Niilishahisi Le Mutuz hana uhusiano mzuri na akina Dr. Mwere na kwa simulizi hii, niki-connect na line za mama zao, siwezi kushangaa.
Baadhi ya wamama wa kambo wenye fikra za kimaskini hulea watoto wao kwa namna wawaone watoto wa mama mwingine kama ni threat kwao.
Na kama ni kweli Mama Mwere alimpora mume/bwana mama Le Mutuz wakati walikuwa marafiki, basi ni very possible chuki ya wanawake wawili walionyang'ana bwana kuhamia kwa watoto!!
Na kama baba ukiwa mdwanzi, au kv mshua mwenyewe ndo vile tena huenda alikuwa busy na shughuli za serikali (Le Mutuz been genius enough not to blame his dad) basi possibility ya kukutwa na yaliyomkuta Le Mutuz ni possible kwa sababu huenda mshua alikuwa wala hafahamu nini kilikuwa kinaendelea skani!!
Hayo mengine namwachia mwenyewe lakini kama aliyosema kuhusu family matter ni kweli basi ni possible Le Mutuz ni matokeo ya family bullying!
Hpa akabakiwa na option mbili... ama ageuzwe kuwa like houseboy asiye na mtetezi ndani ya nyumba ya baba yake mwenyewe au asepe!!
Hata hivyo, inawezekana pia Le Mutuz alikuwa Nuda kupita kiasi to the point he's a family shame!! Na kama anamsingizia Mama Mwere, basi Mungu anamuona!