Kwanza niseme kwanini mtu ulalamike kublockiwa na mtu kama huyu..wewe mpe ushauri wako akikublock poa maisha yanaenda.
Ila kubwa zaidi jamaa Matajiri wote wa Tanzania atakuambia marafiki zake...wacha tuendelee kuishi tuona vimbwaga vya huyu BABU tupate vya kuwahadithia wanetu.
Hajitambui huyu jamaa, umri umeende lakini akili yake haiendi, ktkt mwezi wa ramadhani alikua anaweka picha anakula misosi nika mwambia kaka mwezi huu acha kuweka picha za misosi, hata sisi ni wa dini tofauti lakini tunaheshimu dini za wenzetu, kani block.
Mi nili mfollow kama wiki kadhaa then ni mu unfollow sababu alikua anapost upuuzi tu mwanzo mwisho
Yaani ni picha na vibinti na kujisifia kwiingi na kusiafia wanaume wenzake
mimi nilimwambia dr slaa hawezi kuwa na account mbili tofauti tweeter aka ni blockHuyu mbwiga nilimuuliza tu mkuu hizi ni fact au opinion zako, kaniblock fasta........Ha haaaaaa
Hahahaaa babu tublokue buannaa cc Ruttashobolwa
Mbona hujaniita kuona babu anapewa za uso kwa kubloku watu???
Kwa nn hajagombea Mtera amtoe aliye mwangusha dingi yake?