Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

hayo yote ni majina ya mkuu lemutuz..

ukimuita lemutuz tu bila kuweka hivyo vinjonjo unakuwa umemkosea heshima kwa kiasi kikubwa....

lemutuz bomaye lemutuz citwa yeeen lemutuz mobimba lemutuz nye nye nye alafu unamalizia na ..hahahah i love it you know...

life is too short to be serious all the time
Haha life is too short to be serious u know
 
Tulia we mchimba chumvi, kwanza unajua kuspendi ww? Au unadhani kuchunwa ndo kuspend? Mtu alikua anafly af analala hotelin, unazijua hotel au umezoea gest bubu unazo lala ukiwa safari? Watu tonatofautiana, unaweza kuwa tajiri lkn bahiri au kipato cha kawaida lkn mtu wa matanuz. So ni aina tu ya maisha mtu unaweza hagua. Km huna exposure huwez ng'amua haya
Mtu asiyekuwa na malenio ni wa kumuonea huruma tu! mtu kama ulikuwa hunywi, huvuti sigara na baharini hakuna mademu huyu jamaa alikuwa na starehe gani kipindi hicho na hela yake aliifanyia nini na kwake kipimo cha kuwa na comfortable life ni kupanda ndege na kulala hoteli nzuri duh duh !!! Ningemuomba Le Mutuz atuelezee uzoefu wake kuhusu habari za mabaharia wengi kutumika kusafirisha unga na madereva pia wa magari makubwa pia na yeye amefanya kazi sehemu hizo mbili!!! Je alishatumia unga, aliwashawahi kuuza unga na alipokuwa na maniggaz wengi pia kazi zao ni hizo.Je ilikuwaje kote huko stori za kutumia au kuuza unga hatujazisikia!!!!!!
 
Ukiongopa inakusaidia nini?
Le Mutuz huwa anakataa umri wake bure.

Marehemu Mzee Nyirabu alikuwa Office kati ya 1974-1989.

Mzee Jamali Waziri wa Fedha mara ya pili 1979-1983.

Roughly tuchukulie 1983 ndio aliomba Visa ya Belgium. Hadi kumaliza form 4, JKT etc si chini ya miaka 20. Jumlisha tofauti ya 2018 na 1983 inakuja 55 years Ndio Umri watu ambao huwa wanamwabia. Ila yeye anadai ana 35 yrs.
 
Mkuu age is just a number ...haikuzuii kufanya chochote kile...
 
hayo yote ni majina ya mkuu lemutuz..

ukimuita lemutuz tu bila kuweka hivyo vinjonjo unakuwa umemkosea heshima kwa kiasi kikubwa....

lemutuz bomaye lemutuz citwa yeeen lemutuz mobimba lemutuz nye nye nye alafu unamalizia na ..hahahah i love it you know...

life is too short to be serious all the time
Ni majina ndio, lakini si yana tafsiri yake??
 
27894012_555081234868872_5134189642052009984_n.jpg

PART 24:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"
picha ni at Port Virginia/USA safari yangu ya kwanza USA nikiwa Baharia.

Antoinette aliposikia habari za Divorce anatakiwa akasaini akajificha lakini akatuma wahuni wa mtaani wanifungie kazi bahati nzuri Snitch mmoja akanishitua mapema so nikakimbilia Boston nikajificha kama 3 weeks nikarudi na siku moja nikamshitukizia makaratasi ya Divorce nyumbani kwao Kisheria unaenda na mtu atakayesaini kuthibitisha kua kamuona Physically then Mahakama inaendelea na process nikaishia kupata Divorce rasmi ni siku ambayo huwa siisahau mpaka leo I was so happy cause nilikua Free tena.

Lakini siku moja usiku Boss wangu kazini Jack akanipigia simu kua kesho yake nisiende kazini mapema kama ilivyokua kawaida yangu akasema kuna kikao maalum cha wafanyakazi wote SIKUJALI SANA mpaka kikao kilipoanza ndio ukweli ukawekwa wazi kua Kampuni yetu American Medical Waste Inc.

Ilikua inauzwa inanunuliwa na Joe Orlando Mtaliano Owner wa Kampuni ya HEALTH CARE HARZADOUZ MATERIALS INC.

Wamiliki Dina na Russ wakaniita juu ofisini wakaniambia kua wameuza Kampuni lakni nisijali cause wameongea na Boss mpya na wamempa habari zangu ila wakanipa zawadi kubwa sana wakanikatia "LIFE INSURANCE" ambayo ni for life wakaniambia ndiyo zawadi perfect kwa kazi niliyowafanyia machozi yalinitoka kuachana na hawa Wazungu ambao walishakua kama ndugu walishanizoesha kunialika nyumbani kwao Uzunguni kwa Matajiri kuchoma nyama but kila mwanzo lazima uwe na mwisho TUKAAGANA.

Now Owner Joe Orlando Super Millionea lakini alikua na sifa ya kuwa part of Mafia Mob ya New York City hasa Westechester Area hayakunihusu nikaendelea kupiga kazi haikupita Wiki tu tukaanza kua marafiki na Joe na familia yake upigaji wangu wa kazi ulimshangaza sana nikaendelea na Super Priviledge tena sasa nikawa ninaheshiimika kuliko hata kampuni iliyouzwa cause Joe was a One Man Show.

Now nikaanza rasmi kutafuta Shule nikapata Westchester Community College Upstate New York kwa bahati nzuri hawakuwa strickly na makaratasi walihitaji tu Social Security Card na Leseni tu kukubaliwa kuanza kusoma nikajiunga na "CRIMINOLOGY & POLICE SCIENCE" nikawa naenda kazini Saa Nane za Usiku mpaka mchana!..ITAENDELEA!
 
27574152_1591206574294924_993680382312316928_n.jpg

PART 25:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"
Nilikua naingia kazini Saa Nane za Usiku napiga kazi mpaka Saa Sita mchana narudi nyumbani nalala mpaka Saa Kumi na Moja Jioni naingia Darasani Saa Kumi na Mbili mpaka Saa Nne Usiku narudi home nalala Saa Nane Kazini tena nikaizoea hii System mpaka leo siwezi kulala zaidi ya Masaa 4 mwanzoni yalikua mateso sana lakini haikuchukua muda kichwa changu kikazoea.

Joe Orlando Super Millionea Mtaliano mrefu very simple lakini akanifundisha kuheshimu kazi cause siku akikosekana Dreva alikua anakuja na kupiga kazi yeye mwenyewe siku moja Truck liliharibika akaingia chini yake na Suti yake sijasahau mpaka leo kumuona Super Millionea wa USA akijishusha mpaka kuingia chini ya Lori lake na kurudi akiwa mchafu lakini wala hana habari Kazi Kazi.

Joe aliposikia kua ninapiga kazi na Shule alishangaa sana na yeye akaanza kunichukua nyumbani kwake na kunikutanisha na Watoto wake na kunitaka niwape darasa of wat it took me kusoma shule mke wa Joe naye akawa rafiki yangu sana now guy kumbuka nilikua mfanyakazi tu wa kawaida lakini Upiganaji wangu wa maisha ulikua always unawashangaza Matajiri hata USA so urafiki na Matajiri sikuuanzia hapa Bongo maana najua hua inawakera sana Masikini wenzangu hapa Bongo kuniona na Matajiri, hahaha.

Now kumbe Joe alikua na tabia ya kudhulumu wafanyakazi Overtime siku moja akanifanyia na mimi yaani nilifanya kazi masaa 60 kwenye check akanilipa 55 akatoa 5 mshahara wangu now ulikua Dola 20 kwa Saa so hapo aliniibia Dola 30 × 5 nilichofanya niliipiga copy check sikulalamika akarudia tena Wiki iliyofuatia Jandoni nilifundishwa kumpa nafasi binadamu mara 3 kabla sijaamua kuchukua maamuzi magumu so nikasubiri amenifanyia mara 3 siku moja nikaomba kuonana naye uso kwa so Ofisini nilipoingia nikamuambia maneno ambayo yaliishia kumtoa machozi aliyoyafanya baada ya maneno yangu kumchoma sana yakanifanya kwa mara ya kwanza nishituke in my life kua kumbe nina AKILI KUBWAZZ hahahaha nilimuambia Joe "Mimi ni Masikini ninayefurahia sana kufanya kazi na Millionea kama wewe I was proud of you leo unakuja kuniibia Dola 150 tu?" nikamuwekea evidence za Copy za Check zangu alizoniibia Mzungu akaanza kutoa machozi.....ITAENDELEA!
 
PART 26:- "MY AMERICAN EXPERIENCE"
Nilimuambia Mzungu "Inaonekana una shida ya pesa kuliko mimi kwa hiyo naomba nikupe na check yangu ya wiki hii nimekufanyia kazi bure labda itakusaidia kupunguza matatizo yako ya pesa maana una makubwa kuliko mimi masikini" nikamuachia Check yangu pia nikaondoka baada ya saa moja mke wake akanipigia kua tuonane tukakutana Restaurant nikala naye Lunch akaniomba nimsamehe Mumewe na akanipa Cash USD 10K kwenye Bahasha mpya ndizo nilizo nunulia shamba langu la Eka 2 Kinyerezi na nikaweka Msingi wa Nyumba yangu pale.

Darasa la Criminology kumbe ni darasa la Law Enforcement Authorities za USA wanasoma hii Degree ya pili kusudi wapande vyeo makazini mwao so darasani nikakutana na Maaskari watupu Raia nilikua peke yangu lakini niliwasumbua sana darasani wazungu kwa sababu nilikua mzuri wa kuunganiaha dots na to this day nina uwezo mkubwa sana i mean Naturally Saikolojia ya kuwasoma watu hata wasipo ongea ninaweza kukuangalia usoni nikapata majawabu mengi sana bila wewe kujua.

Kwa kawaida nikiwaangalia binadam usoni hua ninaweza kuwasoma bila tatizo their Emotions Status ndio maana mimi huwezi kunikuta mahali nisipotakiwa hata siku moja na sihitaji kuambiwa na mtu.

Hakuna binadam wagumu kuwasoma na kuwaelewa kama Matajiri na Wanasiasa mimi sina tatizo nao cause as far as they are concerned wewe ni just a tool au an object good to be used to reach their goals na siku wasipokuhitaji tena wanakutosa tu bila hata kukuambia now it ia up to you to mantain your value ili wajue kwamba unaweza kuishi bila kuwategemea wao au kuwaomba omba misaada ndio the only way wanaweza kukuheshimu.

Duniani kuna binadam wa aina mbili tu wenye roho mbaya na wenye roho nzuri ninaweza kuwa define kwa matendo yao na maneno yao bila tatizo ila binadam mbaya kuliko wote ni yule mbinafsi kupita vipimo Biblia inasema AKILI NYINGI hugeuka Adhabu kwa binadam I am a victim number one of that Thumb rule of life matatizo karibu yote niliyonayo leo in my life ni ya kujitakia kwa kuzidiwa na Akili now all these thinking nikakuta kua ina nafasi yake ndani ya Criminology & Poliice Science Studies I was thrilled and Super excited mwanzo wa AKILI KUBWAZ..ITAENDELEA!
 
27857858_890529534462779_6911976504132179957_n.jpg

PART 27: "MY AMERICAN EXPERIENCE"
Hiyo ni karatasi yangu ya kuwemo Melini CMB Antwerpen/Belgium.

Chanzo cha AKILI KUBWAZZ in me siku zote nilikua ninaamini binadam wote tunafikiria na kuyaona mambo kwa jicho moja kumbe sio kweli na ni kwa mara ya kwanza in my life Joe Orlando akanifanya nigundue hii theory kua nina uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kuona mbali kuliko watu wengi.

Ubaguzi wa rangi USA ni tatizo kubwa moja kati ya Hospitali niliyokua naifanyia kazi Lenox Hill Hospital Downtown Manhattan at 76th E Street akaanza kunichukia bila sababu kwa sababu alikua anajua kua kazi yangu inalipa kuliko hata Ubosi wake akaanza kunitafutia visa nilishamgundua loong time ila nilikua namkwepa tu from no where siku moja akampigia Joe Orlando my Boss na kumwambia kwamba kama Hanifukuzi kazi au Hanibadilishii ile route nisije pale atavunja mkataba na Kampuni infact akampa Siku 7 kutimiza hilo.

Orlando akaniita ofisini kwake na kuniuliza tatizo ni nini nikamjibu nikiwa kama kawaida yangu Calm and Collected kuwa tatizo ni Rangi yangu bosi akaniambia nenda kama kawaida usimjali siku ya 7 ilipofika nukamkuta yule Bosi Martinez ananisubiri Loading Dock aliponiona tu akaingia kwenye gari mpaka The Bronx ofisini kwa Joe na Bosi akanipigia simu nirudi haraka niende ofisini kwake nilipofika juu nikamkuta Martinez na Joe.

Boom Joe akaanza kwa kumwambia kua huyu ndiye mfanyakazi ninayemuamini kuliko wote kama humtaki basi unaweza kufuta mkataba wako now!.

Martinez akaanza kujichekesha kumbuka Joe was a Tough Guy mtaani kwenye Mafia Mob so akampa kusuka au kunyoa nikaona Spanish anaanza kujikanyaga kua sio yeye ila bla! bla! bla! Joe akamtunishia msuli kua aseme uamuzi wake haraka! Martinez akaanza kuomba radhi kwa Joe na kwangu kua yaishe hatafanya alichotishia baada ya Martinez kuondoka Joe akaanza kunipa lecture kua tatizo ni Akili zangu nyingi sana ndio maana Weupe wengi waliozoea Weusi wajinga wanakua intimidated na Joe akanipiga marufuku kushiriki Mkutano wowote wa Wafanyakazi wenzangu akaniambia hakuna mtu wa level yako hii Kampuni na kuanzia ile siku akanipa ruhusa ya kufanya kazi Jumamosi na Jumapili ninapoamua mwenyewe siku moja ikaja habari ya MGOMO!..ITAENDELEA
 
27893042_339806633184257_1613082445274415104_n.jpg

PART 28: "MY AMERICAN EXPERIENCE"
Sheria ya USA inataka wafanyakazi kusimamiwa na Unions so kazini kwangu walikuwepo pia Joe Orlando alikua hana habari nao Wafanyakazi wenzangu kumbe walikua na malalamiko mengi sana mimi sikua na habari na infact hata mimi nilikua ni moja ya malalamiko yao kwenye Overtime na mimi kupendelewa na Joe kwa ujumla so Unions wakamuita kikao akawagomea wakaanza kupanga mgomo wa wafanyakazi kuna Snitch dreva akamfikishia Joe ujumbe ambaye aliniita Ofisini kwake na kuniomba nipumzike kwa Wiki Mbili akanipa Cash Dola 5000 akanitaka nisafiri nisiwepo New York kusudi Union wasiniingize kwenye mgomo akaniambia as far as he ia concerned ni mimi peke yangu ndiye nguzo ya mgomo nisipokuwepo wengine wote hawana nguvu ya kusimamia hoja za mgomo.

Boom nikaondoka na nikazima simu Union na Wafanyakazi wenzangu wakaanza kunitafuta nasikia kwenye vikao vyao vya siri wakawalalamikia Union kua mimi peke yangu ndiye mwenye uwezo wa kumfanya Mzungu awasikilize sasa kama sipo hawatafanikiwa walipoahindwa kabisa kunipata wakaamua kusitisha mgomo mpaka nitakaporudi after Two weeks Joe akaniambia ninaweza kurudi kazini nikarudi Wafanyakazi wenzangu walikua wapole sana wakaniuliza nilikua wapi? nikawaambia nilienda Africa wakaanza kunielezea yaliyojiri nikawaambia sawa lakini binafsi between kazi na Shule sina muda wa kupoteza kabisa kushiriki vikao vyao nikawaomba wasinihusishe kabisa.

Wiki zangu 2 za Likizo zilikua ni mateso kwa Mahospitali na kampuni that Joe aliapa sitaenda Likizo tena lakini kwa utani nilikuta Magereza yote yananisubiri hakukuwa na dreva wa kwenda huko.

So now maisha yangu yalikua ni kazi na Shule tu na nilikua by now full engaged na Wabongo lakini kwa umakini sana na nikawa Rafiki sana na Peter Luangisa ambaye tulikua wote utotoni hapa Bongo ni rafiki yangu mpaka leo yeye bado yupo USA na tunaongea kwa simu almost kila siku mpaka leo hata jana usiku tumeongea sana Wabongo were shocked kuniona tena nikijumuika nao mara kwa mara na nikaachana na Niggazz Janice nikaanza kudate Mzungu Christie tulikutana College hatukua darasa moja ila tulikutania maktaba ya Chuo yeye anaishi Nje ya Mji Upstate nikaingia matatizo mapya! ..ITAENDELEA!
 
Le Mutuz huwa anakataa umri wake bure.

Marehemu Mzee Nyirabu alikuwa Office kati ya 1974-1989.

Mzee Jamali Waziri wa Fedha mara ya pili 1979-1983.

Roughly tuchukulie 1983 ndio aliomba Visa ya Belgium. Hadi kumaliza form 4, JKT etc si chini ya miaka 20. Jumlisha tofauti ya 2018 na 1983 inakuja 55 years Ndio Umri watu ambao huwa wanamwabia. Ila yeye anadai ana 35 yrs.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hajawahi sema ana 35 jaman mnyonge mnyongeni haki yake mpeni daahhh
 
Le mutuz umri wake unajulikana ni 57 maana kigagulaz alinusa huko kwa mama ake wa hiyari akapata hadi copy ya passport ya le mutuz kwa hio sasa hivi hilo si issue tena. Hapa tupo kwenye real story ya maisha yake tu basi by the way Age Is Just A Number and everybody will pass through that way!! So what?? Kwanza wengine hata huo umri hawatafika wataishia njiani maana life span bongo ni 50 sijui. Le mutuz shusha nondo hapa nye nyee nyeee.
 
Mkuu age is just a number ...haikuzuii kufanya chochote kile...

Sawa ni number, lakini kuna vitu ukifika inabidi u slow down kidogo. Matokeo yake unapigwa picha kama zile.

Kwa utamaduni wetu pia tumezoea kuona wazee ni watu wa hekma busara etc, sasa its odd kumuona Mtu anayekaribia 60 anafanya mambo ya kibaridhuli kwenye mitandao.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hajawahi sema ana 35 jaman mnyonge mnyongeni haki yake mpeni daahhh
Lemutuz ni fighter namkubali japo nilimdisi for fun namkubali sasa maana kuwa na heka 2 kinyerezi si mchezo hapo mtaji wa kutosha si chini ya milioni 500 hizo acre,namkubali aishi kinafiki km wabongo
 
27857858_890529534462779_6911976504132179957_n.jpg

PART 27: "MY AMERICAN EXPERIENCE"
Hiyo ni karatasi yangu ya kuwemo Melini CMB Antwerpen/Belgium.

Chanzo cha AKILI KUBWAZZ in me siku zote nilikua ninaamini binadam wote tunafikiria na kuyaona mambo kwa jicho moja kumbe sio kweli na ni kwa mara ya kwanza in my life Joe Orlando akanifanya nigundue hii theory kua nina uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kuona mbali kuliko watu wengi.

Ubaguzi wa rangi USA ni tatizo kubwa moja kati ya Hospitali niliyokua naifanyia kazi Lenox Hill Hospital Downtown Manhattan at 76th E Street akaanza kunichukia bila sababu kwa sababu alikua anajua kua kazi yangu inalipa kuliko hata Ubosi wake akaanza kunitafutia visa nilishamgundua loong time ila nilikua namkwepa tu from no where siku moja akampigia Joe Orlando my Boss na kumwambia kwamba kama Hanifukuzi kazi au Hanibadilishii ile route nisije pale atavunja mkataba na Kampuni infact akampa Siku 7 kutimiza hilo.

Orlando akaniita ofisini kwake na kuniuliza tatizo ni nini nikamjibu nikiwa kama kawaida yangu Calm and Collected kuwa tatizo ni Rangi yangu bosi akaniambia nenda kama kawaida usimjali siku ya 7 ilipofika nukamkuta yule Bosi Martinez ananisubiri Loading Dock aliponiona tu akaingia kwenye gari mpaka The Bronx ofisini kwa Joe na Bosi akanipigia simu nirudi haraka niende ofisini kwake nilipofika juu nikamkuta Martinez na Joe.

Boom Joe akaanza kwa kumwambia kua huyu ndiye mfanyakazi ninayemuamini kuliko wote kama humtaki basi unaweza kufuta mkataba wako now!.

Martinez akaanza kujichekesha kumbuka Joe was a Tough Guy mtaani kwenye Mafia Mob so akampa kusuka au kunyoa nikaona Spanish anaanza kujikanyaga kua sio yeye ila bla! bla! bla! Joe akamtunishia msuli kua aseme uamuzi wake haraka! Martinez akaanza kuomba radhi kwa Joe na kwangu kua yaishe hatafanya alichotishia baada ya Martinez kuondoka Joe akaanza kunipa lecture kua tatizo ni Akili zangu nyingi sana ndio maana Weupe wengi waliozoea Weusi wajinga wanakua intimidated na Joe akanipiga marufuku kushiriki Mkutano wowote wa Wafanyakazi wenzangu akaniambia hakuna mtu wa level yako hii Kampuni na kuanzia ile siku akanipa ruhusa ya kufanya kazi Jumamosi na Jumapili ninapoamua mwenyewe siku moja ikaja habari ya MGOMO!..ITAENDELEA

Why unaficha tarehe?
 
Hahaha! Le Mutuz kwa kiki bhana, hajambo!
 
Back
Top Bottom