Lazima Ufaransa wang'oke mbele ya MOROCCO kama Hispania na Ureno wameng'oka, hakuna kitakachomuokoa Ufaransa

Lazima Ufaransa wang'oke mbele ya MOROCCO kama Hispania na Ureno wameng'oka, hakuna kitakachomuokoa Ufaransa

Unapatikan wap mkuu naona unapita mle mle mtabiri tambi tambi
Naona dawa imekuingia kisawasawa na ndio faraja kwangu,umebaki kuruka ruka tu kama Kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa ghafla,

Haya jibu maswali niliyo kuuliza kwenye comment # 29
 
Bora ufaransa watolewe, na itakua maajabu waafrika waishangilie ufaransa ambayo inawakilisha nchi yake na ulaya kwa ujumla na kuwatema ndugu zao Morocco ambao wanaliwakilisha bara letu la Afrika

Nipo na Morocco 🇲🇦
Nipo na Argentina 🇦🇷
Kwakuwa wewe ni muislamu upo sahihi kuishangilia moroko......kwasababu kwa kinywa chao wanadai ule ni ushindi wa waarabu na waislamu kote duniani
 
Hapana baada ya kununua radio ya mbao kipindi hicho mama yako akiwa anadanga.
Punguza wehu we mfia dini, hamna mtu anayezamia aende Morocco(ispokuwa imam au mwarabu) au Argentina bota aende costarica au equdor,
Na mzungu hawezi kuzamia bongo isipokuwa hao waarabu wako na ndugu katika imani.
Kwakinywa chao wamekiri kuwa ule ni ushindi wa waarabu na waislamu wote duniani sasa iweje mtu abishe?
 
Kwakinywa chao wamekiri kuwa ule ni ushindi wa waarabu na waislamu wote duniani sasa iweje mtu abishe?
Unajua watu wengi wanapenda kujinasibisha na upande wanao ona una nguvu kwao/ au unaofanya vizuri kila mtu anasema Morocco ni waafrica kwa sababu wamenda nusu final ili wajisikie na wao ni sehemu ya ushindi lazma wawape jina hao Morocco ni waafrica.

Nachofurahi wamorocco wamesema hapana wao ni wamorroco, waarabu na waislamu.

Hivyo hivyo hata kwa dini ili mtu aendelee kuamini kuwa yuko upande sahihi lazima aendelee kuamini Mungu wake ni mkuu kuliko chochote awe ni muislamu au ni mkristo akianza kuwa na mashaka basi imani imesha, hata nchi ni hvo hvo ili mmarekani aendelee kujivunia atatafta sababu ya kuamini nchi yake ni special, kwa Tanzania sababu wanayoamini na kujivunia wanasema ni amani sina hakika kama ipo.

Dunia nzima inajua hao ni waarabu
Hizo zote ni fallacy alafu kuna father of all fallacy.
 
Kwa hiyo france ni Afrika???mbna unaweweseka hv????
Kuwa mwafrika si kuwa mweusi na kuwa mzungu si kuwa mweupe!! Mtu anakuwa mwafrika kwa sababu ana uraia katika nchi iliyo afrika bila kujali ni mweusi, mweupe au mwekundu!! Afrika ya kusini ni Afrika lakini ina raia weupe wengi tu!!
 
Tuseme ukweli, Ufaransa haina cha zaidi kuliko hispania wala ureno!

Siyo muujiza kwa Morocco kuifunga ufaransa kama iliweza kuifunga hispania. UKwanza Ufaransa ndio wako kwenye presha ya mchezo kuliko m
Morocco!

Afrika tujiandae kupokea kombe, maana lazima litembezwe kila nchi ya Afrika.
SAWA NA KUBADILISHA MKOJO KUWA MAVI
KAMA INAWEZEKANA HILI BASI SUBIRI NA MOROCO YAKO USHINDI MKUU...WALIPOFIKA PANATOSHA KAMA HUAMINI WANAPIGWA
HTFT
FRANCE/FRANCE
FT ANASHINDA FRANCE WIN&3+
 
Bora ufaransa watolewe, na itakua maajabu waafrika waishangilie ufaransa ambayo inawakilisha nchi yake na ulaya kwa ujumla na kuwatema ndugu zao Morocco ambao wanaliwakilisha bara letu la Afrika

Nipo na Morocco [emoji1173]
Nipo na Argentina [emoji1033]
Mimi Niko na Morocco mengine yatakuja baadaye

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Kuwa mwafrika si kuwa mweusi na kuwa mzungu si kuwa mweupe!! Mtu anakuwa mwafrika kwa sababu ana uraia katika nchi iliyo afrika bila kujali ni mweusi, mweupe au mwekundu!! Afrika ya kusini ni Afrika lakini ina raia weupe wengi tu!!
Duuh!!! Kwahiyo ukizaliwa ulaya hatakama ni mweusi unakuwa mzumgu!?
Kuzaliwa Tanzania kutakufanya uwe mtanzania lakin sio muafrica.
Jews wenye uraia wa hapa ni watanzania lakini sio waafrica ni Jews same applies to Arabs, Chinese or Indians.
Hii ni more about race kuliko nationality (uraia).
Huko America black na Latino kila kukicha wanauliwa na ni raia wa mataifa husika.
 
Kwa kweli tunapatwa na "MHAHO" Je!?tushabikie ufaransa kwa kuwa inawachezaji mablack au tushabikie waarabu kwa kuwa wapo Afrika?
 
Morocco Apigwe Tu Kwanza Hana Ubavu Wa Kuizuia Ufaransa Isimufunge
 
Kwakinywa chao wamekiri kuwa ule ni ushindi wa waarabu na waislamu wote duniani sasa iweje mtu abishe?
Unasema uongo na unawasingizia!! Walichosema ni kuwa ushindi wao ni kwa ajili ya AFRIKA yote na mataifa yote ya kiarabu!! (si kwa ajili ya afrika peke yake bali kwa ajili ya mataifa ya kiarabu pia). Hawajaikana Afrika kama unavyotaska kutuambia!! Na hapo wako sahihi maana wao ni waafrika na waarabu kwa pamoja!! Ushahidi huu haspa:

And so to Qatar. Morocco’s players will carry not only the hopes and dreams of Africa when they face Portugal but of the Arab world as well. Having seen his father’s dream of his country becoming the first in Africa to host the World Cup ended after three failed bids, the king of Morocco, Mohammed VI – who congratulated Regragui on the phone after the victory against Spain.
 
Tuseme ukweli, Ufaransa haina cha zaidi kuliko hispania wala ureno!

Siyo muujiza kwa Morocco kuifunga ufaransa kama iliweza kuifunga hispania. Kwanza Ufaransa ndio wako kwenye presha ya mchezo kuliko m
Morocco!

Afrika tujiandae kupokea kombe, maana lazima litembezwe kila nchi ya Afrika.
Hata Argentina hana cha ziada lazima afungashe
 
Back
Top Bottom