Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Nimeona ulivyomkomalia W. J. Malecela Je unamdai? Je kuanguka kwake kimaisha kunakufaidisha vipi? Unaonaje uki-share maisha yako binafsi ili nasi tujue how good/rich you’re. In life, there are two things involved. Kufaulu or kufeli. And you can live both. Kwa nini wakiona kibanzi jichoni mwa ndugu yako, na papo hapo huioni boriti iliyoko jichoni mwako?

My advice: Do not judge…
 
Kachezea muaka yake kwenye karatasi ndo anataka kusema ye niki benten au
 
We le Mbebezi a.k.a le mutuz mi kwenye story yako sina LA kuongeza ila nafuatilia nione mwishob wake jinsi ulivyokuwa aise ila naona kama unakiri hapo juu kuwa hutoweza kuweka kila kitu wazi wakati unaandika real story plz weka mbo yote wazi tusiojua ukweli tujue usiogope we le mbabazi nekukubali kwa kupangua hoja ngumu za maahadimu wako ila sasa story yako fupi Sana'a ongeza ongeza sawa sawa ,bampa to bampa no stress no fear. Go go gooooo le mutuzzzzzzz
 
Le Mkunduz anasema Mbowe kakimbilia South Africa kujificha na huyu hapa leo Central polisi ni nani?

Na bado mpo maboya wake mnaamini huyo mwehu ana akili kichwani?

View attachment 698712
Huwa nakuheshimu sana kuniita boya acha tu nikurudishie boya mwenyewe kama mna matatizo yenu na lemutuz pambana na hali yako
 
Wewe The List utakuwa ni Mange Kimambi! Kama siyo Mange basi utakuwa mmoja wa wale wanawake wanaotumiwa na Mange kumpinga Le Mutuz. Mtoto wa kiume hawezi kuwa na maneno ya kwenye "khanga" kama yako.
 
Nahisi huyo ni ndugu yake tena haswa dada yake maana alivyomjibu lekokobanga ni kama wanajuana wanavizia urithi wa mshua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…