Lazima Ufaransa wang'oke mbele ya MOROCCO kama Hispania na Ureno wameng'oka, hakuna kitakachomuokoa Ufaransa

Lazima Ufaransa wang'oke mbele ya MOROCCO kama Hispania na Ureno wameng'oka, hakuna kitakachomuokoa Ufaransa

France all the way to go...Hawa waarabu tuwaachie timu yao kama wanavyotaka,
 
Duuh!!! Kwahiyo ukizaliwa ulaya hatakama ni mweusi unakuwa mzumgu!?
Kuzaliwa Tanzania kutakufanya uwe mtanzania lakin sio muafrica.
Jews wenye uraia wa hapa ni watanzania lakini sio waafrica ni Jews same applies to Arabs, Chinese or Indians.
Hii ni more about race kuliko nationality (uraia).
Huko America black na Latino kila kukicha wanauliwa na ni raia wa mataifa husika.
Turudi kwenye muktadha!! Morocco ni moja ya nchi tano zilizoiwakilisha AFRIKA kwenye kombe la dunia!! Ni wawakilishi wa Afrika!! Hilo halina mjadala!! Kataa na hilo kama ubavu unao!!
 
Morocco akimtoa mfaransa basi ni bingwa
 
Turudi kwenye muktadha!! Morocco ni moja ya nchi tano zilizoiwakilisha AFRIKA kwenye kombe la dunia!! Ni wawakilishi wa Afrika!! Hilo halina mjadala!! Kataa na hilo kama ubavu unao!!
Kuwa Africa sio kuwa muafrica, muafrica is more about race, Elon Musk amezaliwa Africa lakini sio muafrica.
Moroco walishaomba kujiunga umoja wa ulaya wakakataliwa ndio wakaomba AU, wangekubaliwa wangekuwa wazungu, waafrica au waarab!?.
Australia ime-qualify kupitia Asia kwani ipo Asia!?
Au iliend kuiwakilisha Asia!?
 
Unasema uongo na unawasingizia!! Walichosema ni kuwa ushindi wao ni kwa ajili ya AFRIKA yote na mataifa yote ya kiarabu!! (si kwa ajili ya afrika peke yake bali kwa ajili ya mataifa ya kiarabu pia). Hawajaikana Afrika kama unavyotaska kutuambia!! Na hapo wako sahihi maana wao ni waafrika na waarabu kwa pamoja!! Ushahidi huu haspa:

And so to Qatar. Morocco’s players will carry not only the hopes and dreams of Africa when they face Portugal but of the Arab world as well. Having seen his father’s dream of his country becoming the first in Africa to host the World Cup ended after three failed bids, the king of Morocco, Mohammed VI – who congratulated Regragui on the phone after the victory against Spain.
Na waislamu nao mbona umesahau kusema hilo?
 
Kuwa Africa sio kuwa muafrica, muafrica is more about race, Elon Musk amezaliwa Africa lakini sio muafrica.
Moroco walishaomba kujiunga umoja wa ulaya wakakataliwa ndio wakaomba AU, wangekubaliwa wangekuwa wazungu, waafrica au waarab!?.
Australia ime-qualify kupitia Asia kwani ipo Asia!?
Au iliend kuiwakilisha Asia!?
Umeshasema "kupitia Asia na siyokutoka Asia!! Morocco haijashiriki kombe la dunia kupitia Afrilka bali ni kutoka Afrika!! Wanaiwakilisha Afrika!! Wanastahili kushangiliwa na Afrika kwanza!! Muktadha/context ni ushiriki wa kombe la dunia kutoka AFRIKA!!
 
Kama unakubali kuwa Australia wamefuzu kupitia Asia, basi wamoroco wamesema wao sio waafrica wamefuzu tu kupitia africa.
Na aliyepanga sijui mabara au caf ni vitu ambavyo ni imaginary lakin kuwa black, mwaarabu, au mzungu tumezaliwa tukiwa hivo hayo mabara ni ramani tu imechorwa usichukulie serious sana
 
Tuseme ukweli, Ufaransa haina cha zaidi kuliko hispania wala ureno!

Siyo muujiza kwa Morocco kuifunga ufaransa kama iliweza kuifunga hispania. Kwanza Ufaransa ndio wako kwenye presha ya mchezo kuliko m
Morocco!

Afrika tujiandae kupokea kombe, maana lazima litembezwe kila nchi ya Afrika.
Wapenda dezo mmejitokeza, acheni Waarabu washerehekee ushindi wao.

Huna tofauti na mzee Abdul...baba Diamond wa kuchonga
 
Umeshasema "kupitia Asia na siyokutoka Asia!! Morocco haijashiriki kombe la dunia kupitia Afrilka bali ni kutoka Afrika!! Wanaiwakilisha Afrika!! Wanastahili kushangiliwa na Afrika kwanza!! Muktadha/context ni ushiriki wa kombe la dunia kutoka AFRIKA!!
Hata kesho wanaweza kuamua team ziwe znafuzu kwa utaratibu mwingine na ikaenda vizuri tu.
Na unapoongelea mabara unaongelea drift force zilizotengenisha hiyo ardhi moja ya pangea.
 
Kweli hazina nafasi ila umesahau kusema huo ni mtazamo wako(opinion) sio fact. Ingekuwa hivo basi wasingekuwa wanabagua hao watu weusi kwenye mpira kuanzia huko kwenye vilabu mpaka timu ya taifa.

Unaobagua sio mpira ni hao wasiojua ndio maana no racism ni wimbo wa kila arm band, na ndio maana unakuta no matter hizo ubaguzi zinafanyika ila bado talent na uwezo zinapiga kazi kwenye pitch, kwenye mpira racism hailipwi kwa racism…..anyway yaishe.
 
Back
Top Bottom