Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

Status
Not open for further replies.
I feel sorry for all those who went and made her even more rich..... #------
 
Alikua analia daimond akata kumfuta machozi sasa zari akaona akifutwa machozi make up itafutika ndio maana akakata!sasa timu ushuzii wameitafsiriii vinginee
alikua analilia nini??mmh mbn kama alikua na hasira?
 
ingia kwenye account ya zingifuri instagram ukajionee videos za Mr na Mrs Chibu za party ya Zari na walipoimba wifi wifi...nietoka kuziangalia

hadi sasa acc ipo public, hakuna haja ya kutuma request
 
ingia kwenye account ya zingifuri instagram ukajionee videos za Mr na Mrs Chibu za party ya Zari na walipoimba wifi wifi...nietoka kuziangaliahadi sasa acc ipo public, hakuna haja ya kutuma request
zingifuri zipo nyingi na zina private waongelea ipi??
 

- Watu Millioni Moja walijaribu kuingia kwa kutumia online means ya Shillingi 3,000 kati yao Laki Tano walifanikiwa now 500,000 x 3,000 =?

Le Mutuz
 

- This is nothing but crying wolf wolf, huwezi kuwalinganisha Zari na hao uliowataja ni class tofauti sana unapoongelea Zari unaongelea a smart Woman mwenye malengo ambaye ana nidhamu ya ajabu sana na malengo yake, angalia Instagram yake kabla na hata baada ya wewe kumjua huwezi kukuta ujinga ujinga kwenye Wall yake. Amejenga jina lake kwa kutumia Social Media kwa sababu niambie ni nani ana uhakika kama kweli Zari ni Bilionea zaidi tu ya kumuona na mapicha yake kwenye Isntagram ni lini umewahi kumuona Zari Escape One anacheza juu ya meza tena amelewa chakari? Ni lini umewahi kuisikia Zari ana skendo za kijinga jinga kama hao uliowataja?

- Unafikiri waliotayarisha Show ya juzi ni wajinga? Eti unasema Show za Zari hazijawahi kujaza na wakati ilipofanyika Uganda ilikuwa sold out badala ya kuandika hoja wabongo wajifunze wewe unatetea Ma Star mediocre wanaojiende tu kama kuku wakinyeji wewe umeshawahi kumuona Diamond kwenye mabar amelewa anahangaika hangaika kama kichaa? Ndio maana watu walienda kulipa kuwaona maana ni watu ambao wapo serious na their business hakuna mtu anaweza kulipia kumuona mtu ambaye kila siku yupo mtaani na kwenye party za kujinga jinga,

- Mkuu jipnage tena Zari na Diamond wamefanya party ya juzi sio kwa bahati mbaya ndio maana wameshinda wanaishi kwa nidhamu kubwa sana kuhakikisha hawaonekani kila wakati na public nia na madhumini ni kama hii ya juzi, hakuna watu wenye akili kama wabongo wanajua thamani ya kila kitu na wanjua thamani ya hao uliowataja kwamba hawana kitu ndio maana hakuna mbongo anaweza kulipia kuona mtu anayeajiri watu kutukana watu kwenye Social Media, pole pole mtajifunza tu kutoka kwa kina Zari namna Super Star anavyotakiwa ku behave huwezi kupanda mahindi ukavuna mihogo, Zari ni mfano wa Super Star anavyotakiwa ku behave ndio maana akifanya show watu wataenda kulipa tu maana hata yeye mwenyewe anajithamini watu hawawezi kwenda kulipia watu wasiojithamini!!

Le Mutuz
 

- Sio kweli Wabongo ni watu wenye akili sana tunajua thamani ya kila kitu, ndio maana hatuwezi kwenda kulipa kuona mtu anayeshinda amelewa kwenye mabar kila siku na hatuwezi kulipa kuona mtu asiyekuwa na heshima na wala hajithamini yeye mwenyewe, mpaka mtakapojifunza maana ya Super Star mtaendelea kulia lia huwezi kuwa Super Star kila siku upo kwenye party za vigodoro unatunza mahela, huwezi kuwa Super Star kila siku upo mtaani watu wanakuona ona utegemee siku moja ufanye Show wakubali kulipia kukuona,

- Nitakupa mfano mdogo sana, siku moja nilikuwa na Zari pale Mliman City Diamond na timu yake walitoa order kwamba Zari asipige picha na mtu yoyote mle ndani, watu walifurika ghafla kutaka kumsogelea likini walinzi kibao haikuwezekana tukatoka pale kwenda Fish Market watu wanatufuata nyuma, WHy ni kwa sababu Zari hainekani hovyo so kila mtu alitaka kuona anafananaje na ndio maana watu hawa walipoambiwa kulipa haikuwa ishu, sasa wewe kweli utalipia kuona watu wamelewa chakari kila siku kwenye vilabu vya pombe hapa mjini? Please tumieni akili siku moja mtaona mabadiliko Diamond huwezi kumkuta kwenye mapombe ndio maana watu wapo radhi kulipa kwenda kumuona, badilikeni!!

Le Mutuz
 

Your Argument is very wrong..

Kwahiyo wewe msimamo wako uko wapi?? Kwamba watu wasiende kwenye party za Diamond na Zari ila waenda kwa Madam Rita na party za kina Wema na Wolper?? Una uhakika gani Madam Rita hapewi support na Watanzania?? Unafikiri kile kipindi BSS kinajiendeshaje??
Kusingekuwa na viewers unadhani kingepata wadhamini?? Hao viewers ni Waganda?? Au wewe unataka support ya aina gani labda?? Tutembeze bakuli kumchangia Madam?? Si ana wadhamini ambao wanatangaza bidhaa na huduma zao kwenye kipindi na sisi kama watazamaji ndio tunampa nguvu..

Tukirudi hapo kwa Wema na Wolper, jijengee heshima, fanya kazi kwa bidii na kuwa mbunifu kila kitu kitaenda kama unavyotaka.. wachana na party, hata mazishi yetu yanatofautiana sana, kuna watu wanazikwa na maelfu na wengine mamia na wengine makumi.. Inategemea ulifanya nini wakati ukiwa hai. Huwezi kuwa na ugomvi na bifu na kila mtu hapa mjini ukapata support pindi unapoihitaji wachilia mbali tabia mbovu za hao watu..


Wewe una wivu tu, alafu jaribu kuwaomba radhi Watanzania uliowatukana hapa, hata usipofanya hivyo haiondoi dhana kwamba una wivu wa maendeleo..

Mwisho na Richard hawajapata support ya Watanzania?? walipokuwa kule mjengoni walijipigia wao kura?? walijipigia kampeni?? Tena wakati wao wakiwa kule zilikuwa zile kura za SMS tu, 1 vote 600/= na watu walipiga kama vichaa, ulitaka wafanyiwe nini kingine?? Both of them returned home with cash, i mean big cash lakini walizitumiaje?? Mwisho akahama Moro akaenda rent a big house at Mikocheni akaendekeza anasa mpaka pesa ikaisha, unafikiri mtu mwenye akili atataka kufanya kazi na mtu wa namna hiyo?? Same story to Richard.. Abby alikuja Tz as an underdog i mean with nothing at her account, amefanya kazi kwa bidii sasa ana maisha na coverage kuliko hao waliopata pesa akina Richard, alafu ulifikiri ni Tz tu huyu demu anakubalika, mpaka Naija anafika na anapiga mikwanja huko.. Yaani wewe uzembe wa wapuuzi wengine unatuhusisha Watanzania wote?? wacha hiyo tabia kabisa, after all huyo Mwisho si alipewa kipindi Channel 1?? Kafika nacho wapi mpaka sasa??
 
alikua analilia nini??mmh mbn kama alikua na hasira?

Wanadai mademu walikua wanamshobokea domo na kupiga picha ata kama ni makeup kutoka mi sikupenda ile reaction yake kama ya kumshushua flani hivi.
 
Wanadai mademu walikua wanamshobokea domo na kupiga picha ata kama ni makeup kutoka mi sikupenda ile reaction yake kama ya kumshushua flani hivi.
hata mi nliona kama shushu mmh mambo ya kushushuana mbele ya kadamnasi nsivopenda mie
 
hata mi nliona kama shushu mmh mambo ya kushushuana mbele ya kadamnasi nsivopenda mie

Mwenzangu yani lile shushu la haja aibu uso sijui unaificha wapi. Dai naye aache utoto yani taulo unajifutia jasho unataka kumfutia tena mwenzako hai make sense halafu angesoma alama za nyakati bibie mjamzito sometimes anakua mood less ndo yanatokea hayo kushushuka hadharani.
 

Zari unaambiwa ana wivu.Hiyo siku alivyoona wadada wa tz walivyo warembo akawa amenuna hata kupiga nao picha hataki.
Sasa ule ni muendelezo wa mood aliyokuwa nayo pia si unajua mambo ya mimba tena? Na hivi nasikia ni mtoto wa kike hatariiii...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…