Lazima Ufaransa wang'oke mbele ya MOROCCO kama Hispania na Ureno wameng'oka, hakuna kitakachomuokoa Ufaransa

Lazima Ufaransa wang'oke mbele ya MOROCCO kama Hispania na Ureno wameng'oka, hakuna kitakachomuokoa Ufaransa

Hivi kuna sehemu Morocco walikataa kuwa wao sio Waafrica, au waliamua tuu kuu dedicate ushindi wao kwa Waarab na Waislam pekee?

Tuache ujinga, kama tunavyoabianaga tutafute jela basi, tukuze vipaji na kuongeza juhudi na sisi tuache makasiriko
 
Akufukuzae hakuambii toka
 
Tuseme ukweli, Ufaransa haina cha zaidi kuliko hispania wala ureno!

Siyo muujiza kwa Morocco kuifunga ufaransa kama iliweza kuifunga hispania. Kwanza Ufaransa ndio wako kwenye presha ya mchezo kuliko m
Morocco!

Afrika tujiandae kupokea kombe, maana lazima litembezwe kila nchi ya Afrika.
Kuwa na akiba ya maneno kaka
 
SAWA NA KUBADILISHA MKOJO KUWA MAVI
KAMA INAWEZEKANA HILI BASI SUBIRI NA MOROCO YAKO USHINDI MKUU...WALIPOFIKA PANATOSHA KAMA HUAMINI WANAPIGWA
HTFT
FRANCE/FRANCE
FT ANASHINDA FRANCE WIN&3+

Kuna waafrika mnatia aibu sana, unaachaje kushabikia timu yako unashabikia wasio kuhusu!
 
Unaobagua sio mpira ni hao wasiojua ndio maana no racism ni wimbo wa kila arm band, na ndio maana unakuta no matter hizo ubaguzi zinafanyika ila bado talent na uwezo zinapiga kazi kwenye pitch, kwenye mpira racism hailipwi kwa racism…..anyway yaishe.
Ubaguzi upo huko Argentina, Hispania na kwingineko.
 
Morroco washasema ni kwa waarabu na waislamu. Argentina sijawahi ona mchezaji mweusi.

Ni rahisi kwenda ufaransa na ukaishi kwa amani ukapata na mke wakifaransa kuliko arabuni(morroco) na Argentina huwa naona wapumbavu sana wanaoshabikia timu za kibaguzi kama hizo
Duh dembelee mbona kaowa pisi ya kiMorroco?

Punguza ubaguzi
 
France ni chama langu.wakipita Moroco pia ni sawa tu itakua wamefungua mlango wa timu kutoka Africa kufika WC final💪
 
Tuseme ukweli, Ufaransa haina cha zaidi kuliko hispania wala ureno!

Siyo muujiza kwa Morocco kuifunga ufaransa kama iliweza kuifunga hispania. Kwanza Ufaransa ndio wako kwenye presha ya mchezo kuliko m
Morocco!

Afrika tujiandae kupokea kombe, maana lazima litembezwe kila nchi ya Afrika.
Ni kweli na endapo Morocco watashindwa kulichukua hili kombe basi litachukuliwa na Tanzania na ndipo tutaweka historia amin amin nawambieni.
 
Duh dembelee mbona kaowa pisi ya kiMorroco?

Punguza ubaguzi
Nan mbaguzi waliosema au mimi!?
Kafuata hela sio kirahisi rahisi jaribu kuoa wewe mwarabu hats wazanzibar kama utawezq.
Wamoroco wamesema wazi wao ni kwaajiri ya waarabu na waislamu mnajipendekeza mkiitwa nyani mnabaguliwa
 
Sinaga tabia ya kujipendekeza Morocco walishatukataa toka game ya Spain nami sina budi kuwasagia kunguni, ......ufaransa piga mbwa haoooo
 
Kwakuwa wewe ni muislamu upo sahihi kuishangilia moroko......kwasababu kwa kinywa chao wanadai ule ni ushindi wa waarabu na waislamu kote duniani

Wewe hushabikii morocco, basi tuache sisi tushabikie

Vamos Argentina
Vamos Morocco

Wawe waarabu, wawe wa Africa wakishinda Africa nzima tutapagawa kwa shangwe, maana tutakuwa tumeshinda.

Umeongea point kamanda
 
Kama unakubali kuwa Australia wamefuzu kupitia Asia, basi wamoroco wamesema wao sio waafrica wamefuzu tu kupitia africa.
Na aliyepanga sijui mabara au caf ni vitu ambavyo ni imaginary lakin kuwa black, mwaarabu, au mzungu tumezaliwa tukiwa hivo hayo mabara ni ramani tu imechorwa usichukulie serious sana
Unawasingizia hawajasema!! Weka ushahidi!!
 
Attachments

  • Screenshot_20221213-154438_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20221213-154438_Instagram Lite.jpg
    74.3 KB · Views: 1
Back
Top Bottom