Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Haha life is too short to be serious u knowhayo yote ni majina ya mkuu lemutuz..
ukimuita lemutuz tu bila kuweka hivyo vinjonjo unakuwa umemkosea heshima kwa kiasi kikubwa....
lemutuz bomaye lemutuz citwa yeeen lemutuz mobimba lemutuz nye nye nye alafu unamalizia na ..hahahah i love it you know...
life is too short to be serious all the time
Mtu asiyekuwa na malenio ni wa kumuonea huruma tu! mtu kama ulikuwa hunywi, huvuti sigara na baharini hakuna mademu huyu jamaa alikuwa na starehe gani kipindi hicho na hela yake aliifanyia nini na kwake kipimo cha kuwa na comfortable life ni kupanda ndege na kulala hoteli nzuri duh duh !!! Ningemuomba Le Mutuz atuelezee uzoefu wake kuhusu habari za mabaharia wengi kutumika kusafirisha unga na madereva pia wa magari makubwa pia na yeye amefanya kazi sehemu hizo mbili!!! Je alishatumia unga, aliwashawahi kuuza unga na alipokuwa na maniggaz wengi pia kazi zao ni hizo.Je ilikuwaje kote huko stori za kutumia au kuuza unga hatujazisikia!!!!!!
Haha life is too short to be serious u know
Le Mutuz huwa anakataa umri wake bure.
Marehemu Mzee Nyirabu alikuwa Office kati ya 1974-1989.
Mzee Jamali Waziri wa Fedha mara ya pili 1979-1983.
Roughly tuchukulie 1983 ndio aliomba Visa ya Belgium. Hadi kumaliza form 4, JKT etc si chini ya miaka 20. Jumlisha tofauti ya 2018 na 1983 inakuja 55 years Ndio Umri watu ambao huwa wanamwabia. Ila yeye anadai ana 35 yrs.
Mkuu age is just a number ...haikuzuii kufanya chochote kile...Le Mutuz huwa anakataa umri wake bure.
Marehemu Mzee Nyirabu alikuwa Office kati ya 1974-1989.
Mzee Jamali Waziri wa Fedha mara ya pili 1979-1983.
Roughly tuchukulie 1983 ndio aliomba Visa ya Belgium. Hadi kumaliza form 4, JKT etc si chini ya miaka 20. Jumlisha tofauti ya 2018 na 1983 inakuja 55 years Ndio Umri watu ambao huwa wanamwabia. Ila yeye anadai ana 35 yrs.
Ni majina ndio, lakini si yana tafsiri yake??hayo yote ni majina ya mkuu lemutuz..
ukimuita lemutuz tu bila kuweka hivyo vinjonjo unakuwa umemkosea heshima kwa kiasi kikubwa....
lemutuz bomaye lemutuz citwa yeeen lemutuz mobimba lemutuz nye nye nye alafu unamalizia na ..hahahah i love it you know...
life is too short to be serious all the time
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hajawahi sema ana 35 jaman mnyonge mnyongeni haki yake mpeni daahhhLe Mutuz huwa anakataa umri wake bure.
Marehemu Mzee Nyirabu alikuwa Office kati ya 1974-1989.
Mzee Jamali Waziri wa Fedha mara ya pili 1979-1983.
Roughly tuchukulie 1983 ndio aliomba Visa ya Belgium. Hadi kumaliza form 4, JKT etc si chini ya miaka 20. Jumlisha tofauti ya 2018 na 1983 inakuja 55 years Ndio Umri watu ambao huwa wanamwabia. Ila yeye anadai ana 35 yrs.
Mkuu age is just a number ...haikuzuii kufanya chochote kile...
Ukiongopa inakusaidia nini?
Lemutuz ni fighter namkubali japo nilimdisi for fun namkubali sasa maana kuwa na heka 2 kinyerezi si mchezo hapo mtaji wa kutosha si chini ya milioni 500 hizo acre,namkubali aishi kinafiki km wabongo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hajawahi sema ana 35 jaman mnyonge mnyongeni haki yake mpeni daahhh
PART 27: "MY AMERICAN EXPERIENCE"
Hiyo ni karatasi yangu ya kuwemo Melini CMB Antwerpen/Belgium.
Chanzo cha AKILI KUBWAZZ in me siku zote nilikua ninaamini binadam wote tunafikiria na kuyaona mambo kwa jicho moja kumbe sio kweli na ni kwa mara ya kwanza in my life Joe Orlando akanifanya nigundue hii theory kua nina uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kuona mbali kuliko watu wengi.
Ubaguzi wa rangi USA ni tatizo kubwa moja kati ya Hospitali niliyokua naifanyia kazi Lenox Hill Hospital Downtown Manhattan at 76th E Street akaanza kunichukia bila sababu kwa sababu alikua anajua kua kazi yangu inalipa kuliko hata Ubosi wake akaanza kunitafutia visa nilishamgundua loong time ila nilikua namkwepa tu from no where siku moja akampigia Joe Orlando my Boss na kumwambia kwamba kama Hanifukuzi kazi au Hanibadilishii ile route nisije pale atavunja mkataba na Kampuni infact akampa Siku 7 kutimiza hilo.
Orlando akaniita ofisini kwake na kuniuliza tatizo ni nini nikamjibu nikiwa kama kawaida yangu Calm and Collected kuwa tatizo ni Rangi yangu bosi akaniambia nenda kama kawaida usimjali siku ya 7 ilipofika nukamkuta yule Bosi Martinez ananisubiri Loading Dock aliponiona tu akaingia kwenye gari mpaka The Bronx ofisini kwa Joe na Bosi akanipigia simu nirudi haraka niende ofisini kwake nilipofika juu nikamkuta Martinez na Joe.
Boom Joe akaanza kwa kumwambia kua huyu ndiye mfanyakazi ninayemuamini kuliko wote kama humtaki basi unaweza kufuta mkataba wako now!.
Martinez akaanza kujichekesha kumbuka Joe was a Tough Guy mtaani kwenye Mafia Mob so akampa kusuka au kunyoa nikaona Spanish anaanza kujikanyaga kua sio yeye ila bla! bla! bla! Joe akamtunishia msuli kua aseme uamuzi wake haraka! Martinez akaanza kuomba radhi kwa Joe na kwangu kua yaishe hatafanya alichotishia baada ya Martinez kuondoka Joe akaanza kunipa lecture kua tatizo ni Akili zangu nyingi sana ndio maana Weupe wengi waliozoea Weusi wajinga wanakua intimidated na Joe akanipiga marufuku kushiriki Mkutano wowote wa Wafanyakazi wenzangu akaniambia hakuna mtu wa level yako hii Kampuni na kuanzia ile siku akanipa ruhusa ya kufanya kazi Jumamosi na Jumapili ninapoamua mwenyewe siku moja ikaja habari ya MGOMO!..ITAENDELEA
Anaficha kwa sababu anajua hiyo document ni kanyaboya!Why unaficha tarehe?