Lazima Ufaransa wang'oke mbele ya MOROCCO kama Hispania na Ureno wameng'oka, hakuna kitakachomuokoa Ufaransa

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Tuseme ukweli, Ufaransa haina cha zaidi kuliko hispania wala ureno!

Siyo muujiza kwa Morocco kuifunga ufaransa kama iliweza kuifunga hispania. Kwanza Ufaransa ndio wako kwenye presha ya mchezo kuliko m
Morocco!

Afrika tujiandae kupokea kombe, maana lazima litembezwe kila nchi ya Afrika.
 
Ufaransa ni weusi, Moroco ni waarabu....chagua mwenyewe
 
Morocco ndugu zetu ? Tangu lini?
Kwani sisi tunandugu wangapi ? Na kina nani sio ndugu zetu? Anyway naomba Usiku na mchana
Morocco wasishinde game hio period.
 
Tumewasifu kukimbia sasa mmepapita kwenu..,
Kwanza lazma ujue ufaransa anashinda ndani ya 90min na hategemei VAR apewe penalty ya mchongo.
 
Morroco washasema ni kwa waarabu na waislamu. Argentina sijawahi ona mchezaji mweusi.

Ni rahisi kwenda ufaransa na ukaishi kwa amani ukapata na mke wakifaransa kuliko arabuni(morroco) na Argentina huwa naona wapumbavu sana wanaoshabikia timu za kibaguzi kama hizo
 
Nimechagua waafrika wenzangu MOROCCO πŸ‡²πŸ‡¦

I wish wakutane final Argentina πŸ‡¦πŸ‡· and Morocco πŸ‡²πŸ‡¦

Vamos Albiceleste πŸ‡¦πŸ‡·
Vamos Simba wa Atlas πŸ‡²πŸ‡¦
Kama wa-Morocco ni waafrika , kuna wachezaji wangapi weusi?
France ina black ambao wanatokea Afrika Eg: Senegal

Wamorocco wameshasema wakishinda ni kwa ajili ya Waarabu na Waislamu
 
Morocco ndugu zetu ? Tangu lini?
Kwani sisi tunandugu wangapi ? Na kina nani sio ndugu zetu?
Anyway naomba Usiku na mchana
Morocco wasishinde game hio period.
Nakazia [emoji419]
 


Usiwapangie watu bwana.. kwa taarifa yako mimi ni mwanampira na sio shabiki, eti kwakua timu ina weusi ndio niishabikie πŸ˜ƒ huu ndio ushabiki kweli! Huko kwa Argentina wala usiongee kabisa, kuhusu morocco ina weusi labda hufuatilii mpira..

Kingine, huyo ufaransa atolewe haraka, ni katika nchi zinazojihusisha na suala la ushoga..
Kama wa-Morocco ni waafrika , kuna wachezaji wangapi weusi?
France ina black ambao wanatokea Afrika Eg: Senegal

Wamorocco wameshasema wakishinda ni kwa ajili ya Waarabu na Waislamu
Haijalishi walichokisema, na wala hakibadilishi chochote.. mimi nitaenda na Wa-Afrika wenzangu

Vamos Argentina πŸ‡¦πŸ‡·
Vamos Morocco πŸ‡²πŸ‡¦
 

Wewe baki na wake wa kifaransa, ndio fahari kwako sio!
 
Tumewasifu kukimbia sasa mmepapita kwenu..,
Kwanza lazma ujue ufaransa anashinda ndani ya 90min na hategemei VAR apewe penalty ya mchongo.
Ana nini ufaransa zaidi ya hispania? kama hispania aling'oka, ufaransa hawezi kuwa na ujanja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…