HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,921
- 6,646
- Well, my mother is great now ndio maana nipo kwenye ndege naruka kurudi bongo, one lesson nimejifunza ni kwamba amepona sio only kwa sababu ya madaktari bali my presence it made a big impact so nimejifunza from now on kuja kumuona mara kwa mara U know, My Dad hayupo huku yupo Arusha anasimamia amani ya wa Sudani na hahusiki na this thread, hahahahahahahaha mimi au wewe anayehitaji meditation Techinique hahahahahahahaa
Le Mutuz
this guy the so called William ana matatizo Fulani ya kiakili.sio bure.mambo anayoyafanya yanatatiza
Kweli wewe ni zeee mbururaz!!!! U knw!!! Ivi uyo dad wako kwann asianze na amani ya mamako kabla ya wa sudan kwanza!?!
Mkuu Billionea ulienda Tunduma na shati moja tu, au unayo mengi yanayofanana?
Ila ni makubwaaa!!
Hili William ----- kweli....ur appearance is similar with ur IQ...!!!
JINGA JINGA SANA....but wagogo wengi ndio walivyo...very silly...!!!
Kaka umri huo kua bilionea ni miujiza labda ubilionea wa zimbabwe au malawi
Airbus ya wapi?
Fastjet hawana Airbus wala kwetu hapa hakuna Airbus bado.
- hahahahahaha I am not a Bilionea ila sina shida ya pesa ninazo za kunitosha, kama kuruka mara moja to Mbeya kumsaidia mama yangu na kurudi, pole sana I hope na wewe unazo maana kama huna na unapiga klelele hapa nomazzz U know!!
Le Mutuz
Na kuepuka laana ya wazazi sana sana. Hakuna laana mbaya jama ya mama, kwaiyo tunayoona kwa huyu jamaa yetu ni laana kubwa sana
Huyo mama mpe huduma stahiki kwa ubilionea wko mpeleke hata india sio kusema umempeleka hosp y mbeya.mama kachoka humpi lishe nzuri wala kumtembelea mpka usikie anaumwa
Mwenyewe kakiri kua maza anaunwa cz mda mrefu hajaenda kumwona istoshe mbeya na dar n karibu anaweza kwenda kila mwezi kumwona.pia hiyo nyumba y maza haifai kiafya mana haina mlango cjui wanapitia dirishani,tumeomba picha z frontview jamaa haweki
- hahahahahaha hahitaji kwenda India akihitaji U know kwamba nitampeleka in a mniute wala sio ishu, now vipi picha ya nyumba ya mama yako au hamna?
Le Mutuz
Acha porojo hpo hakuna nyumba ni banda hilo weka picha ya mbele,ingekua mna nyumba usingelala hotel umekimbia aibu kwenu hakuna nyumba kuna banda.huyo maza labda umpeleke india ipi hiyo acha umburura,mchukue maza wko ukae nae apate huduma zote muhimu pia lishe huki tunduma ni duni.mpeleke nae double tree upige nae ma maphoto
Acha porojo hpo hakuna nyumba ni banda hilo weka picha ya mbele,ingekua mna nyumba usingelala hotel umekimbia aibu kwenu hakuna nyumba kuna banda.huyo maza labda umpeleke india ipi hiyo acha umburura,mchukue maza wko ukae nae apate huduma zote muhimu pia lishe huki tunduma ni duni.mpeleke nae double tree upige nae ma maphoto
Mzazi utalitoa damu hili zee la nyeti maana tangia jana unalo tu. Lol!
Mzazi utalitoa damu hili zee la nyeti maana tangia jana unalo tu. Lol!
Duh! kaaz kwel kwelHahahaa me mwenyewe kaniblock...kumbe muoga tuu...
- duh yaani sasa tuanze darasa la maana ya airbus? ina maana hujawahi kupanda before? hahahahahaha
Le Mutuz