Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
- hahahahahaha ndio maana nipo hapa napiga kazi wewe huna kazi cause mwanaume mwenye kazi hawezi kup[oteza siku nzima kuingia social media na majina ya bandia kurukia rukia wanaume asiowajua lazima ana matatizo fulani ya jinsia hahahahahaha
le Mutuz
Mbona unakana dhana nzima ya "Mfalme wa mitandao ya kijamii"
bado anakaa kwao?
Pembe za ndovuHiyo ina nn ndani au kuna ugali
Pembe za ndovu
mkuu kwanini unavunjiwa heshima hapa,wakati wewe ni mtu mzima?- hahahahahaha ulijuaje mkuu lazima tumbo lako lina hayo mapemmbe hahahahahahhamlianza na simu sasa yamewashinda hahahahahaha
le Mutuz
mkuu kwanini unavunjiwa heshima hapa,wakati wewe ni mtu mzima?
- hahahahahaha wikiendi hii nimealikwa Arusha kwenye special party ya Celebs, kiingilio 100,000 nimealikwa ninalipiwa tiketi ya ndege na Five Star Hotel, ndio maana ya kuwa Star au na wewe umealikwa? hahahahahahahahaha
le Mutuz Nation
Ninafuatilia post zako hapa lemutuz naona kumkichwa hakuna kitu
- so unamfuatilia asioyekuwa na kitu kichwani na wewe unakuwa nani hasa? hahahahahahha
le Mutuz
mkuu kwanini unavunjiwa heshima hapa,wakati wewe ni mtu mzima?
Badilika Bro, Miaka 58 wewe ni mtu mzima acha utoto
duh!!mkuu kwanini unavunjiwa heshima hapa,wakati wewe ni mtu mzima?
Unasema umeshalipiwa?
- Siku nikfikia huo umri nitakushitua kwa sasa ngoja niendelee kula batazzz batannn hahahahahahah ninawatesa mpaka mnaleta papers feki hahahahahahahahah U know
le Mutuz
- ndio Celebs ukialikwa unalipiwa ndege mpaka Hotel najua wewe sio Celeb so ni mageni kwako hahahahahahahaha
le Mutuz