Lazima Ufaransa wang'oke mbele ya MOROCCO kama Hispania na Ureno wameng'oka, hakuna kitakachomuokoa Ufaransa

Lazima Ufaransa wang'oke mbele ya MOROCCO kama Hispania na Ureno wameng'oka, hakuna kitakachomuokoa Ufaransa

Kwa hiyo france ni Afrika???mbna unaweweseka hv????
Kama wa-Morocco ni waafrika , kuna wachezaji wangapi weusi?
France ina black ambao wanatokea Afrika Eg: Senegal

Wamorocco wameshasema wakishinda ni kwa ajili ya Waarabu na Waislamu
 
Bora ufaransa watolewe, na itakua maajabu waafrika waishangilie ufaransa ambayo inawakilisha nchi yake na ulaya kwa ujumla na kuwatema ndugu zao Morocco ambao wanaliwakilisha bara letu la Afrika

Nipo na Morocco 🇲🇦
Nipo na Argentina 🇦🇷
Mimi niko na Ufaransa, Waafrika weusi wenzangu.

Waarabu mtanisamehe...
 
Morroco washasema ni kwa waarabu na waislamu.
Argentina sijawahi ona mchezaji mweusi.
Ni lahisi kwenda ufaransa na ukaishi kwa amani ukapata na mke wakifaransa kuliko arabuni(morroco) na Argentina huwa naona wapumbavu sana wanaoshabikia timu za kibaguzi kama hizo
Mpira umeanza kufuatilia lini? baada ya kununu hicho kitecno? Unamjua Juan Sebastian Veron aliyekua mchezaji wa Argentina? huyo alikua sio mweusi?

Vipi Taifa stars inao wachezaji weupe?
 
Morocco [emoji1173] Wamesema ushindi wao ni kwa ajili ya waarabu na uislam ninyi wengine mnajipendekeza tu ni bora nishangilie France tu
 
Hapana baada ya kununua radio ya mbao kipindi hicho mama yako akiwa anadanga.
Punguza wehu we mfia dini, hamna mtu anayezamia aende Morocco(ispokuwa imam au mwarabu) au Argentina bota aende costarica au equdor,
Na mzungu hawezi kuzamia bongo isipokuwa hao waarabu wako na ndugu katika imani.
Unaona sasa ulivyokua hamnazo? umerukia mambo mengine kabisa! wapi nimetaja dini? jibu swali Veron mchezaji wa Argentina alikua mweupe? Taifa stars kuna wachezaji weupe?

Binti utakua na matatzio bila shaka, tafuta maembe mabichi utafune ili kupunguza kutema tema mate hovyo.
 
Duuh!!! Mama yako na umri huo bado anavaa shanga kumbe na anakukatikia...
Umekuja kumuuza mama yako jf.
Enewei sio makosa yako laana ya kuona vitu vya mama yako
Hujui kitu kuhusu mpira kaa kimya,hii ni thd ya soka, Unaonekana umepigwa na maisha na umesha changanyikiwa tayari.
 
Morroco washasema ni kwa waarabu na waislamu.
Argentina sijawahi ona mchezaji mweusi.
Ni rahisi kwenda ufaransa na ukaishi kwa amani ukapata na mke wakifaransa kuliko arabuni(morroco) na Argentina huwa naona wapumbavu sana wanaoshabikia timu za kibaguzi kama hizo

Kinachoangaliwa ni the beautiful game called footaball, mambo ya rangi hatuzingatiii ni siasa ambazo hazina nafasi ndani ya mpira…..
 
Kushabikia ni uamuzi wa mtu, kila mmoja ashabikie kile roho inapenda ila asitingishe hali za wengine
 
Kinachoangaliwa ni the beautiful game called footaball, mambo ya rangi hatuzingatiii ni siasa ambazo hazina nafasi ndani ya mpira…..
Kweli hazina nafasi ila umesahau kusema huo ni mtazamo wako(opinion) sio fact. Ingekuwa hivo basi wasingekuwa wanabagua hao watu weusi kwenye mpira kuanzia huko kwenye vilabu mpaka timu ya taifa.
 
Back
Top Bottom