiza kwa Morocco kuifunga ufaransa kama iliweza kuifunga hispania. Kwanza Ufaransa ndio wako kwenye presha ya mchezo kuliko m
Morocco!

Afrika tujiandae kupokea kombe, maana lazima litembezwe kila nchi ya Afrika.
 
Bora ufaransa watolewe, na itakua maajabu waafrika waishangilie ufaransa ambayo inawakilisha nchi yake na ulaya kwa ujumla na kuwatema ndugu zao Morocco ambao wanaliwakilisha bara letu la Afrika

Nipo na Morocco [emoji1173]
Nipo na Argentina [emoji1033]
Ufaransa ni weusi, Moroco ni waarabu....chagua mwenyewe
 
Bora ufaransa watolewe, na itakua maajabu waafrika waishangilie ufaransa ambayo inawakilisha nchi yake na ulaya kwa ujumla na kuwatema ndugu zao Morocco ambao wanaliwakilisha bara letu la Afrika

Nipo na Morocco 🇲🇦
Nipo na Argentina 🇦🇷
Morocco ndugu zetu ? Tangu lini?
Kwani sisi tunandugu wangapi ? Na kina nani sio ndugu zetu? Anyway naomba Usiku na mchana
Morocco wasishinde game hio period.
 
Tuseme ukweli, ufaransa haina cha zaidi kuliko hispania wala ureno!

Siyo muujiza kwa Morocco kuifunga ufaransa kama iliweza kuifunga hispania. Kwanza Ufaransa ndio wako kwenye presha ya mchezo kuliko morocco!

Afrika tujiandae kupokea kombe, maana lazima litembezwe kila nchi ya Afrika!!
Tumewasifu kukimbia sasa mmepapita kwenu..,
Kwanza lazma ujue ufaransa anashinda ndani ya 90min na hategemei VAR apewe penalty ya mchongo.
 
Bora ufaransa watolewe, na itakua maajabu waafrika waishangilie ufaransa ambayo inawakilisha nchi yake na ulaya kwa ujumla na kuwatema ndugu zao Morocco ambao wanaliwakilisha bara letu la Afrika

Nipo na Morocco 🇲🇦
Nipo na Argentina 🇦🇷
Morroco washasema ni kwa waarabu na waislamu. Argentina sijawahi ona mchezaji mweusi.

Ni rahisi kwenda ufaransa na ukaishi kwa amani ukapata na mke wakifaransa kuliko arabuni(morroco) na Argentina huwa naona wapumbavu sana wanaoshabikia timu za kibaguzi kama hizo
 
Nimechagua waafrika wenzangu MOROCCO 🇲🇦

I wish wakutane final Argentina 🇦🇷 and Morocco 🇲🇦

Vamos Albiceleste 🇦🇷
Vamos Simba wa Atlas 🇲🇦
Kama wa-Morocco ni waafrika , kuna wachezaji wangapi weusi?
France ina black ambao wanatokea Afrika Eg: Senegal

Wamorocco wameshasema wakishinda ni kwa ajili ya Waarabu na Waislamu
 
Morroco washasema ni kwa waarabu na waislamu.
Argentina sijawahi ona mchezaji mweusi.
Ni lahisi kwenda ufaransa na ukaishi kwa amani ukapata na mke wakifaransa kuliko arabuni(morroco) na Argentina huwa naona wapumbavu sana wanaoshabikia timu za kibaguzi kama hizo

Usiwapangie watu bwana.. kwa taarifa yako mimi ni mwanampira na sio shabiki, eti kwakua timu ina weusi ndio niishabikie 😃 huu ndio ushabiki kweli! Huko kwa Argentina wala usiongee kabisa, kuhusu morocco ina weusi labda hufuatilii mpira..

Kingine, huyo ufaransa atolewe haraka, ni katika nchi zinazojihusisha na suala la ushoga..
Kama wa-Morocco ni waafrika , kuna wachezaji wangapi weusi?
France ina black ambao wanatokea Afrika Eg: Senegal

Wamorocco wameshasema wakishinda ni kwa ajili ya Waarabu na Waislamu
Haijalishi walichokisema, na wala hakibadilishi chochote.. mimi nitaenda na Wa-Afrika wenzangu

Vamos Argentina 🇦🇷
Vamos Morocco 🇲🇦
 
Morroco washasema ni kwa waarabu na waislamu.
Argentina sijawahi ona mchezaji mweusi.
Ni lahisi kwenda ufaransa na ukaishi kwa amani ukapata na mke wakifaransa kuliko arabuni(morroco) na Argentina huwa naona wapumbavu sana wanaoshabikia timu za kibaguzi kama hizo

Wewe baki na wake wa kifaransa, ndio fahari kwako sio!
 
Tumewasifu kukimbia sasa mmepapita kwenu..,
Kwanza lazma ujue ufaransa anashinda ndani ya 90min na hategemei VAR apewe penalty ya mchongo.
Ana nini ufaransa zaidi ya hispania? kama hispania aling'oka, ufaransa hawezi kuwa na ujanja!
 
Back
Top Bottom