Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)


- Kaka unapoteza muda wako bure na huyu mama aliyezaliwa na Mchungaji akadanganywa na mwanaume akabadili dini na sasa ni mke wa pili imagine hahahahahaha yaani nilikua na mke mwenye uwezo wa kuwa mke wa pili wa mtu mwingine, cha ajabu ni kwamba toka nimemkataa mpaka leo haachi kunifuata fuata unataka nini wewe? hahahaha mimi hunipati tena ilitoka ikirudi ina pancha hahahahahahhaa!

le Mutuz
 
Kumbe Nasra ndio alivujisha ile video aisee nawaza tu hapa yaan mtu alikua mpenzi wako mnaaminiana mnashare vitu vingi na mpaka safari yako ya Dubai ya juzi umerudi ukamletea na zawadi sijui shetani gani alimwingia sisi wanawake jaman

Nilijua aliyekufanyia ule mchezo ni mwanamke ambaye umemuokota tu labda hamu ilikushika najifunza mengi usimwamini sana mtu
 

- Seriously nilishamsamehe, na yeye ni kama huyu mjinga my ex wanajihangaisha sana lakini mimi nipo imara kila yanaponitokea huwa yananikumbusha yaliyokwisha nitokea nadharau, ninazo picha na video zake nyingi tu za aibu lakini itanisaidia nini kuzitoa? Nimeishi na my ex miaka 15 leo niamue kumvua nguo jamani itakua aibu ya ajabu kwanza atajinyonga maana wewe unajua mimi ninaweza kuandika na kufafanua, leo nikiamua kusema sababu zilizonifanya nimkatae na kufurahia divorce wote hapa mtalia machozi kwamba niliwezaje kumvumilia miaka 15, she knows that

- So worry not nilipokua USA kazi yangu ilikua inanipeleka Mortuary na Jela kila siku, so nilijifunza how to appreciate my life maana huku naona watu waliokufa na huku naona watu waliofungwa nikajifunza kwamba as long as nimeamka mzima that is all what matters, mengine sio muhimu sana

le Mutuz Mobimba
 

- Ningekua nachukiwa naa jamii nzima nisingekuwepo, ninachukiwa na mjinga kama wewe ambaye wala sikufahamu na unatumia majina ya bandia, hahahahahah akili yako ni ndogo saana ndio maana hua nakudharau sana sukujui nakuruhusu unichukie as mucha as you want, kuna wanaonipenda wengi sana tena wenye akili mali na nafasi kwenye jamii wewe just kiss my foot huna faida yoyote kwangu na wala sukujui wacha kurkia rukia wanaume wewe mjinga!

- toka nipo USA unahangaika hangaika tu humu, akili zero hahahahahaha

le Mutuz
 

- Niliandika siku nyingi sana kwamba hii mifano ya Watoto wa Viongozi hainisumbui kwa sababu wanaishi kwenye nyumba nzuri kama mimi, ni marafiki zangu wa karibu sana, wanatumia magari kama mimi ninalo langu, wanasafiri kwa ndege kama mimi, wanaenda majuu kama mimi, wao ni Viongozi mimi ni Social Media King, wazungu wanaita Division of Labor, wote hatuwezi kuwa mawaziri kama baba zetu, cha msingi mimi na wao tunaheshimiana sana, ila ungefanya utafiiti kuna watoto wengi wa viongozi wa zamani hapa mjini hao unaowatja wakiwaona wanakimbia maana ni huzuni.

- Mimi wakiniona huanza wenyewe kuniita na hasa wake zao, hahahahahaha tulia kijana hahahahaha

le Mutuz
 
Mzee baba nimependa majibu yako,hauna hata stress. Kila mtu na maisha yake and the good thing about life,it must go on.

- Thank you mimi ndiye mwenye agendaa na mimi ndiye the Social Media King so ni lazima niwafanye wateja wangu wacheze muziki wangu nikikasirika watakimbia dawa ni kuwapa muziki mtamu warudi na warudie tena, hivi umeona wanaojifanya kunichukia ninavyowarudisha waendelee ninalipwa vizuri page zikiwa nyingi ndio maana niliiacha hii thread ifikie page 35 ndio nikaingia na sasa imeshafikia almost 70 na bado ndio kazi yangu yaani Social Media King, yaani hapa tunapigizana kelele mimi ninalipwa na ninalipiwa kila kitu mpaka simu, ndio maana ya akili kubwazzz.

- Na ndio sababu niliamua kujitoa kutumia ID fake loong time ago cause niligundua kua ninapoteza pesa nyingi sana kwa kutumia ID Fake, sasa hivi nimeshaingia You Tube Payroll so sio mchezo tena ni malipo tu!, yaani nikugusa tu mtandao ukianza kunililia lia ni pesa tu hahahaha!!

le Mutuz
 
Akili kubwa you know!
Man Nakukubali sana you know!
Usiwe unapotea sana Jf "akili kubwa"
Le mutuz nation!
 
Huwa tunajisahau amesahau kama na wewe una mapicha yake na video za uchi daah pole sana mana mmekaa mda kwenye mahusiano hata kama labda mmeachana huwezi mfanyia mwenzio unyama huo ukumbuke na mazuri yake basi
 


[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji109][emoji56]
 

- Marehemu Mama yangu alishatangulia kwenye haki please muwacheni, pigana na mimi The King Of All Social Media hahahaa1

le Mutuz
 
Hongera sana kaka maisha ni safari ndefu kuna mambo ya kujifunza katika story yako ni vizuri tukabeba yaliyo mazuri na kuacha ambayo tunadhani hayatufai sina cha kukushauri coz unaishi maisha yako na hata hao wanaokuponda humu wapo wengi tu wanamajanga mengi tu sema ndio hivyo hawana brand kanyaga twende
 
Le kokobanga naomba unikopeshe laki moja na shida sana!
 
Ndo nilikuwa namchanganya na Nuru, Nasra wa ifm
 


PART 32: "MY AMERICAN EXPERIENCE"
Pichani ni unapotaka kusoma USA unapeleka vyeti vyako vyote at the "World Education Services" wao wana Evaluate level yako kielimu kwa USA System unaweza ukawa sawa na umemaliza High School au Mwaka wa Pili College in my Case my Evaluation was my Education level in USA was Equivalent to Holding one Degree kabla sijaanza Westchester College so now nkafanya Mtihani wa kuingia Lehman College mwanzoni nilitaka kusoma Sheria lakini pesa yake ikawa ndefu mno na mpaka kufikia nilipokua Shule ilikua imenila almost nusu ya pesa zangu nilizikua nimerundika Benki nikaamua nataka kusoma Political Science..

Wabongo wengi wakawa wananicheka sana kua kwa nini ninapoteza pesa na Shule badala ya ku invest bongo kama wao binafsi nilikua nawacheka sana moyoni cause nilijua hawajui maana ya Elimu niliwaambia guys msichoelewa ni kwamba back in Bongo nilishajifunza hakuna mtu aliyesoma ana njaa ila wasiosoma tu na nikawakumbusha umuhimu wa kujua the truth kwamba sisi ambao tupo Majuu bila kupelekwa na Serikali au Kazi za Kimataifa ni Wakimbizi wa Uchumi infact ni LIFE FAILURES tumeshindwa Maisha Bongo that is a simple truth Mungu katupa a second chance ya kufika Majuu cha msingi kwanza tunatakiwa tusome hahaha niliishia kujiongezea Chuki na wabongo kuwa "ANJIFANYA MJUAJI SANA" ...

Mtihani Lehman nilishinda sasa ikaja kuonyesha makaratasi ya kuishi USA kwa bahati sana msimamizi wa hiyo section alikua Mhaiti Mmarekani nikamuomba tuongee pembeni nikaamua kujilipua nikampa ukweli kua sina makaratasi ila ninazo pesa ninataka Elimu mimi ni Muafrika Masikini lakini napenda Elimu nilikua naongea mfululizo ili asipate nafasi ya kufikiri hiyo ni moja ya mbinu za mtaani ukitaka kumchanganya mteja asiyeelewa..

Mhaiti akaniangalia kwa huruma akaniambia atanipa nafasi ila nimuhakikishie kua nitasoma sitamuangusha in the end akaniingiza kama Mmarekani kwa kutumia Social Security Card Number na Licence Number Sheria inasema Raia wa US anahitaji vitu hivyo 2 tu sijasahau furaha ya kukubaliwa kusoma tena na this time Political Science kwa wabongo nikaendelea kuwa gumzo lao infact walikua wananijadili kama nina akili sawa sawa... WAZO LA KUOA! ..
ITAENDELEA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…