Le mutuz awashukia wanaomlaumu kuhusu nyumba ya mama yake

Status
Not open for further replies.
Naona raia leo wameamua kufanya unyanyasaji wa kijinsia, wa hali ya juu kuwahi kutokea nchini,kwa kijana mwenye umri wa miaka zaidi ya 50.
 
Kuna siku hapa jamvin nilicheka sana eti mwanajamvi mmoja alienda ofisin kwa lemutuz na kuwakuta lemutuz na watu wake wamelundikana kwenye kachumba kadogo na malaptops zao eti ni kampuni

Ha ha ha kwa coment hii lazima aje "akanushe"
 
nawaambieni ukweli huyu jamaa ana mtindio wa ubongo... Binadamu wa kawaida at his age huwezi andika anayoandika mitandaoni au kuweka picha za kingese kabisa.. Wanaofahamu huyu jamaa ana familia kweli? Mke na watoto? Kama wapo wanamchukuliaje? Maana watoto lazima wawe wakubwa.. Au lile limwili tupu kumbe hewa inazuiwa na wenzie.. Silipendi kabisa hili babu la kutafuta umaarufu uzeeni..
 
Mtaani kwetu kuna jamaa ana utindio wa ubongo ila ni mahiri wa kupiga gitaa sasa napata wasiwasi na lemutuz inawezekana nae ana utindio wa ubongo ila yeye ni mahiri wa kutumia social networking
 
Wiliam amewaponda kuhusu wale wanaoikaindia nyumba ya mama yake , huku akiwataka waonyeshe za mama zao!
Kama zina hadhi ya kama ya mama le mutuzzz

- Le Big Show live at Tunduma, hii ndio nyumba ya Mama yangu mzazi Tunduma nasema tena kwa standards za Tunduma ni super kuliko nyumba za mtaa wake wote, hali yake ya afya haikuwa njema nimemuhamishia Mbeya mjini na kuanzia jana nimeamua kuikarabati upya nyumba yake kwa sababu hataki kuhamia Dar kwenye nyumba yangu ya Kinyerezi ambayo haina mtu. So nimemuhamishia Hotelini ambako amekuwa akifanyiwa medical check up na madaktari bingwa toka nifike huku juzi na for the next Two weeks akisubiri ukarabati ili niweze kuweka mtu permanent ndani ya nyumba wa kumtunza all the times, now eti kuna anayesema kwa kumfanyia mama yangu mzazi yote haya ninakuwa sina akili? hahahahaha mnasema kwamba ni kweli Celebrity wote hapa mjini wanawajali Mama zao kama nilivyofanya? hahahahah

- Accademically huwezi kulaumu nyumba ya mama wa mwingine bila kuonyesha ya mama yako kwanza, sasa kosa langu lipo wapi people au ndio zile zile za kuendelea kunipaisha kwa juu na Social Media, I mean hahahahahahaha U know

- NIPO MBEYA NOW DOWNTOWN GR HOTEL U KNOW, NAENDA TUNDUMA NA KURUDI KUSIMAMIA UKARABATI ETI KUNA MWENYE TATIZO HUKO? HAHAHAHAHAHAHA

Le Big Show
 
at fifty mtu anaandika lugha ya namna hii, tena ni mtoto wa former PM, malezi bora kabisa... this is a shame to him, his family etc

huyu jamaa kwa lugha hii lazima atakua na direct link na ile Zeutamu kabisa

this is sad

Mpumbavu sana huyu jamaa

- Ndio kawaida ya walevi hujisema wenyewe bila kuulizwa, sasa kweli utajilinganisha mimi na wewe mika 60 Majuu hujawahi kanyaga bongo wazazi wako wote wamekufa hujui wamezikwa wapi, kweli unaweza kujilinganisha na mimi mkuu hahahaha huoni unajisema mwenyewe kuwa hizo ndio tabia zako yaani za upumbavu au? hahahahaha

Le Mutuz
 
nawaambieni ukweli huyu jamaa ana mtindio wa ubongo... Binadamu wa kawaida at his age huwezi andika anayoandika mitandaoni au kuweka picha za kingese kabisa.. Wanaofahamu huyu jamaa ana familia kweli? Mke na watoto? Kama wapo wanamchukuliaje? Maana watoto lazima wawe wakubwa.. Au lile limwili tupu kumbe hewa inazuiwa na wenzie.. Silipendi kabisa hili babu la kutafuta umaarufu uzeeni..

- Duh so unasema MWanaume mzima kutumia majina ya bandia kuandika majungu kama haya ndio una akili sawa sawa maana hapa ni vigumu kujua kama wewe ni mamen au demu maana sio rahisi kwa MWanaume kuandika umbeya namna hii tena kumuhusu Mwanaume kama mimi usiyenijua so unasema mtindio wako upo sawa? Really? hahahahahahaha

LE Mutuz
 
- Le Big Show live at Tunduma, hii ndio nyumba ya Mama yangu mzazi Tunduma nasema tena kwa standards za Tunduma ni super kuliko nyumba za mtaa wake wote, hali yake ya afya haikuwa njema nimemuhamishia Mbeya mjini na kuanzia jana nimeamua kuikarabati upya nyumba yake kwa sababu hataki kuhamia Dar kwenye nyumba yangu ya Kinyerezi ambayo haina mtu. So nimemuhamishia Hotelini ambako amekuwa akifanyiwa medical check up na madaktari bingwa toka nifike huku juzi na for the next Two weeks akisubiri ukarabati ili niweze kuweka mtu permanent ndani ya nyumba wa kumtunza all the times, now eti kuna anayesema kwa kumfanyia mama yangu mzazi yote haya ninakuwa sina akili? hahahahaha mnasema kwamba ni kweli Celebrity wote hapa mjini wanawajali Mama zao kama nilivyofanya? hahahahah

- Accademically huwezi kulaumu nyumba ya mama wa mwingine bila kuonyesha ya mama yako kwanza, sasa kosa langu lipo wapi people au ndio zile zile za kuendelea kunipaisha kwa juu na Social Media, I mean hahahahahahaha U know

- NIPO MBEYA NOW DOWNTOWN GR HOTEL U KNOW, NAENDA TUNDUMA NA KURUDI KUSIMAMIA UKARABATI ETI KUNA MWENYE TATIZO HUKO? HAHAHAHAHAHAHA

Le Big Show

Unajikaza kisabuni. .mpaka mtu aseme hiko kibanda cha bi mkubwa wako kibaya ujue mjengo wa bi mkubwa wake ni bab kubwa. ..sasa mtu kama mimi ambaye bi mkubwa anaishi Dar es salaam utaexpect nyumba yake ifanane na hilo banda la mkaa....kubali umejisahau kimaisha kwa huo umri ulionao sasa hivi ilikuwa unakula mafao tu
 
- Vipi ukiweka banda la mama yako hapa mjini kwanza ndio uzngumze maana la mama yangu lipo powa sana na kunampaka wapangaji, sasa kweli mjini kama Tunduma unaweza kuwa na Wapangaji na nyumba mbovu? hahahahahahah Tunduma kuna udongo mwekundu na vumbi hata nyumba iwe nzuri vipi rangi itakuwa nyekundu na ya udongo, now weka ya mama yako hapa kaka ndio nitaamini kwamba kwako hii ya mama yangu haifai ama sivyo nyamaza tu kaka wacha sisi wanaume tuhangaike na maisha na ya mama zetu ok, hahahahahaha

Le Big Show
 
Heeeee tunduma nzima?

- Mtaa anaoishi besides Tunduma nzima sijaona nyumba ya standards za Mbezi na Masaki nipo huku sijaiona hata moja, halafu vipi tukiona nyumba za mama zenu wapiga kelele labda itasaidia kujua mnachosema au unasemaje?

Aliyepiga kelele nani?au unataka kulianzisha kwangu?endelea npo tayari
 
Just saw an old man with a t-shirt written on.
"Things get better with age. If that's a reality, then Lemutuz must be approaching magnificent."
 
Mama yangu anaishi mbez beach shule.....nearby Stanford house.Likizo mbeya kwetu uwanja wa ndege.
 
Just saw an old man with a t-shirt written on.
"Things get better with age. If that's a reality, then Lemutuz must be approaching magnificent."

- U know nashindwa kuwaelewa nikiwa sipo mnasema maneno mengi kuhusu umri wangu na akili yangu, ambavyo sio siri wote hamuvielewi nawauliza kosa langu ni nini hasa kuja huku kumuuguza Mama yangu, au kosa langu ni kwa nini Mama yangu anaishi kwenye nyumba? au kosa langu ni kwa nini nimemuhamishia Mbeya for medical check up huku naikrabati nyumba yake naomba mniambie kosa langu moja tu linalodaiwa mimi kuwa tofauti na umri wangu ambao hamuujui eti tatizo lenu ni nini hasa?

Wanakuonea wivu kupiga picha na mabebz wakareee na kula bataz za ukweliii ,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom