Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

Unaposema "Amefeli maisha" umempima kwa kipimo gani? Wakati unasema kutwa anajipendekeza na kuombaomba kwa matajiri, unajua ya kwamba hao uliwataja kwamba anajipendekeza kwao asilimia kubwa wanamlipa kutumia platform yake kutangaza biashara zao? Wewe usiyejipendekeza na kuombaomba kwa matajiri umefaulu nini katika maisha yako mkuu?

Hicho chochote unachosema angekuwa nacho ungesema ni mpiganaji, ungependa awe na nini katika Uainishaji (Classification) wako ili uweze kumuita na kumpongeza kama mpiganaji?
Kuna wapambanaji wengi sana wa zamani ambao kwa sasa hawako katika nafasi za juu kimaisha katika jamii, lakini ukweli na alama walizoacha enzi zao zinabaki katika taswira ya jamii.

Wanamlipa sh. Ngapi sisi ndio tunamjua huyu ndio mana tunasema hivi Katelekeza Familia yake New york kwa rafiki yake halafu useme analipwa sijui nin nin upambanaji kukimbia familia
 
Futa kauli yako.

kwanza kabisa kaaukijua lemutuz baba yake alikua ni waziri wa kilimo TZ.

Kuwa na urafiki na watu wakubwa katika hii nchi kwake si jambo lakujipendekeza.
Anajpendekeza bana,yule ni bendera fata upepo,akishajpendekeza kaa tajiri anakua anafata tu anachofanya tajiri hata kama hakiko sahihi
 
Futa kauli yako.

kwanza kabisa kaaukijua lemutuz baba yake alikua ni waziri wa kilimo TZ.

Kuwa na urafiki na watu wakubwa katika hii nchi kwake si jambo lakujipendekeza.
Baba yake alikuwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais.

Hawezi tena kupata fursa kama hii ambayo wakati wa kuitumia yeye alikuwa anahangaika kuendesha gari la kuzoa takataka.

Dada yake Dr Mwele amejuwa kuitumia fursa na hata leo akienda Marekani siyo kubeba box bali kama senior officer wa UN, U know?
 
Wanamlipa sh. Ngapi sisi ndio tunamjua huyu ndio mana tunasema hivi Katelekeza Familia yake New york kwa rafiki yake halafu useme analipwa sijui nin nin upambanaji kukimbia familia
Mimi sitaki kujadili personal life ya jamaa wala ya mtu yoyote. Kutelekeza familia sio kipimo cha maisha kwa mwanaume ulimwenguni. Huwezi kujua sababu zilizopelekea mpaka binadamu akafikia maamuzi hayo. Tena suala la kutelekeza familia huwa sipendi kuliongelea kabisa, kwa sababu nimeyaona sana na imetosha. Ukisikia pande moja (KE) utamuona ME ni kiumbe wa ajabu sana hafai kuishi ulimwenguni...lakini ukipata nafasi ya kusikiliza upande wa pili utagundua mambo mengi yalipelekea ME kuondoka na kuendelea na maisha mengine. Kama wewe unamjua kama ulivyoainisha hapo juu ungekuja na hoja na sio mashambulizi binafsi ya chuki dhidi ya William. Anacholipwa yeye ni tosha kwake kuendelea na maisha anayoyaona bora kwake...who am I to judge!? Tatizo letu Watanzania tunapenda kuishi maisha ya kuigiza na kufurahisha umma. Pia tunapenda kuishi maisha yetu kwa kufurahisha wengine au kuwapangia wengine jinsi ya kuishi maisha yao ili yawafurahishe nafsi zenu.
Jamaa anaishi maisha yake, so get on and live yours.
 
Katika story yako usisahau kutuhadithia sehemu ulizofeli pia,
All in all bigup kwa kushare story ya life yako na sisi
Minatamani kusikia akisimilia kipindi alipokua anaendesha gari la taka mitaani huko yuesiei.....
Pia natamani nisikie kilicho mfanya akaachana na mkewe huko yuesiei....
Na ninatamani kusikia kuhusu usaliti alio ufanya enzi akiwa baharia hadi wakataka wamtose baharini.....
 
Back
Top Bottom