Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

we mwanamke ni mpumbav sana, nahisi le mutuz alipata shida sana kuishi na wewe. inawezekana mengi yameanikwa humu dhidi ya baba wa watoto wako kwasababu yako. kitu moja jua, wewe unawakilisha idadi kubwa sana ya wanawake wajinga na wavurugaji wa familia, wenye kiburi na jeuri, wewe unawakilisha wanawake wajinga ambao ukigombana na mtu aliyekuwa anachovya kwako kila siku unaanza kuanika mambo yake, yeye angeamua kuanika ya kwako ungesimama wapi? jua huyu ni baba wa watoto wako hata ufanyeje, na watoto hata wakimchukia kwasababu wewe umesema wamchukie kuna siku tu damu ni nzito kuliko maji.

binafsi kuna mambo mengi natofautiana na lemutuz, na nimesharushiana maneno mengi naye lakini ukweli uko palepale wanawake kama wewe ni mfano mbaya sana kwenye jamii. wanawake kama wewe ni wachache sana, jiheshimu Neema Ngululupi , hivi humwoni mange kwa matusi yake yote haaniki mtu aliyemtenda? kwasababu wanashare watoto, wewe utakufa siku moja utaacha watoto baba yao atatakiwa kuwa nao, halafu hakuna mtoto anaweza kumchukia babake milele, jifunze, we umesoma wapi wewe mbona hata watu wa vijijini hapa bongo wana ufahamu huo?unajisikiaje kutukanana na x wako hapa? mnaanikana hapa? jingajinga shenzini. kuna sehemu nilisoma post za le mutuz nikaona amekukoti kuwa wewe ndio x wake, kufuatilia nickname yako nikaona post rundo zote umempost yeye tu, umekosa pa kuongelea?

- Kaka unapoteza muda wako bure na huyu mama aliyezaliwa na Mchungaji akadanganywa na mwanaume akabadili dini na sasa ni mke wa pili imagine hahahahahaha yaani nilikua na mke mwenye uwezo wa kuwa mke wa pili wa mtu mwingine, cha ajabu ni kwamba toka nimemkataa mpaka leo haachi kunifuata fuata unataka nini wewe? hahahaha mimi hunipati tena ilitoka ikirudi ina pancha hahahahahahhaa!

le Mutuz
 
1. Baharia niliyekua nagombewa na wabebezz nijiue kwa sababu yako? Sasa ilikuaje sikufa? hahahaha Watoto ni wangu wala sina wasi wasi tatizo ni unahangaika sana sijui unachohangaikia, mimi nimetulia najua wewe ni mjinga ndio maana ulipombembeleza Davis Mosha anilazimishe nikurudie nilimshangaa maana mimi nikurudie wewe akili ndogo hivyo? hahahahaha NEVER!

2. Niligundua siku nyingi sana wewe ulikua unadhani ninawaogopa ndugu zangu na ulidhani ninaweza kujikomba kwao, sasa unajua kua sio kweli unahangaika hahahaha wale hawana shida na wewe wala watoto wako wankuona mjinga tu usiyekua na idea ya Dunia ikoje, maana ungejua wale hawana habari na mtu zaidi yao tu, unajikomba komba kwao bure they could careless about you, uliwafurahisha kwenye Divorce basi caiuse walidhani itani destroy, walipoona haikufanikiwa sasa wamewekeza kwa Mange sio wewe, jifunze mjinga wewe!

3. Nasra aliyemuacha ni mimi, alichokifanya yeye na wewe hamna tofauti yoyote ila mmenihakikishai kua I am a good man na mnajua kua sio rahisi kupata Mwanaume bora kama mimi, ndio maana nikwawacha mnakimbilia kutafuta njia ya kunimaliza wengine wasipate wote mmeshindwa, Baba yangu hawezi kulilia kale kavideo anajua jinsi MWalimu alivyokua anamtukana matusi ya nguoni na sikutingishika hata siku, na kumbuka kama sio yeye ningepata taabu sana ku deal na wewe ni yeye ndiye aliyenipa ushauri ulionisadia sana namna ya ku deal na wewe mpaka leo unalia lia kwenye mitandao ni kwa sababu in the real life umenishindwa na Shetani wako aneykutumia.

le Mutuz Mobimba!
Kumbe Nasra ndio alivujisha ile video aisee nawaza tu hapa yaan mtu alikua mpenzi wako mnaaminiana mnashare vitu vingi na mpaka safari yako ya Dubai ya juzi umerudi ukamletea na zawadi sijui shetani gani alimwingia sisi wanawake jaman

Nilijua aliyekufanyia ule mchezo ni mwanamke ambaye umemuokota tu labda hamu ilikushika najifunza mengi usimwamini sana mtu
 
- Seriously nilishamsamehe, na yeye ni kama huyu mjinga my ex wanajihangaisha sana lakini mimi nipo imara kila yanaponitokea huwa yananikumbusha yaliyokwisha nitokea nadharau, ninazo picha na video zake nyingi tu za aibu lakini itanisaidia nini kuzitoa? Nimeishi na my ex miaka 15 leo niamue kumvua nguo jamani itakua aibu ya ajabu kwanza atajinyonga maana wewe unajua mimi ninaweza kuandika na kufafanua, leo nikiamua kusema sababu zilizonifanya nimkatae na kufurahia divorce wote hapa mtalia machozi kwamba niliwezaje kumvumilia miaka 15, she knows that

- So worry not nilipokua USA kazi yangu ilikua inanipeleka Mortuary na Jela kila siku, so nilijifunza how to appreciate my life maana huku naona watu waliokufa na huku naona watu waliofungwa nikajifunza kwamba as long as nimeamka mzima that is all what matters, mengine sio muhimu sana

le Mutuz Mobimba
 
Unamuonea bure huyo dada, nina uhakika wewe humjui vizuri Le nye nye nye.

Willy ni mshenzi na boya kabisa na yeye ni sehemu ya hizi drama, haiwezekani mtu mmoja uchukiwe na jamii kubwa hujiongezi?

Kama ni chuki bila sababu tungemchukia Ridhiwani Kikwete basi.

Huyu Willy ni bonge la pumbavu.

- Ningekua nachukiwa naa jamii nzima nisingekuwepo, ninachukiwa na mjinga kama wewe ambaye wala sikufahamu na unatumia majina ya bandia, hahahahahah akili yako ni ndogo saana ndio maana hua nakudharau sana sukujui nakuruhusu unichukie as mucha as you want, kuna wanaonipenda wengi sana tena wenye akili mali na nafasi kwenye jamii wewe just kiss my foot huna faida yoyote kwangu na wala sukujui wacha kurkia rukia wanaume wewe mjinga!

- toka nipo USA unahangaika hangaika tu humu, akili zero hahahahahaha

le Mutuz
 
Nyinyi wote hamumjuhi Le Mutuz, fuatilieni post zake Insta halafu mrudi tena hapa kuandika huu ujinga wenu.

Ukiishi kwa upanga ujuwe utakufa kwa upanga tu.

Wapo kina Hussein Mwinyi watoto wa wakubwa na yeye sasa ni mkubwa alichaguwa maisha ya kuishi na jamii nzima inamuheshimu, na huyu boya wenu Le Mutuz haya ndio maisha aliyochaguwa kuishi wacha apate haki yake, nyinyi labda hamumjuwi Willy ni fala sana hili jamaa.

- Niliandika siku nyingi sana kwamba hii mifano ya Watoto wa Viongozi hainisumbui kwa sababu wanaishi kwenye nyumba nzuri kama mimi, ni marafiki zangu wa karibu sana, wanatumia magari kama mimi ninalo langu, wanasafiri kwa ndege kama mimi, wanaenda majuu kama mimi, wao ni Viongozi mimi ni Social Media King, wazungu wanaita Division of Labor, wote hatuwezi kuwa mawaziri kama baba zetu, cha msingi mimi na wao tunaheshimiana sana, ila ungefanya utafiiti kuna watoto wengi wa viongozi wa zamani hapa mjini hao unaowatja wakiwaona wanakimbia maana ni huzuni.

- Mimi wakiniona huanza wenyewe kuniita na hasa wake zao, hahahahahaha tulia kijana hahahahaha

le Mutuz
 
Mzee baba nimependa majibu yako,hauna hata stress. Kila mtu na maisha yake and the good thing about life,it must go on.

- Thank you mimi ndiye mwenye agendaa na mimi ndiye the Social Media King so ni lazima niwafanye wateja wangu wacheze muziki wangu nikikasirika watakimbia dawa ni kuwapa muziki mtamu warudi na warudie tena, hivi umeona wanaojifanya kunichukia ninavyowarudisha waendelee ninalipwa vizuri page zikiwa nyingi ndio maana niliiacha hii thread ifikie page 35 ndio nikaingia na sasa imeshafikia almost 70 na bado ndio kazi yangu yaani Social Media King, yaani hapa tunapigizana kelele mimi ninalipwa na ninalipiwa kila kitu mpaka simu, ndio maana ya akili kubwazzz.

- Na ndio sababu niliamua kujitoa kutumia ID fake loong time ago cause niligundua kua ninapoteza pesa nyingi sana kwa kutumia ID Fake, sasa hivi nimeshaingia You Tube Payroll so sio mchezo tena ni malipo tu!, yaani nikugusa tu mtandao ukianza kunililia lia ni pesa tu hahahaha!!

- Na ndio sababu niliamua kujitoa kutumia ID fake loong time ago cause niligundua kua ninapoteza pesa nyingi sana kwa kutumia ID Fake, sasa hivi nimeshaingia You Tube Payroll so sio mchezo tena ni malipo tu!.

le Mutuz
Akili kubwa you know!
Man Nakukubali sana you know!
Usiwe unapotea sana Jf "akili kubwa"
Le mutuz nation!
 
- Seriously nilishamsamehe, na yeye ni kama huyu mjinga my ex wanajihangaisha sana lakini mimi nipo imara kila yanaponitokea huwa yananikumbusha yaliyokwisha nitokea nadharau, ninazo picha na video zake nyingi tu za aibu lakini itanisaidia nini kuzitoa? Nimeishi na my ex miaka 15 leo niamue kumvua nguo jamani itakua aibu ya ajabu kwanza atajinyonga maana wewe unajua mimi ninaweza kuandika na kufafanua, leo nikiamua kusema sababu zilizonifanya nimkatae na kufurahia divorce wote hapa mtalia machozi kwamba niliwezaje kumvumilia miaka 15, she knows that

- So worry not nilipokua USA kazi yangu ilikua inanipeleka Mortuary na Jela kila siku, so nilijifunza how to appreciate my life maana huku naona watu waliokufa na huku naona watu waliofungwa nikajifunza kwamba as long as nimeamka mzima that is all what matters, mengine sio muhimu sana

le Mutuz Mobimba
Huwa tunajisahau amesahau kama na wewe una mapicha yake na video za uchi daah pole sana mana mmekaa mda kwenye mahusiano hata kama labda mmeachana huwezi mfanyia mwenzio unyama huo ukumbuke na mazuri yake basi
 
-... nilipokua USA kazi yangu ilikua inanipeleka Mortuary na Jela kila siku, so nilijifunza how to appreciate my life maana huku naona watu waliokufa na huku naona watu waliofungwa nikajifunza kwamba as long as nimeamka mzima that is all what matters, mengine sio muhimu sana[/colour]

le Mutuz Mobimba

[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji109][emoji56]
 
Tatizo sio mama ila hiyo house hapo nyuma, after 31 years za majuu + magari ya "kifahari" +kazi nzuri (dereva ya magari taka) + digrii tatu kweli hapo ndo mama yako anaishi!! Kweliii!!! Mobinda hana cha kujitetea kwenye hili, alimtelekeza mama yake (RIP).. No wonder baada ya miaka yote hiyo ya majuu akarudi na dola kadhaa za laptop na chenchi ya usd 500

- Marehemu Mama yangu alishatangulia kwenye haki please muwacheni, pigana na mimi The King Of All Social Media hahahaa1

le Mutuz
 
- Thank you mimi ndiye mwenye agendaa na mimi ndiye the Social Media King so ni lazima niwafanye wateja wangu wacheze muziki wangu nikikasirika watakimbia dawa ni kuwapa muziki mtamu warudi na warudie tena, hivi umeona wanaojifanya kunichukia ninavyowarudisha waendelee ninalipwa vizuri page zikiwa nyingi ndio maana niliiacha hii thread ifikie page 35 ndio nikaingia na sasa imeshafikia almost 70 na bado ndio kazi yangu yaani Social Media King, yaani hapa tunapigizana kelele mimi ninalipwa na ninalipiwa kila kitu mpaka simu, ndio maana ya akili kubwazzz.

- Na ndio sababu niliamua kujitoa kutumia ID fake loong time ago cause niligundua kua ninapoteza pesa nyingi sana kwa kutumia ID Fake, sasa hivi nimeshaingia You Tube Payroll so sio mchezo tena ni malipo tu!, yaani nikugusa tu mtandao ukianza kunililia lia ni pesa tu hahahaha!!

le Mutuz
Hongera sana kaka maisha ni safari ndefu kuna mambo ya kujifunza katika story yako ni vizuri tukabeba yaliyo mazuri na kuacha ambayo tunadhani hayatufai sina cha kukushauri coz unaishi maisha yako na hata hao wanaokuponda humu wapo wengi tu wanamajanga mengi tu sema ndio hivyo hawana brand kanyaga twende
 
- Thank you mimi ndiye mwenye agendaa na mimi ndiye the Social Media King so ni lazima niwafanye wateja wangu wacheze muziki wangu nikikasirika watakimbia dawa ni kuwapa muziki mtamu warudi na warudie tena, hivi umeona wanaojifanya kunichukia ninavyowarudisha waendelee ninalipwa vizuri page zikiwa nyingi ndio maana niliiacha hii thread ifikie page 35 ndio nikaingia na sasa imeshafikia almost 70 na bado ndio kazi yangu yaani Social Media King, yaani hapa tunapigizana kelele mimi ninalipwa na ninalipiwa kila kitu mpaka simu, ndio maana ya akili kubwazzz.

- Na ndio sababu niliamua kujitoa kutumia ID fake loong time ago cause niligundua kua ninapoteza pesa nyingi sana kwa kutumia ID Fake, sasa hivi nimeshaingia You Tube Payroll so sio mchezo tena ni malipo tu!, yaani nikugusa tu mtandao ukianza kunililia lia ni pesa tu hahahaha!!

le Mutuz
Le kokobanga naomba unikopeshe laki moja na shida sana!
 
Kumbe Nasra ndio alivujisha ile video aisee nawaza tu hapa yaan mtu alikua mpenzi wako mnaaminiana mnashare vitu vingi na mpaka safari yako ya Dubai ya juzi umerudi ukamletea na zawadi sijui shetani gani alimwingia sisi wanawake jaman

Nilijua aliyekufanyia ule mchezo ni mwanamke ambaye umemuokota tu labda hamu ilikushika najifunza mengi usimwamini sana mtu
Ndo nilikuwa namchanganya na Nuru, Nasra wa ifm
 
upload_2018-2-20_14-47-2.jpeg

PART 32: "MY AMERICAN EXPERIENCE"
Pichani ni unapotaka kusoma USA unapeleka vyeti vyako vyote at the "World Education Services" wao wana Evaluate level yako kielimu kwa USA System unaweza ukawa sawa na umemaliza High School au Mwaka wa Pili College in my Case my Evaluation was my Education level in USA was Equivalent to Holding one Degree kabla sijaanza Westchester College so now nkafanya Mtihani wa kuingia Lehman College mwanzoni nilitaka kusoma Sheria lakini pesa yake ikawa ndefu mno na mpaka kufikia nilipokua Shule ilikua imenila almost nusu ya pesa zangu nilizikua nimerundika Benki nikaamua nataka kusoma Political Science..

Wabongo wengi wakawa wananicheka sana kua kwa nini ninapoteza pesa na Shule badala ya ku invest bongo kama wao binafsi nilikua nawacheka sana moyoni cause nilijua hawajui maana ya Elimu niliwaambia guys msichoelewa ni kwamba back in Bongo nilishajifunza hakuna mtu aliyesoma ana njaa ila wasiosoma tu na nikawakumbusha umuhimu wa kujua the truth kwamba sisi ambao tupo Majuu bila kupelekwa na Serikali au Kazi za Kimataifa ni Wakimbizi wa Uchumi infact ni LIFE FAILURES tumeshindwa Maisha Bongo that is a simple truth Mungu katupa a second chance ya kufika Majuu cha msingi kwanza tunatakiwa tusome hahaha niliishia kujiongezea Chuki na wabongo kuwa "ANJIFANYA MJUAJI SANA" ...

Mtihani Lehman nilishinda sasa ikaja kuonyesha makaratasi ya kuishi USA kwa bahati sana msimamizi wa hiyo section alikua Mhaiti Mmarekani nikamuomba tuongee pembeni nikaamua kujilipua nikampa ukweli kua sina makaratasi ila ninazo pesa ninataka Elimu mimi ni Muafrika Masikini lakini napenda Elimu nilikua naongea mfululizo ili asipate nafasi ya kufikiri hiyo ni moja ya mbinu za mtaani ukitaka kumchanganya mteja asiyeelewa..

Mhaiti akaniangalia kwa huruma akaniambia atanipa nafasi ila nimuhakikishie kua nitasoma sitamuangusha in the end akaniingiza kama Mmarekani kwa kutumia Social Security Card Number na Licence Number Sheria inasema Raia wa US anahitaji vitu hivyo 2 tu sijasahau furaha ya kukubaliwa kusoma tena na this time Political Science kwa wabongo nikaendelea kuwa gumzo lao infact walikua wananijadili kama nina akili sawa sawa... WAZO LA KUOA! ..
ITAENDELEA
 
Back
Top Bottom