Lazima Ufaransa wang'oke mbele ya MOROCCO kama Hispania na Ureno wameng'oka, hakuna kitakachomuokoa Ufaransa

France all the way to go...Hawa waarabu tuwaachie timu yao kama wanavyotaka,
 
Turudi kwenye muktadha!! Morocco ni moja ya nchi tano zilizoiwakilisha AFRIKA kwenye kombe la dunia!! Ni wawakilishi wa Afrika!! Hilo halina mjadala!! Kataa na hilo kama ubavu unao!!
 
Morocco akimtoa mfaransa basi ni bingwa
 
Turudi kwenye muktadha!! Morocco ni moja ya nchi tano zilizoiwakilisha AFRIKA kwenye kombe la dunia!! Ni wawakilishi wa Afrika!! Hilo halina mjadala!! Kataa na hilo kama ubavu unao!!
Kuwa Africa sio kuwa muafrica, muafrica is more about race, Elon Musk amezaliwa Africa lakini sio muafrica.
Moroco walishaomba kujiunga umoja wa ulaya wakakataliwa ndio wakaomba AU, wangekubaliwa wangekuwa wazungu, waafrica au waarab!?.
Australia ime-qualify kupitia Asia kwani ipo Asia!?
Au iliend kuiwakilisha Asia!?
 
Na waislamu nao mbona umesahau kusema hilo?
 
Umeshasema "kupitia Asia na siyokutoka Asia!! Morocco haijashiriki kombe la dunia kupitia Afrilka bali ni kutoka Afrika!! Wanaiwakilisha Afrika!! Wanastahili kushangiliwa na Afrika kwanza!! Muktadha/context ni ushiriki wa kombe la dunia kutoka AFRIKA!!
 
Kama unakubali kuwa Australia wamefuzu kupitia Asia, basi wamoroco wamesema wao sio waafrica wamefuzu tu kupitia africa.
Na aliyepanga sijui mabara au caf ni vitu ambavyo ni imaginary lakin kuwa black, mwaarabu, au mzungu tumezaliwa tukiwa hivo hayo mabara ni ramani tu imechorwa usichukulie serious sana
 
Wapenda dezo mmejitokeza, acheni Waarabu washerehekee ushindi wao.

Huna tofauti na mzee Abdul...baba Diamond wa kuchonga
 
Hata kesho wanaweza kuamua team ziwe znafuzu kwa utaratibu mwingine na ikaenda vizuri tu.
Na unapoongelea mabara unaongelea drift force zilizotengenisha hiyo ardhi moja ya pangea.
 
Kweli hazina nafasi ila umesahau kusema huo ni mtazamo wako(opinion) sio fact. Ingekuwa hivo basi wasingekuwa wanabagua hao watu weusi kwenye mpira kuanzia huko kwenye vilabu mpaka timu ya taifa.

Unaobagua sio mpira ni hao wasiojua ndio maana no racism ni wimbo wa kila arm band, na ndio maana unakuta no matter hizo ubaguzi zinafanyika ila bado talent na uwezo zinapiga kazi kwenye pitch, kwenye mpira racism hailipwi kwa racism…..anyway yaishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…