Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
Rene Jr.;

zamani nilikua simuelewi le mutuz but baada ya kumfollow insta nimegundua mambo kadhaa kutoka kwa huyu jamaa

1.sio mtu wa kukurupuka

2.sio mtu wa kupanic

3.ana jua kukontroo emotions zake

4.he have a lot of friends and they real love him

5.he is very humble and helpful

6.ni mtu wa ku encourage sana kukata tamaa kwake ni mwiko

7.anajua kucheza na social networks

8.ana uwezo wa kuona na kuzitumia fursa ipasavyo

9.ni mtu anae penda kujifunza every day

10.mfollow instagram uprove maneno yangu.#lemutuz_nation
 
Last edited by a moderator:
Expiring date ya ujana ni lini?
Hivi mtu akizaa akiwa na 50 yrs anaweza kweli kumlea huyo mtoto ipasavyo? Hebu fikiria clinic za sasa ambazo wazazi wote wanahitajika, mikutano ya wazazi shule. A couple in their 30's na wengine hybrid ya 30na50's wapo clinic. Family planning is more than taking the pills.
 
zamani nilikua simuelewi le mutuz but baada ya kumfollow insta nimegundua mambo kadhaa kutoka kwa huyu jamaa

1.sio mtu wa kukurupuka

2.sio mtu wa kupanic

3.ana jua kukontroo emotions zake

4.he have a lot of friends and they real love him

5.he is very humble and helpful

6.ni mtu wa ku encourage sana kukata tamaa kwake ni mwiko

7.anajua kucheza na social networks

8.ana uwezo wa kuona na kuzitumia fursa ipasavyo

9.ni mtu anae penda kujifunza every day

10.mfollow instagram uprove maneno yangu.#lemutuz_nation

Ni kweli kabisa hizo sifa anazo,mi pia ni rafiki yangu sana sema umu ndani anijui
 
zamani nilikua simuelewi le mutuz but baada ya kumfollow insta nimegundua mambo kadhaa kutoka kwa huyu jamaa

1.sio mtu wa kukurupuka

2.sio mtu wa kupanic

3.ana jua kukontroo emotions zake

4.he have a lot of friends and they real love him

5.he is very humble and helpful

6.ni mtu wa ku encourage sana kukata tamaa kwake ni mwiko

7.anajua kucheza na social networks

8.ana uwezo wa kuona na kuzitumia fursa ipasavyo

9.ni mtu anae penda kujifunza every day

10.mfollow instagram uprove maneno yangu.#lemutuz_nation

Umesahau moja:

11. Ana ID kibao.:lol:
 
weee chinga huko sawa kweli? ina maana hauuonii upuuzi wote anaoufanya le kibokoz huko insta? picha ya mijanamke na nonsense caption anazozitoa kila saa, sifa za kijinga, kujikweza while he is not, le tamkoz la uwongo, kuingilia yasiyo muhusu nk.
 
- That is how I make extra money from Instagram, nimefikia average ya Shilingi Laki moja kwa siku so enjoy it au funga radio yako, unafuatilia halafu unalia lia kama mtoto kwani umelazimishwa kusoma Instagram yangu? Mbona yako siisomi na wala siijui sasa yangu mbona unaijua na unaisoma? hahahahaha ninalipwa kwa kuwa na Followers 56,000 na wewe ukiwa mmojawapo so tuliza boli hii dunia ya Akili kubwa tu like me!! hahahaha U know!!

Le Mutuz
 
Rene Jr.;

zamani nilikua simuelewi le mutuz but baada ya kumfollow insta nimegundua mambo kadhaa kutoka kwa huyu jamaa

1.sio mtu wa kukurupuka

2.sio mtu wa kupanic

3.ana jua kukontroo emotions zake

4.he have a lot of friends and they real love him

5.he is very humble and helpful

6.ni mtu wa ku encourage sana kukata tamaa kwake ni mwiko

7.anajua kucheza na social networks

8.ana uwezo wa kuona na kuzitumia fursa ipasavyo

9.ni mtu anae penda kujifunza every day

10.mfollow instagram uprove maneno yangu.#lemutuz_nation

- It take AKILI KUBWA kuijua AKILI KUBWA na it takes AKILI NDOGO kulia lia na AKILI KUBWA, Salute mkuu one page tupo pamoja sana!!

- Le Mutuz
 
Pamoja sana le mutuz!!

- I am just having big fun with my life baada ya kupoteza muda mwingi Majuu wanaopiga piga kelele sijamuona hata mmoja wa kunishangaza maana nimewaomba wapiga kelele wote waonyeshe kama tuna elimu sawa maana mimi nina Degree 3 sijawaona wakisema elimu zao, nimewaomba waonyeshe mabebzz zao kama Le Msomalizzz wangu hamna majibu, so hahahaha I loove it U know

Le Mutuz
 
Haya maisha acheni tu jamani. Huyu ndugu alikuwa na mategemeo ya maisha mazuri sana toka udoggoni, baba yake walivyomchinjia kwenye maji ndoto zote zikageuka za alinacha. Frustration zimemfanya awe mtu wa kujishtukia, maisha anayotaka ajioneshe nayo mbele za jamii siyo size yake, mwisho wa siku anabaki kupiga picha na watu maarufu, kupiga picha na vitu vya watu, kuvaa vichenicheni na mambo kama hayo ili aonekane yuko daraja fulani kumbe hakuna lolote! Sasa mwanaume unakimbilia kwenye sitini upoupo tu kama kijana wa miaka 20, kuoa siyo lazima lakini wanawake wanapokukimbia wakati vikao vya harusi vimeshaanza ujue kuna jambo!
[video]https://youtu.be/zaELvv7-T3Q?list=PL57836A96FB08674A[/video]
[video]<iframe width="640" height="390" src="https://www.youtube.com/embed/zaELvv7-T3Q?list=PL57836A96FB08674A" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>[/video]

- Pole sana kama maisha ninayoishi sasa ni mabaya then labda uonyeshe yako, mnakurupuka tu na ujinga ujinga hahahaha tumia akili kabla ya kujibu ujinga, hapa ni Degree 3 so sio wale mliowazoea, unasema wewe una maisha mazuri kuliko niliyonayo yapo wapi sasa ndotoni? Weka hapa mfano kwamba huyu jaama anaendesha NOAH wewe una Benzi, sio maneno maneno hewa hapa!! hahahahaha

Le Mutuz
 
I actually adimire him. Amepata namna ya kuishi kirahisi sana. He is fooling around kusurvive. Bila hiyo akili yake mbovu asingesurvive aisee.

Ulishaona wapi mtu kapanga nyumba, halafu anakaribisha watu house warming party na kiingilio cha sh laki 5?

- Inaitwa House Warming Party, nimejifunza kwa Wazungu wakihamia nyumba mpya wanafanya ni kawaida sio lazima nyumba iwe yako binafsi na besides nyumba ninayokaa sasa nipo mbioni kuninunua so hakijaharibika kitu na umekosea Kiingilio cha Party yangu kitakuwa Tsh. Millioni Moja sio Laki Tano tena, wenye AKILI KUBWA wanasema nina akili kubwa ya miaka 10 mbele ya watu wengi sana hapa bongo na wewe ukiwemo, Mimi ni Celebrity so chochote ninachofanya ni News na Money making wewe huwezi cause hakuna anayekujua zaidi ya familia yako, so wanaokuzidi akili wakubali badala ya kushindana nao kwa majina ya bandia!! hahahaha ndio maana ya akili ndogo sana!!

Le Mutuz
 
Mzee wa matamko hakualikwa na super friend Mengi na mbebiz wa ukweli klyn kwenye harusi Mauritius? ???????

Hata nafasi ya kutoa le tamko kwenye le super blog ya king of all social media hakupata????

- Alinisaidia sana kuijenga upya nyumba ya mama yangu that is enough, hakupaswa kunialika kwenye harusi ila juzi aliniaambia anarudi kesho nionane naye so pole sana mkuu ila hii ni AKILI KUBWA SANA KWAKO!! hahahahaha

Le Mutuz
 
- I am just having big fun with my life baada ya kupoteza muda mwingi Majuu wanaopiga piga kelele sijamuona hata mmoja wa kunishangaza maana nimewaomba wapiga kelele wote waonyeshe kama tuna elimu sawa maana mimi nina Degree 3 sijawaona wakisema elimu zao, nimewaomba waonyeshe mabebzz zao kama Le Msomalizzz wangu hamna majibu, so hahahaha I loove it U know

Le Mutuz

Hahahaaa, le super Msomalizzz
Huogopi Al shaabab wewe?
 
Mmmmh ile nyumba ya mama yako???
Pale ndio imejengwa???
Kweli una akili kubwa kushinda yangu

Hahahahahahsh king of all social media.......

- Alinisaidia sana kuijenga upya nyumba ya mama yangu that is enough, hakupaswa kunialika kwenye harusi ila juzi aliniaambia anarudi kesho nionane naye so pole sana mkuu ila hii ni AKILI KUBWA SANA KWAKO!! hahahahaha

Le Mutuz
 
Wazee wa unga wanaogopa siri kuvuja. Aaaah mzee wa ungaaa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom