Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,617
- 3,405
Akufukuzae hakuambii tokaHivi kuna sehemu Morocco walikataa kuwa wao sio Waafrica, au waliamua tuu kuu dedicate ushindi wao kwa Waarab na Waislam pekee?
Tuache ujinga, kama tunavyoabianaga tutafute jela basi, tukuze vipaji na kuongeza juhudi na sisi tuache makasiriko
Mimi nitafurahi kumuona la pulga ...Messi akinyanyua kwapa..
Kuwa na akiba ya maneno kakaTuseme ukweli, Ufaransa haina cha zaidi kuliko hispania wala ureno!
Siyo muujiza kwa Morocco kuifunga ufaransa kama iliweza kuifunga hispania. Kwanza Ufaransa ndio wako kwenye presha ya mchezo kuliko m
Morocco!
Afrika tujiandae kupokea kombe, maana lazima litembezwe kila nchi ya Afrika.
SAWA NA KUBADILISHA MKOJO KUWA MAVI
KAMA INAWEZEKANA HILI BASI SUBIRI NA MOROCO YAKO USHINDI MKUU...WALIPOFIKA PANATOSHA KAMA HUAMINI WANAPIGWA
HTFT
FRANCE/FRANCE
FT ANASHINDA FRANCE WIN&3+
Ubaguzi upo huko Argentina, Hispania na kwingineko.Unaobagua sio mpira ni hao wasiojua ndio maana no racism ni wimbo wa kila arm band, na ndio maana unakuta no matter hizo ubaguzi zinafanyika ila bado talent na uwezo zinapiga kazi kwenye pitch, kwenye mpira racism hailipwi kwa racism…..anyway yaishe.
Duh dembelee mbona kaowa pisi ya kiMorroco?Morroco washasema ni kwa waarabu na waislamu. Argentina sijawahi ona mchezaji mweusi.
Ni rahisi kwenda ufaransa na ukaishi kwa amani ukapata na mke wakifaransa kuliko arabuni(morroco) na Argentina huwa naona wapumbavu sana wanaoshabikia timu za kibaguzi kama hizo
Ni kweli na endapo Morocco watashindwa kulichukua hili kombe basi litachukuliwa na Tanzania na ndipo tutaweka historia amin amin nawambieni.Tuseme ukweli, Ufaransa haina cha zaidi kuliko hispania wala ureno!
Siyo muujiza kwa Morocco kuifunga ufaransa kama iliweza kuifunga hispania. Kwanza Ufaransa ndio wako kwenye presha ya mchezo kuliko m
Morocco!
Afrika tujiandae kupokea kombe, maana lazima litembezwe kila nchi ya Afrika.
Nan mbaguzi waliosema au mimi!?Duh dembelee mbona kaowa pisi ya kiMorroco?
Punguza ubaguzi
Kwakuwa wewe ni muislamu upo sahihi kuishangilia moroko......kwasababu kwa kinywa chao wanadai ule ni ushindi wa waarabu na waislamu kote duniani
Wawe waarabu, wawe wa Africa wakishinda Africa nzima tutapagawa kwa shangwe, maana tutakuwa tumeshinda.
Unawasingizia hawajasema!! Weka ushahidi!!Kama unakubali kuwa Australia wamefuzu kupitia Asia, basi wamoroco wamesema wao sio waafrica wamefuzu tu kupitia africa.
Na aliyepanga sijui mabara au caf ni vitu ambavyo ni imaginary lakin kuwa black, mwaarabu, au mzungu tumezaliwa tukiwa hivo hayo mabara ni ramani tu imechorwa usichukulie serious sana
Unawasingizia hawajasema!! Weka ushahidi!!
Potelea mbali.... kuliko niwe na akili ya kijinga.....Akili ya kitumwa hiyo!!