P. Majaribu
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 1,192
- 623
Naona raia leo wameamua kufanya unyanyasaji wa kijinsia, wa hali ya juu kuwahi kutokea nchini,kwa kijana mwenye umri wa miaka zaidi ya 50.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wiliam amewaponda kuhusu wale wanaoikaindia nyumba ya mama yake , huku akiwataka waonyeshe za mama zao!
Kama zina hadhi ya kama ya mama le mutuzzz
at fifty mtu anaandika lugha ya namna hii, tena ni mtoto wa former PM, malezi bora kabisa... this is a shame to him, his family etc
huyu jamaa kwa lugha hii lazima atakua na direct link na ile Zeutamu kabisa
this is sad
Mpumbavu sana huyu jamaa
nawaambieni ukweli huyu jamaa ana mtindio wa ubongo... Binadamu wa kawaida at his age huwezi andika anayoandika mitandaoni au kuweka picha za kingese kabisa.. Wanaofahamu huyu jamaa ana familia kweli? Mke na watoto? Kama wapo wanamchukuliaje? Maana watoto lazima wawe wakubwa.. Au lile limwili tupu kumbe hewa inazuiwa na wenzie.. Silipendi kabisa hili babu la kutafuta umaarufu uzeeni..
- Le Big Show live at Tunduma, hii ndio nyumba ya Mama yangu mzazi Tunduma nasema tena kwa standards za Tunduma ni super kuliko nyumba za mtaa wake wote, hali yake ya afya haikuwa njema nimemuhamishia Mbeya mjini na kuanzia jana nimeamua kuikarabati upya nyumba yake kwa sababu hataki kuhamia Dar kwenye nyumba yangu ya Kinyerezi ambayo haina mtu. So nimemuhamishia Hotelini ambako amekuwa akifanyiwa medical check up na madaktari bingwa toka nifike huku juzi na for the next Two weeks akisubiri ukarabati ili niweze kuweka mtu permanent ndani ya nyumba wa kumtunza all the times, now eti kuna anayesema kwa kumfanyia mama yangu mzazi yote haya ninakuwa sina akili? hahahahaha mnasema kwamba ni kweli Celebrity wote hapa mjini wanawajali Mama zao kama nilivyofanya? hahahahah
- Accademically huwezi kulaumu nyumba ya mama wa mwingine bila kuonyesha ya mama yako kwanza, sasa kosa langu lipo wapi people au ndio zile zile za kuendelea kunipaisha kwa juu na Social Media, I mean hahahahahahaha U know
- NIPO MBEYA NOW DOWNTOWN GR HOTEL U KNOW, NAENDA TUNDUMA NA KURUDI KUSIMAMIA UKARABATI ETI KUNA MWENYE TATIZO HUKO? HAHAHAHAHAHAHA
Le Big Show
Unajikaza kisabuni. .mpaka mtu aseme hiko kibanda cha bi mkubwa wako kibaya ujue mjengo wa bi mkubwa wake ni bab kubwa. ..sasa mtu kama mimi ambaye bi mkubwa anaishi Dar es salaam utaexpect nyumba yake ifanane na hilo banda la mkaa....kubali umejisahau kimaisha kwa huo umri ulionao sasa hivi ilikuwa unakula mafao tu
Heeeee tunduma nzima?
- Mtaa anaoishi besides Tunduma nzima sijaona nyumba ya standards za Mbezi na Masaki nipo huku sijaiona hata moja, halafu vipi tukiona nyumba za mama zenu wapiga kelele labda itasaidia kujua mnachosema au unasemaje?
Le Mutuz
Mama yangu anaishi mbez beach shule.....nearby Stanford house.Likizo mbeya kwetu uwanja wa ndege.
Just saw an old man with a t-shirt written on.
"Things get better with age. If that's a reality, then Lemutuz must be approaching magnificent."
- Nakupenda mpaka naumwa le mbebezzz U know hahahahaha umetisha U know!!
Le Mutuz
- U know nashindwa kuwaelewa nikiwa sipo mnasema maneno mengi kuhusu umri wangu na akili yangu, ambavyo sio siri wote hamuvielewi nawauliza kosa langu ni nini hasa kuja huku kumuuguza Mama yangu, au kosa langu ni kwa nini Mama yangu anaishi kwenye nyumba? au kosa langu ni kwa nini nimemuhamishia Mbeya for medical check up huku naikrabati nyumba yake naomba mniambie kosa langu moja tu linalodaiwa mimi kuwa tofauti na umri wangu ambao hamuujui eti tatizo lenu ni nini hasa?
Le Mutuz
si wote nyinyi ni makada nani amwonee wivuWanakuonea wivu kupiga picha na mabebz wakareee na kula bataz za ukweliii ,
Sasa nimekubaliana na wale wanajitahidi kumrekebisha hapa jukwaani akina Matola, stata mzuka, Kim nana Muuza Sura na wengine endeleeni kumfunza
Huyu diaspora!!