Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Kama wa-Morocco ni waafrika , kuna wachezaji wangapi weusi?
France ina black ambao wanatokea Afrika Eg: Senegal
Wamorocco wameshasema wakishinda ni kwa ajili ya Waarabu na Waislamu
Mimi niko na Ufaransa, Waafrika weusi wenzangu.Bora ufaransa watolewe, na itakua maajabu waafrika waishangilie ufaransa ambayo inawakilisha nchi yake na ulaya kwa ujumla na kuwatema ndugu zao Morocco ambao wanaliwakilisha bara letu la Afrika
Nipo na Morocco 🇲🇦
Nipo na Argentina 🇦🇷
Mimi nitafurahi kumuona la pulga ...Messi akinyanyua kwapa..
Kwahiyo opposite ya weusi ni waarabu?Ufaransa ni weusi, Moroco ni waarabu....chagua mwenyewe
hilo linawezekana mkuu coz mpaka sasa hivi Morocco ndio team yenye defence bora zaidi.Morocco wakiweza kumdhibiti Mbape, Ufaransa kwisney!! Kwanza iliponea chupu chupu sana kwa Uingereza!!
Unamuomba nani?Morocco ndugu zetu ? Tangu lini?
Kwani sisi tunandugu wangapi ? Na kina nani sio ndugu zetu?
Anyway naomba usiku na mchana
Morocco wasishinde game hio period.
Hispania iliyofungwa na Japan ikanusurika kufungwa na german uliona kuna team hapo!?Ana nini ufaransa zaidi ya hispania? kama hispania aling'oka, ufaransa hawezi kuwa na ujanja!
Sawa imamWewe baki na wake wa kifaransa, ndio fahari kwako sio!
Mpira umeanza kufuatilia lini? baada ya kununu hicho kitecno? Unamjua Juan Sebastian Veron aliyekua mchezaji wa Argentina? huyo alikua sio mweusi?Morroco washasema ni kwa waarabu na waislamu.
Argentina sijawahi ona mchezaji mweusi.
Ni lahisi kwenda ufaransa na ukaishi kwa amani ukapata na mke wakifaransa kuliko arabuni(morroco) na Argentina huwa naona wapumbavu sana wanaoshabikia timu za kibaguzi kama hizo
Siovakilia kama ronaldo?Mimi nitafurahi kumuona la pulga ...Messi akinyanyua kwapa..
Unaona sasa ulivyokua hamnazo? umerukia mambo mengine kabisa! wapi nimetaja dini? jibu swali Veron mchezaji wa Argentina alikua mweupe? Taifa stars kuna wachezaji weupe?Hapana baada ya kununua radio ya mbao kipindi hicho mama yako akiwa anadanga.
Punguza wehu we mfia dini, hamna mtu anayezamia aende Morocco(ispokuwa imam au mwarabu) au Argentina bota aende costarica au equdor,
Na mzungu hawezi kuzamia bongo isipokuwa hao waarabu wako na ndugu katika imani.
Muumba wa mbingu na nchiUnamuomba nani?
Hujui kitu kuhusu mpira kaa kimya,hii ni thd ya soka, Unaonekana umepigwa na maisha na umesha changanyikiwa tayari.Duuh!!! Mama yako na umri huo bado anavaa shanga kumbe na anakukatikia...
Umekuja kumuuza mama yako jf.
Enewei sio makosa yako laana ya kuona vitu vya mama yako
Mambo ya opposite wewe ndo umeyaletaKwahiyo opposite ya weusi ni waarabu?
Morroco washasema ni kwa waarabu na waislamu.
Argentina sijawahi ona mchezaji mweusi.
Ni rahisi kwenda ufaransa na ukaishi kwa amani ukapata na mke wakifaransa kuliko arabuni(morroco) na Argentina huwa naona wapumbavu sana wanaoshabikia timu za kibaguzi kama hizo
Unapatikan wap mkuu naona unapita mle mle mtabiri tambi tambiHujui kitu kuhusu mpira kaa kimya,hii ni thd ya soka,
Unaonekana umepigwa na maisha na umesha changanyikiwa tayari.
Kweli hazina nafasi ila umesahau kusema huo ni mtazamo wako(opinion) sio fact. Ingekuwa hivo basi wasingekuwa wanabagua hao watu weusi kwenye mpira kuanzia huko kwenye vilabu mpaka timu ya taifa.Kinachoangaliwa ni the beautiful game called footaball, mambo ya rangi hatuzingatiii ni siasa ambazo hazina nafasi ndani ya mpira…..