Le mutuz awashukia wanaomlaumu kuhusu nyumba ya mama yake

Status
Not open for further replies.
- Well, my mother is great now ndio maana nipo kwenye ndege naruka kurudi bongo, one lesson nimejifunza ni kwamba amepona sio only kwa sababu ya madaktari bali my presence it made a big impact so nimejifunza from now on kuja kumuona mara kwa mara U know, My Dad hayupo huku yupo Arusha anasimamia amani ya wa Sudani na hahusiki na this thread, hahahahahahahaha mimi au wewe anayehitaji meditation Techinique hahahahahahahaa

Le Mutuz

Kweli wewe ni zeee mbururaz!!!! U knw!!! Ivi uyo dad wako kwann asianze na amani ya mamako kabla ya wa sudan kwanza!?!
 
Hili William ----- kweli....ur appearance is similar with ur IQ...!!!

JINGA JINGA SANA....but wagogo wengi ndio walivyo...very silly...!!!

- Well, huu sasa ni ukurasa wa 15 I mean page 15 Great Thinkers wanamjadili The King Of All Bongo Social Media Network sio huyo unayemsema wewe unless na wewe una matatizo ya IQ maana kama huna kweli unaweza kupoteza muda na Le Big Show on this Land? hahahahahahahaha U know

Le Mutuz
 
Kaka umri huo kua bilionea ni miujiza labda ubilionea wa zimbabwe au malawi

- hahahahahaha I am not a Bilionea ila sina shida ya pesa ninazo za kunitosha, kama kuruka mara moja to Mbeya kumsaidia mama yangu na kurudi, pole sana I hope na wewe unazo maana kama huna na unapiga klelele hapa nomazzz U know!!

Huyo mama mpe huduma stahiki kwa ubilionea wko mpeleke hata india sio kusema umempeleka hosp y mbeya.mama kachoka humpi lishe nzuri wala kumtembelea mpka usikie anaumwa
 
Na kuepuka laana ya wazazi sana sana. Hakuna laana mbaya jama ya mama, kwaiyo tunayoona kwa huyu jamaa yetu ni laana kubwa sana

Mwenyewe kakiri kua maza anaunwa cz mda mrefu hajaenda kumwona istoshe mbeya na dar n karibu anaweza kwenda kila mwezi kumwona.pia hiyo nyumba y maza haifai kiafya mana haina mlango cjui wanapitia dirishani,tumeomba picha z frontview jamaa haweki
 
Huyo mama mpe huduma stahiki kwa ubilionea wko mpeleke hata india sio kusema umempeleka hosp y mbeya.mama kachoka humpi lishe nzuri wala kumtembelea mpka usikie anaumwa

- hahahahahaha hahitaji kwenda India akihitaji U know kwamba nitampeleka in a mniute wala sio ishu, now vipi picha ya nyumba ya mama yako au hamna?

Le Mutuz
 
Mwenyewe kakiri kua maza anaunwa cz mda mrefu hajaenda kumwona istoshe mbeya na dar n karibu anaweza kwenda kila mwezi kumwona.pia hiyo nyumba y maza haifai kiafya mana haina mlango cjui wanapitia dirishani,tumeomba picha z frontview jamaa haweki

- hahahahahaha mama yangu ana watu wanaomtunza so sihitaji kukimbia kila wakati mara ya mwisho nilienda Mwaka jana mwishoni lakini sure from now on nitakuwa naenda mara kwa mara, ila please weka basi nyumba ya mama yako au kuna tatizo?

Le Mutuz
 
- hahahahahaha hahitaji kwenda India akihitaji U know kwamba nitampeleka in a mniute wala sio ishu, now vipi picha ya nyumba ya mama yako au hamna?

Le Mutuz

Acha porojo hpo hakuna nyumba ni banda hilo weka picha ya mbele,ingekua mna nyumba usingelala hotel umekimbia aibu kwenu hakuna nyumba kuna banda.huyo maza labda umpeleke india ipi hiyo acha umburura,mchukue maza wko ukae nae apate huduma zote muhimu pia lishe huki tunduma ni duni.mpeleke nae double tree upige nae ma maphoto
 
Mzazi utalitoa damu hili zee la nyeti maana tangia jana unalo tu. Lol!
 
- hahahahah anza kuweka ya mama yako mkuu au hana nyumba? hahahahahaha sasa nimesharudi nipo downtown bongo at my home soon nitakuwa Mliman City and then unajua kuna mualiko wa Ma Celebrities pale Dar Open Market nitakuwa hapo kwenye Zuri New Store ok, yaani mialiko ukiwa Celebrity ni kila siku U know

Le Mutuz

Le Mutuz
 
Yan wabongo si mpoje mnapoteza mda mwng kusema mtu wakt mna mambo meng ya kufanya. Nyumba kamjengea yeye mama ake ww kinachokuhuma nin ? hata kama ya udongo haikuhusu badiliken bwana
 
Mzazi utalitoa damu hili zee la nyeti maana tangia jana unalo tu. Lol!

Hakuna nyumba ni banda hilo unapigaje picha kwenye dirisha atoe frontview y banda hilo.kafikia hotel kaogopa kulala kwao cjui kuna panya wengi au hamna kitanda saiz yke maza inaonekana lishe ndio tatizo mybi anakula mlo mmoja
 
Hivi nyumba ambayo mama analala na kuku ndani unaiita nyumba.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom