Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Oi kama ni mshkaji wako mwenye stori mwambie aweke miaka kwenye matukio itapendeza saana ananiacha.PART 18: "MY AMERICAN EXPERIENCE"
the idea ya kuokoa Dola 1,000 kwa kwenda kuishi bure kwa Babe wangu ikanivuruga sana mwisho nikaamua kuhamia kwa my Babe na kua MARI0 nikahamisha magari yangu BMW na Jetta Volkswagen lakini nikashituka one thing Fenicha zangu na vitu vingine nikaviweka Storage na kuvilipia kwa Mwezi mpaka nitakapoamua nitavifanyia nini mbele ya safari ila ninapiga kazi kama kawaida na ninapiga Disco kama kawaida ila sasa nikaingia maisha mapya ya kuishi nyumba moja na thereal niggaz Duh!wiki 3 za kwanza nilikua peponi cause walijitahidi sana kuficha madhaifu yao na mimi nilikua alert nasubiri uyaona ili niamue kama ni au hapana ila hapa sasa nikaanza kufanya savings ya ajabu.
cause nilikua na gharama ya petroli tu kila kitu home free hahahaha l loved it mpaka siku mojaShawn alipoamua Niggaz wanaita ku "RAISE HELL" akaniambia African husaidii hata kulipia Umeme tu wewe ni mtu gani?...n- dugu zake waliposikia hizi habari hawakupenda wakaishia kugombana sana wenyewe kwa wenyewe mpaka Shawn akalazimishwa kuniomba radhi kwa kosa la kunishambulia bila sababu na kama kawaida ya all Niggaz akasingizia kua anapitia stress nyingi za matatizo yake ya mapenzi ndio maana aliniwakia sasa u umepita Mwezi mmoja pakatulia ikapita mpaka Miezi 2 mimi ni kazi.
Disco na Gym tu na mtaani na Niggaz hasa Bezo sasa tukawa very Close ila nikaja kugundua anauza "SEMBE" na "BANGl" nikaogopa sana nikaanza kupunguza kumsogelea baada ya kugundua siri kubwa ya Polisi wa NewYork City Police Depart- ment (NYPD) kwamba kumbe wanamtumia kuhakikisha Usalama wa lile eneo zima so un officially wamemk abidhi auze Crack na Bangi lakini asiuze Cocaine tu ila ni wajibu wake kuhakikiaha kua eneo lina amani
asiuze Cocaine tu ila ni wajibu wake kuhakikiaha kua eneo lina amani kama Kuna tatlzo anawashitua Polisi kwa Siri Sana Wao Niggaz huwalta Polisi "COPS" au "FIVE 0" .
mapenzi yangu na nigazz yalikua yanaendelea vizuri ila nikagundua kua nimefanya papara tu kwenye kuchagua cause now nilikua nimeanza ku attract Wabebezz wa ukweli huko mtaani l mean l was almost a Star until one day nilipoingiwa na wazo la kutafuta Green Card kwa njia za Panya yaani kuoa kimazabe! ITAENDELEA! 19
Infwakti tupo pamoja.