The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Naona dawa imekuingia kisawasawa na ndio faraja kwangu,umebaki kuruka ruka tu kama Kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa ghafla,Unapatikan wap mkuu naona unapita mle mle mtabiri tambi tambi
Kwakuwa wewe ni muislamu upo sahihi kuishangilia moroko......kwasababu kwa kinywa chao wanadai ule ni ushindi wa waarabu na waislamu kote dunianiBora ufaransa watolewe, na itakua maajabu waafrika waishangilie ufaransa ambayo inawakilisha nchi yake na ulaya kwa ujumla na kuwatema ndugu zao Morocco ambao wanaliwakilisha bara letu la Afrika
Nipo na Morocco 🇲🇦
Nipo na Argentina 🇦🇷
Kwakinywa chao wamekiri kuwa ule ni ushindi wa waarabu na waislamu wote duniani sasa iweje mtu abishe?Hapana baada ya kununua radio ya mbao kipindi hicho mama yako akiwa anadanga.
Punguza wehu we mfia dini, hamna mtu anayezamia aende Morocco(ispokuwa imam au mwarabu) au Argentina bota aende costarica au equdor,
Na mzungu hawezi kuzamia bongo isipokuwa hao waarabu wako na ndugu katika imani.
Unajua watu wengi wanapenda kujinasibisha na upande wanao ona una nguvu kwao/ au unaofanya vizuri kila mtu anasema Morocco ni waafrica kwa sababu wamenda nusu final ili wajisikie na wao ni sehemu ya ushindi lazma wawape jina hao Morocco ni waafrica.Kwakinywa chao wamekiri kuwa ule ni ushindi wa waarabu na waislamu wote duniani sasa iweje mtu abishe?
Ni kweli. Ni kupiga pin Mbape tu!Morocco wakiweza kumdhibiti Mbape, Ufaransa kwisney!! Kwanza iliponea chupu chupu sana kwa Uingereza!!
Kuwa mwafrika si kuwa mweusi na kuwa mzungu si kuwa mweupe!! Mtu anakuwa mwafrika kwa sababu ana uraia katika nchi iliyo afrika bila kujali ni mweusi, mweupe au mwekundu!! Afrika ya kusini ni Afrika lakini ina raia weupe wengi tu!!Kwa hiyo france ni Afrika???mbna unaweweseka hv????
Akili ya kitumwa hiyo!!Mimi niko na Ufaransa, Waafrika weusi wenzangu.
Waarabu mtanisamehe...
SAWA NA KUBADILISHA MKOJO KUWA MAVITuseme ukweli, Ufaransa haina cha zaidi kuliko hispania wala ureno!
Siyo muujiza kwa Morocco kuifunga ufaransa kama iliweza kuifunga hispania. UKwanza Ufaransa ndio wako kwenye presha ya mchezo kuliko m
Morocco!
Afrika tujiandae kupokea kombe, maana lazima litembezwe kila nchi ya Afrika.
Mimi Niko na Morocco mengine yatakuja baadayeBora ufaransa watolewe, na itakua maajabu waafrika waishangilie ufaransa ambayo inawakilisha nchi yake na ulaya kwa ujumla na kuwatema ndugu zao Morocco ambao wanaliwakilisha bara letu la Afrika
Nipo na Morocco [emoji1173]
Nipo na Argentina [emoji1033]
Duuh!!! Kwahiyo ukizaliwa ulaya hatakama ni mweusi unakuwa mzumgu!?Kuwa mwafrika si kuwa mweusi na kuwa mzungu si kuwa mweupe!! Mtu anakuwa mwafrika kwa sababu ana uraia katika nchi iliyo afrika bila kujali ni mweusi, mweupe au mwekundu!! Afrika ya kusini ni Afrika lakini ina raia weupe wengi tu!!
Unasema uongo na unawasingizia!! Walichosema ni kuwa ushindi wao ni kwa ajili ya AFRIKA yote na mataifa yote ya kiarabu!! (si kwa ajili ya afrika peke yake bali kwa ajili ya mataifa ya kiarabu pia). Hawajaikana Afrika kama unavyotaska kutuambia!! Na hapo wako sahihi maana wao ni waafrika na waarabu kwa pamoja!! Ushahidi huu haspa:Kwakinywa chao wamekiri kuwa ule ni ushindi wa waarabu na waislamu wote duniani sasa iweje mtu abishe?
Hata Argentina hana cha ziada lazima afungasheTuseme ukweli, Ufaransa haina cha zaidi kuliko hispania wala ureno!
Siyo muujiza kwa Morocco kuifunga ufaransa kama iliweza kuifunga hispania. Kwanza Ufaransa ndio wako kwenye presha ya mchezo kuliko m
Morocco!
Afrika tujiandae kupokea kombe, maana lazima litembezwe kila nchi ya Afrika.