Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Oi kama ni mshkaji wako mwenye stori mwambie aweke miaka kwenye matukio itapendeza saana ananiacha.

Infwakti tupo pamoja.
 
Kweli wewe babukijana, enzi za Motel Agip!?
 
Mama nimekoma mimi jaman napitwa na mambo ya le kokobanga kwenye page ebu niombee aniunblock nimejifunza kutokana na makosa sitaguna wala kuongea chochote tena nitapita kimyaaa
akiku unblock pls na mimi unistue! nimemuomba kupitia Ac nyingine.
 
Hili jamaa ni liongo sana kuna pic amepost akiwa na Mh Lissu,maelezo aliyoyatoa hapo kuhusiana na hio pic Lissu ameyakanusha vibaya sana,so hii story yake haina ukweli kwa 100%
Tupe ukweli unao ufahamu Kuhusu Story yake km ni Chai 100%! ina maana hata huko USA hakuwa ameenda na Kuishi wala hakuwahi kuwa baharia hebu huo ukweli wako tupinge uongo wake hapa
 
Huyu jamaa yaani ni pensi jumatatu mpaka jumapili.
Mark Zuckerberg CEO na mwanzilishi wa facebook ni ni mmoja wa matajir duniani. Huwa anavaaga jins ya bluu na tshirt nyeus, kamaliza. Wenzio humu wanamchalenge kwenye masuala ya utaftaji, ww unawaza mavaz, hyo ni tabia ya kike. Kupga pcha kavaa buckta haimaanishi ndo vazi analoendanalo kwenye mambo yake ya msingi. Muwe mnafkiri kidogo kabla ya kupost utoto.
 
Huo ndio ukweli wenyewe ndugu,
ila ukiwakuta wanavyotetea sasa,
So Sad.
betting inaingiaje tena humu?!!!....tuacheni sisi ndo tumechagua hayo maisha hatujawahi kuwaomba hata senti 5 zaidi tunaona mnatokwa na mapovu tu
 

Mark Zuckergerg havai pensi lakin mkuu. Nitajie tajili mmoja dunian anayeshinda na pens jumatatu mpaka jumapili. Huyu amekosa busara hamna namna nyingne ya kumuweka. Mi cjazungumzia kubadilisha nguo nimezngumzia kuvaa pens cku zote kana kwamba ni kijana wakat ni mtu mzima. Bilionea mzee gets siku zote anavaa simple lakn havai mapens. Kama wewe ndio lemutuz punguza hzo swaga sometimes uonekane walau una busara ya kukopa.
 

Umejaza ubongo Story za vijiweni tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…