mkuu tusibishane, mimi ninakufahamu vizuri sana, usifikiri nimekufahamia kwenye mitandao. sasa kulinda heshima yako ngoja tujadili mengine, ila msg yangu ndio ilikuwa hiyo. lakini yote katika yote, still kuna vitu vingi nimejifunza toka kwako hasa kufanya kazi kwa bidii na kuvumilia vitu, pamoja na kwamba kuna mapungufu mengi sana ambayo sihitaji kabisa kujifunza toka kwako kwasababu kuna baadhi ya tabia zako mimi nimeziepuka na zimenipa faida kubwa sana maishani mwangu. ndo maana nilikuwa nasema usisema una akili kubwa, acha watu ndio wakuite una akili kubwa, wewe binafsi huwezi kujijua.
vilevile, unaweza kuwa unamiss point ya definition ya "maisha mazuri", what does maisha mazuri mean to you? ni kutoka na wabebez, kwenda vacation dubai au souz, kuiishi 30 years majuu? kula vizuri kwenye appartment ya kupanga?, definition yako ya maisha mazuri ni ipi? kuishi na mwili mkubwa kama tembo kama unakula garbage kila siku?