Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Amepandisha ni milioni moja
zamani nilikua simuelewi le mutuz but baada ya kumfollow insta nimegundua mambo kadhaa kutoka kwa huyu jamaa
1.sio mtu wa kukurupuka
2.sio mtu wa kupanic
3.ana jua kukontroo emotions zake
4.he have a lot of friends and they real love him
5.he is very humble and helpful
6.ni mtu wa ku encourage sana kukata tamaa kwake ni mwiko
7.anajua kucheza na social networks
8.ana uwezo wa kuona na kuzitumia fursa ipasavyo
9.ni mtu anae penda kujifunza every day
10.mfollow instagram uprove maneno yangu.#lemutuz_nation

Rene Jr.;

weee chinga huko sawa kweli? ina maana hauuonii upuuzi wote anaoufanya le kibokoz huko insta? picha ya mijanamke na nonsense caption anazozitoa kila saa, sifa za kijinga, kujikweza while he is not, le tamkoz la uwongo, kuingilia yasiyo muhusu nk.
Rene Jr.;
zamani nilikua simuelewi le mutuz but baada ya kumfollow insta nimegundua mambo kadhaa kutoka kwa huyu jamaa
1.sio mtu wa kukurupuka
2.sio mtu wa kupanic
3.ana jua kukontroo emotions zake
4.he have a lot of friends and they real love him
5.he is very humble and helpful
6.ni mtu wa ku encourage sana kukata tamaa kwake ni mwiko
7.anajua kucheza na social networks
8.ana uwezo wa kuona na kuzitumia fursa ipasavyo
9.ni mtu anae penda kujifunza every day
10.mfollow instagram uprove maneno yangu.#lemutuz_nation
- It take AKILI KUBWA kuijua AKILI KUBWA na it takes AKILI NDOGO kulia lia na AKILI KUBWA, Salute mkuu one page tupo pamoja sana!!
- Le Mutuz
Pamoja sana le mutuz!!
Haya maisha acheni tu jamani. Huyu ndugu alikuwa na mategemeo ya maisha mazuri sana toka udoggoni, baba yake walivyomchinjia kwenye maji ndoto zote zikageuka za alinacha. Frustration zimemfanya awe mtu wa kujishtukia, maisha anayotaka ajioneshe nayo mbele za jamii siyo size yake, mwisho wa siku anabaki kupiga picha na watu maarufu, kupiga picha na vitu vya watu, kuvaa vichenicheni na mambo kama hayo ili aonekane yuko daraja fulani kumbe hakuna lolote! Sasa mwanaume unakimbilia kwenye sitini upoupo tu kama kijana wa miaka 20, kuoa siyo lazima lakini wanawake wanapokukimbia wakati vikao vya harusi vimeshaanza ujue kuna jambo!
[video]https://youtu.be/zaELvv7-T3Q?list=PL57836A96FB08674A[/video]
[video]<iframe width="640" height="390" src="https://www.youtube.com/embed/zaELvv7-T3Q?list=PL57836A96FB08674A" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>[/video]
I actually adimire him. Amepata namna ya kuishi kirahisi sana. He is fooling around kusurvive. Bila hiyo akili yake mbovu asingesurvive aisee.
Ulishaona wapi mtu kapanga nyumba, halafu anakaribisha watu house warming party na kiingilio cha sh laki 5?
Mzee wa matamko hakualikwa na super friend Mengi na mbebiz wa ukweli klyn kwenye harusi Mauritius? ???????
Hata nafasi ya kutoa le tamko kwenye le super blog ya king of all social media hakupata????
- I am just having big fun with my life baada ya kupoteza muda mwingi Majuu wanaopiga piga kelele sijamuona hata mmoja wa kunishangaza maana nimewaomba wapiga kelele wote waonyeshe kama tuna elimu sawa maana mimi nina Degree 3 sijawaona wakisema elimu zao, nimewaomba waonyeshe mabebzz zao kama Le Msomalizzz wangu hamna majibu, so hahahaha I loove it U know
Le Mutuz
Le msommalizzzzz le super mbebezzzz sasa le mutuz ndoa lini ma nigaa
- Hahahahaah Coming soon U know me I love it hahahahahaha
Le Mutuz
- Hahahahaah Coming soon U know me I love it hahahahahaha
Le Mutuz
- Alinisaidia sana kuijenga upya nyumba ya mama yangu that is enough, hakupaswa kunialika kwenye harusi ila juzi aliniaambia anarudi kesho nionane naye so pole sana mkuu ila hii ni AKILI KUBWA SANA KWAKO!! hahahahaha
Le Mutuz